Ni ujinga kufanya haya
1.kuzaa mtoto na kumpa jina la Tov ili uitwe Babatov
2.kupiga picha na mimi ili upate umaarufu.
3.Kununua misumari nje ya nchi.
Ni ujinga kufanya haya
1.kuzaa mtoto na kumpa jina la Tov ili uitwe Babatov
2.kupiga picha na mimi ili upate umaarufu.
3.Kununua misumari nje ya nchi.
Ujinga kuyaacha Magamba yaliyo kili kuwa hayawezi kulipa Mishahara Mizuri ni Bora Yapishe wawezao...
ni ujinga kushabikia CCM
" Umeme hauna kiuno lakini Unakatika. "
niujinga kutema big G kwa kalanga zakuonja
ujinga ni kujamba na kumsingizia mtoto
ujinga kutema mate ukiona mav badala ya kutoa kamas
ni ujinga kulamba bahasha wakati haina utamu wowote.................
Ni ujinga wewe kuwa mgeni kwenye nyumba flani, then akaja mgeni mwingne. Akapiga "hodi" na we ukaitikia kwa sauti "karibu" utafikiri kwako
Kesi za wizi wa kuku zinakatwa mara moja, hukumu ni miaka 15, kesi za mafisadi haziishi na vyeo vinapanda--huu nao ni ujinga
Ujinga ni 1.kuangalia balance yako baada ya kupigiwa 2.kupiga brush viatu wakat unaend kupiga passport size 3.kumuamsha mgonjwa ili umpe dawa ya ucngz
Ji ujinga kuishi kwa dadaako afu uhakikishe anatoka Wa wanaume tofautitofauti na we unhakikisha!
1.Kuulizia ukoko wa chai,....
2.kujifanya mbahili kunywa chai na big G
3.kumtuma mtoto kuwasha sigara
Niujinga kuzima kuzima jua kwakupuliza niujinga kukimbiza kivuli chako niujinga kupiga mbizi kwenye rami
Teh teh teh, umenikuna mdau kwa kwel n ujinga, bt wez wa kuku wakamatwe tu mana wana2ongezea umaskin mafukara
Ni ujinga kutaka kuwasha 'bulb' kwa kiberiti..
Ni ujinga ku Quote thread ndefu ili hali unaweza uka comment bila ku qoute.
Ni ujinga kufungua kinyozi {saloon} jamaica.
Ujinga kuandika neno "TANGAZO"kwenye tangazo.
Ni ujinga Kuanzisha thread kama hii.
Follow Us Here