Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Washikaji wakikutana

    Report Post
    Results 1 to 4 of 4
    1. #1
      NGULI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st March 2008
      Location : HOME
      Posts : 4,441
      Rep Power : 1456
      Likes Received
      214
      Likes Given
      1

      Default Washikaji wakikutana

      Pinda: Basi mwanangu JK ile umeniteua tu majuzi kushtuka usiku nikasikia kundi la watu liko nje ya nyumba yangu, kucheck dirishani naona wanakijiji wote wa kijiji changu toka Sumbawanga wamekuja kunipongeza na nyungo zao wamezipaki barazani
      JK: Duh, kijiji kizima..!!! Mizengwe nipe hiyo teknolojia niipeleke Bwagamoyo, pamoja na utaalam wetu wachache sana wanaiweza hiyo
      Shein: Kudadadeki, nyie watu wa Sumbawanga noma mmetufunika hata sisi wapemba
      Wote: hahahahahahaaaaaaaa aaaa
      Attached Thumbnails  
      Some sweet hearts are bitter than chloroquine packed in a sweet paper

    2. Miaka 50

    3. #2
      Abdulhalim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th July 2007
      Location : Taipei 101
      Posts : 15,740
      Rep Power : 3770
      Likes Received
      1200
      Likes Given
      559

      Default Re: Washikaji wakikutana

      Good thinking mdau, lakini hii ingefaa kule kwenye Udaku na Utani.

    4. #3
      NGULI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st March 2008
      Location : HOME
      Posts : 4,441
      Rep Power : 1456
      Likes Received
      214
      Likes Given
      1

      Default Re: Washikaji wakikutana

      Quote By Abdulhalim
      Good thinking mdau, lakini hii ingefaa kule kwenye Udaku na Utani.
      Poa Adul Nafikiri mode ataihamisha....
      Some sweet hearts are bitter than chloroquine packed in a sweet paper

    5. #4
      Babkey's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th December 2010
      Posts : 1,987
      Rep Power : 913
      Likes Received
      398
      Likes Given
      162

      Default

      Quote By NGULI
      Pinda: Basi mwanangu JK ile umeniteua tu majuzi kushtuka usiku nikasikia kundi la watu liko nje ya nyumba yangu, kucheck dirishani naona wanakijiji wote wa kijiji changu toka Sumbawanga wamekuja kunipongeza na nyungo zao wamezipaki barazani
      JK: Duh, kijiji kizima..!!! Mizengwe nipe hiyo teknolojia niipeleke Bwagamoyo, pamoja na utaalam wetu wachache sana wanaiweza hiyo
      Shein: Kudadadeki, nyie watu wa Sumbawanga noma mmetufunika hata sisi wapemba
      Wote: hahahahahahaaaaaaaa aaaa
      ....nami namalizia...hahaaaahaaaaaahiii iiiii...yeemwe!

    6. FemaTV & Radio

    Similar Topics

    1. Wakikutana hawanyimani!?
      By Baba Erick in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 14
      Last Post: 19th September 2011, 16:19
    2. Enzi hizo wakiwa washikaji!
      By Robbinhood in forum Jamii Photos
      Replies: 3
      Last Post: 3rd May 2011, 20:42
    3. washikaji tupunguze bia na kitimoto vitambi noma
      By father-xmas in forum Jamii Photos
      Replies: 4
      Last Post: 28th February 2011, 20:33
    4. Mambo vipi washikaji?
      By Gabriel3266 in forum Utambulisho (Member Intro Forum)
      Replies: 3
      Last Post: 2nd August 2010, 14:31
    5. Tetesi: Washikaji yamenikuta...
      By Camfu in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 33
      Last Post: 21st January 2009, 16:34

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...