Nilikuwa nafatilia humu ndani nikakuta thread moja...ila jamaa kwa lugha aliyoitumia nilikuwa sijamuelewa!!nikawana tafuta uhusiano na hiyo thread sikupata ....baadae sana kuirudia nikamsoma nimecheka sana!!....Kasema hivi nanukuu...."HUYO NI WATOTO WA NDEGE"!!Watu ni noma Tafuta thread inayosema BoyFriend wanted....
Unaweza usielewe...big up!! http://www.jamiiforums.com/jamii-pho...nd-wanted.html
Its only crazy who will be against to CDM!,only a fool who will fly CCM flag while is hungry!!
Follow Us Here