Mmasai na mwanajeshi wanapigana,,mmasai karusha mkuki mwanajeshi kaudaka kauchomeka chini,,mwanajeshi nae karusha bomu..mmasai kalidaka kalibamiza chini..wajua kilichomtokea.....chaliiiiii
Mmasai na mwanajeshi wanapigana,,mmasai karusha mkuki mwanajeshi kaudaka kauchomeka chini,,mwanajeshi nae karusha bomu..mmasai kalidaka kalibamiza chini..wajua kilichomtokea.....chaliiiiii
Hahahahah du cpt picha
mtu kaliwa!
"Serikali inayowashwa wananchi tu ndo wakunaji"
Searching...
Near by city pub Mbeya.
ilichoma chini....
Hapo kwa masai najua lilikuwa vumbi tu u u u,watambulia lubega,
hahah, unaona shuka jekundu n vpande vpande. Raah
Hapo lazima atakuwa amejiulimboka mwenyewe
kidogo sasa....hapo vumbi tu....
Mori ukipanda Masai ni Kama gaid haogopi kujilipua
Balaa si bomu ni pale alipoagiza cocacola then akamwambia mhudumu bomoa hiyo illipofunguliwa akamwambia bima ya hamusini.
mi nahisi hapo alipandisha mori... akarushwa mpaka heaven! na hakurudi tena!
waliokota mwili kwa uma hapo.... labda liwe halikulipuka au liwe lili lipuka vibaya!
Cfahamu ckuwa eneo latukio
Masikini eeeeeeeeeero wa watu ndo adios tena mama yeyo hakuoni tena
Follow Us Here