{MWANASIASA}:Kama mtanichagua,nitawajengea daraja. {MWANAKIJIJI}:Mheshimiwa utatujengeaje daraja wakati hapa kijijini hatuna mto?. {MWANASIASA}:Okay msijali ndugu zangu,basi nitawachimbia mto halafu nitajenga daraja juu yake,au vp wananchi?

Duh! Kweli siasa ni uongo uliokaribiana na ukweli!
Huyu mwanasiasa lazima atakuwa ccm tu.
Not any other than Mwigulu Nchemba......!
"Unajitia mapana ya kabati wakati miguu ya stuli."
Ndio mzee. . Jenga jenga 2. . .ha ha a hawa ccm hawa ipo cku yao. .
Follow Us Here