Kuna jamaa mmoja baada ya kuzidiwa na haja kubwa aliamua kuingia kwenye shamba la mahindi la bwana mmoja.Alipofika katikati ya shamba,akaangalia pande zote nane kuu za dunia hakuona mtu yeyote karibu.Hapo ndipo alipochukua uamuzi wa kubonyea chini na kuendelea ku-offload mzigo.Akiwa kati kati ya shughuli,mara akasikia salamu kutoka kwa mwenye shamba akiwa nyuma yake,"Habari za saizi bwana?".Ungekuwa wewe ungefanyaje? [a]Ungejibu salamu. [b]Ungemchunia na kuendelea na shughuli huku kakusimamia nyuma yako. [c]Ungekatiza shughuli na kuondoka zako.

Reply With Quote
Follow Us Here