Msichana mmoja alimpeleka mchumba wake kumtambulisha kwao, alipofika tu baba yake akagundua dosari maana kijana ana matege makali na makengeza ya maana! Duuh mvulana kuona sura ya baba mkwe wake imebadilika ikabidi atabasamu kidogo, lahaulaaa...! Alikuwa na mapengo hatari yaani hana meno yote ya mbele! Baba akaamua amwite bintiye!Baba: Mwanangu ebu twende nje kidogo tukaongee.Binti: Baba sema tu hapa hapa mchumba wangu ni kiziwi...! Nini kitafuata hapa


Reply With Quote


Follow Us Here