Jamaa mmoja akizungumza na mwenzake mazungumzo yalikua ivi MWENZAKE bana mimi nataka kununua tv JAMAA acha ufujaji wa pesa tv yanini wakati hata siku moja hutokuja kuonekana kazi kuwaona wengine.MWENZA duu uh hii kali

yee si anajijua kwanin ajione tena kwenye tv hahaha
hahahahah kidogoooo
Follow Us Here