Kulikuwapo na watoto wawili KISA na NATO.
Siku moja NATO alikuwa amenunua kitu chake kinaitwa RAWE; na akawa ajidai nacho kwa KISA kama ifuatavyo.
NATO: Kisa rawe yangu x3… (huku anapandisha sauti)
Bahati mbaya wakati Nato anafanya majigambo haya akatokea mbwa; na Kisa akawa ndo wa kwanza kumwona mbwa huyu. Kisa akaamua amhadharishe mwenzake, Nato juu ya mbwa kama ifuatavyo.
KISA: Nato (weka jina la mnyama huyu) x5 ….
Na uwe makini usitoe sauti kubwa watu wanaweza kujua unaliwa wewe (mtandao wetu ule)!
Na huu ndo ukawa mwanzo wa hayo maneno mawili.

Reply With Quote
kuchekea chooni


Follow Us Here