Jamaa mmoja amedhihirisha kuwa kiingeleza ni soo baada ya kutumiwa jumbe za "happy birthday" kadhaa kwenye wall page yake ya facebook toka kwa marafiki zake mbalimbali wakimtakia heri ya siku ya kuzaliwa kwake. Basi jamaa alipitia message moja moja na kuanza kujibu "YOU TOO"

Reply With Quote

Follow Us Here