1:Nilikuwa NAPITA barabarani,nikaumwa na nyoka.Nani atanisaidia?
2:Nilitumwa na mama KUSAGA UNGA;njiani nikakuta mto umefurika!Nitavukaje?
3:Mtoto mdogo anazikwa kaburi la futi tatu.MTU MZIMA atazikwa kaburi la futi ngapi?
Haya ni baadhi ya mafumbo yanayo zingua sana kipindi cha utoto!
Je wewe unayajua majibu yake?
1:atakusaidia PITA
2:Unga hausagwi,yanasagwa mahindi.
3---
ongezea na ya kwako!!!


Reply With Quote



Follow Us Here