mbongo 1: Aise hivi hii ndege ikizima huku juu itakuwaje?
mbongo 2: Shhhhhh uchune, hawa wazungu hawana maana watatulazimisha tuisukume mpaka iwake.
mbongo 1: Aise hivi hii ndege ikizima huku juu itakuwaje?
mbongo 2: Shhhhhh uchune, hawa wazungu hawana maana watatulazimisha tuisukume mpaka iwake.
Mbuzi kafia kwa mwuza supu.
Jamaa mmoja alienda kwa mganga kuomba dawa uume wake usimame,mganga akamwandikia wimbo wa taifa, jamaa akauliza: huu wimbo ndo dawa? mganga akamjibu wimbo wa taifa rais anasimama itakuwa hicho kidudu chako!
Mbuzi kafia kwa mwuza supu.
Safi sana.
thats coool
...aminia mkuu..
Follow Us Here