Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Wa mwisho ndo mshindi...

    Report Post
    Page 1 of 46 12311 ... LastLast
    Results 1 to 20 of 916
    1. #1
      Wambuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2011
      Posts : 463
      Rep Power : 543
      Likes Received
      100
      Likes Given
      162

      Default Wa mwisho ndo mshindi...

      Habari wana jf, naomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako..

      Mfano:

      Ualimu tanzania ni kazi ngumu kiasi

      kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku

      siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio

      mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari

      madaktari wa tanzania wanahitaji kulipwa zaidi.................... (tuendelee kwa mtindo huo wana jf, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)


    2. #2
      nameless girl's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd April 2012
      Posts : 217
      Rep Power : 404
      Likes Received
      39
      Likes Given
      53

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      zaidi ya watu asilimia 60 ni masikini Tanzania
      Washawasha likes this.

    3. #3
      Physics's Avatar
      Member Array
      Join Date : 14th June 2012
      Posts : 20
      Rep Power : 357
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By nameless girl View Post
      zaidi ya watu asilimia 60 ni masikini Tanzania
      Tanzania ni nchi yenye viongozi wengi mafisadi.

    4. #4
      nameless girl's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd April 2012
      Posts : 217
      Rep Power : 404
      Likes Received
      39
      Likes Given
      53

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      mafisadi ni chanzo cha umasikini

    5. #5
      omben's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th May 2012
      Posts : 350
      Rep Power : 425
      Likes Received
      92
      Likes Given
      363

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Umasikini umeletwa na serikali ya ccm dhaifu
      Erickb52 likes this.


    6. #6
      Wambuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2011
      Posts : 463
      Rep Power : 543
      Likes Received
      100
      Likes Given
      162

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Umasikini umekosa tiba kabisa haswa katika kipindi hiki cha serikali ya CCM

      Quote By nameless girl View Post
      mafisadi ni chanzo cha umasikini

    7. #7
      nameless girl's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd April 2012
      Posts : 217
      Rep Power : 404
      Likes Received
      39
      Likes Given
      53

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      CCM ni chama chenye wapinzani wengi nchini
      Wambuzi likes this.

    8. #8
      Kima Mchanga's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 3rd October 2011
      Location : Dynamic
      Posts : 4,629
      Rep Power : 11255
      Likes Received
      647
      Likes Given
      551

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Nchini mwetu asilimia kubwa ni wananchi wanao ishi chini ya dola moja kwa siku.
      Wambuzi likes this.

    9. #9
      Sheshejr's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2012
      Posts : 433
      Rep Power : 461
      Likes Received
      63
      Likes Given
      1

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Siku zinasonga na serikali ya jk inazid kuonyesha udhaifu.
      Wambuzi likes this.

    10. #10
      Mbundenali's Avatar
      Member Array
      Join Date : 9th January 2012
      Posts : 64
      Rep Power : 388
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Siku magwanda wakichukua nchi nitaongeza mke wa pili
      Wambuzi likes this.

    11. #11
      bonna's Avatar
      Member Array
      Join Date : 13th June 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 61
      Rep Power : 418
      Likes Received
      18
      Likes Given
      11

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      udhaifu hauna tofauti na matopetope
      Wambuzi likes this.

    12. #12
      Wambuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2011
      Posts : 463
      Rep Power : 543
      Likes Received
      100
      Likes Given
      162

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Matope mitaa ya Sinza mvua ikinyesha Dar es salaam ni balaa
      Quote By bonna View Post
      udhaifu hauna tofauti na matopetope
      wa Berick likes this.

    13. #13
      mkupuo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Posts : 171
      Rep Power : 397
      Likes Received
      25
      Likes Given
      4

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Balaa kubwa ni pale unapofumaniwa na rafiki yako mkubwa ukimmega mke wake.
      ram, Kichwa Ngumu, Wambuzi and 2 others like this.

    14. #14
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,779
      Rep Power : 19847
      Likes Received
      4407
      Likes Given
      1715

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Wake wa viongozi wa ccm wanayo kazi maana kila siku fumanizi.

    15. #15
      Adharusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd January 2012
      Location : Mtwara
      Posts : 652
      Rep Power : 504
      Likes Received
      82
      Likes Given
      298

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Fumanizi sio jambo la kawaida
      Wambuzi likes this.

    16. #16
      Madame B's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th April 2012
      Location : KINO CLAIN
      Posts : 13,281
      Rep Power : 28884
      Likes Received
      8612
      Likes Given
      6251

      Default

      Quote By Adharusi View Post
      Fumanizi sio jambo la kawaida
      Kawaida ndo mpango mzima.
      Vinci, mjasiria, Wambuzi and 1 others like this.

    17. #17
      gfsonwin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 12th April 2012
      Posts : 11,274
      Rep Power : 34404
      Likes Received
      10492
      Likes Given
      14558

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Quote By Madame B View Post
      Kawaida ndo mpango mzima.
      mzima hamjui mgonjwa.
      ram, mjasiria, Wambuzi and 1 others like this.
      "thought takes man out of servitude into freedom"
      'daima tudumu katika upendo'

    18. #18
      felinda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd June 2012
      Location : mwanza
      Posts : 272
      Rep Power : 406
      Likes Received
      56
      Likes Given
      45

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      mgonjwa hakikosa tiba kutokana na mgomo wa madaktari hana huai tena.
      Wambuzi likes this.

    19. #19
      Mmwaminifu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Posts : 887
      Rep Power : 724
      Likes Received
      134
      Likes Given
      19

      Default

      Quote By felinda View Post
      mgonjwa hakikosa tiba kutokana na mgomo wa madaktari hana huai tena.
      Tena nitapitia bar kutoa lock
      Wambuzi likes this.

    20. #20
      felinda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd June 2012
      Location : mwanza
      Posts : 272
      Rep Power : 406
      Likes Received
      56
      Likes Given
      45

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      lock haitoki bar ladba upunguze mawazo
      Mentor and Wambuzi like this.

    Page 1 of 46 12311 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...