Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Wa mwisho ndo mshindi...

    Report Post
    Page 17 of 42 FirstFirst ... 7151617181927 ... LastLast
    Results 321 to 340 of 833
    1. #1
      Wambuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2011
      Posts : 442
      Rep Power : 535
      Likes Received
      90
      Likes Given
      139

      Default Wa mwisho ndo mshindi...

      Habari wana jf, naomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako..

      Mfano:

      Ualimu tanzania ni kazi ngumu kiasi

      kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku

      siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio

      mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari

      madaktari wa tanzania wanahitaji kulipwa zaidi.................... (tuendelee kwa mtindo huo wana jf, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)

    2. Miaka 50

    3. #321
      Slaker's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th May 2012
      Posts : 103
      Rep Power : 374
      Likes Received
      7
      Likes Given
      11

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Mmmmmh me napita 2 hapa,pweza kanipa ushndi teh teh teh

    4. #322
      MASABURI's Avatar
      Member Array
      Join Date : 30th December 2011
      Posts : 10
      Rep Power : 375
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Mawazo yamenizidia mpaka najiuliza kwanini nimezaliwa ktk hii nchi iliyojaa ufukara......!!!

    5. #323
      felinda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd June 2012
      Location : mwanza
      Posts : 272
      Rep Power : 402
      Likes Received
      55
      Likes Given
      45

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      ufukara unawatesa wengi

    6. #324
      Ndibalema's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th April 2008
      Location : Mbagala
      Posts : 6,589
      Rep Power : 1998
      Likes Received
      1617
      Likes Given
      1606

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Quote By felinda
      ufukara unawatesa wengi
      Wengi wape
      "Makalio ya sufuria hayaogopi moto"

    7. #325
      Asulo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th June 2012
      Posts : 629
      Rep Power : 473
      Likes Received
      224
      Likes Given
      38

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Wape wanaohitaji huduma usiwaache

    8. FemaTV & Radio

    9. #326
      nduu/mamaya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th July 2011
      Location : AROUND THE WORLD
      Posts : 2,224
      Rep Power : 1001
      Likes Received
      546
      Likes Given
      174

      Default

      Quote By Asulo
      Wape wanaohitaji huduma usiwaache
      usiwaache daima wale waliokusaidia ktk maisha yako hadi umefikia hapo

    10. #327
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,450
      Rep Power : 19778
      Likes Received
      4290
      Likes Given
      1187

      Default

      Quote By nduu/mamaya
      usiwaache daima wale waliokusaidia ktk maisha yako hadi umefikia hapo
      hapo ndipo nilikuwa napataka

    11. #328
      Wambuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2011
      Posts : 442
      Rep Power : 535
      Likes Received
      90
      Likes Given
      139

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      napataka coz pamenoga na mpango umekaa vizuri
      Quote By ruttashobolwa
      hapo ndipo nilikuwa napataka

    12. #329
      Soparino's Avatar
      Member Array
      Join Date : 5th April 2012
      Posts : 22
      Rep Power : 363
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Zimetubana tukijaribu kuvua zitachanika

    13. #330
      comson's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd December 2010
      Location : Dar
      Posts : 187
      Rep Power : 463
      Likes Received
      7
      Likes Given
      25

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      zitachanika zao tuuuuuh za kwetu zitadumu.....
      "udhaifu ma serikali yetu ndio umetufikisha hapa tulipo...." liwalo na liwe naunga mkono hoja.........

    14. #331
      Sajy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd May 2012
      Posts : 891
      Rep Power : 533
      Likes Received
      107
      Likes Given
      97

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Zitadumu zimekuwa CCM?

    15. #332
      gillboss's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 8th April 2012
      Posts : 5
      Rep Power : 360
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      ccm maana yake nn? "chama chamafisadi tanzania"

    16. #333
      Mbassa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th September 2007
      Posts : 108
      Rep Power : 733
      Likes Received
      28
      Likes Given
      1

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      tanzania imekuwa kama nchi ya kusadikika kutokana na matendo ya viongozi wa chama kinachoongoza nchi

    17. #334
      Wi-Fi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th August 2011
      Location : 6°49′24″ S 39°16′10″ E
      Posts : 1,149
      Rep Power : 681
      Likes Received
      323
      Likes Given
      185

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Quote By Mbassa
      tanzania imekuwa kama nchi ya kusadikika kutokana na matendo ya viongozi wa chama kinachoongoza nchi
      Nchi yetu ni kama vile treni iko kwenye tunnel!
      Most discoveries happened by accident!

    18. #335
      peoples power's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 329
      Rep Power : 560
      Likes Received
      27
      Likes Given
      69

      Default

      Quote By nameless girl
      CCM ni chama chenye wapinzani wengi nchini
      Kwa sababu mwenyekiti wa ccm ni dhaifu pamnja na wanachama wake wote ni wadhaifu.

    19. #336
      Shark's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 25th January 2010
      Posts : 4,573
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1305
      Likes Given
      245

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Wadhaifu wengi wako CCMabwepande

    20. #337
      ruaha mbuyuni's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 2
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      mawazo kila mtu anyo

    21. #338
      ruaha mbuyuni's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 2
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      mawazo kila mtu anayo

    22. #339
      nameless girl's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd April 2012
      Posts : 216
      Rep Power : 400
      Likes Received
      39
      Likes Given
      53

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      hiyo sio rule ya mchezo peoples power try again
      Wambuzi likes this.

    23. #340
      felinda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd June 2012
      Location : mwanza
      Posts : 272
      Rep Power : 402
      Likes Received
      55
      Likes Given
      45

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      anayo anayeyawaza

    Page 17 of 42 FirstFirst ... 7151617181927 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...