Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Wa mwisho ndo mshindi...

    Report Post
    Page 16 of 42 FirstFirst ... 6141516171826 ... LastLast
    Results 301 to 320 of 833
    1. #1
      Wambuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2011
      Posts : 442
      Rep Power : 535
      Likes Received
      90
      Likes Given
      139

      Default Wa mwisho ndo mshindi...

      Habari wana jf, naomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako..

      Mfano:

      Ualimu tanzania ni kazi ngumu kiasi

      kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku

      siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio

      mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari

      madaktari wa tanzania wanahitaji kulipwa zaidi.................... (tuendelee kwa mtindo huo wana jf, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)

    2. Miaka 50

    3. #301
      felinda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd June 2012
      Location : mwanza
      Posts : 272
      Rep Power : 402
      Likes Received
      55
      Likes Given
      45

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Quote By Madame B
      Q means Quiz hii ifike tamati?
      We Wambuzi acha masikhara watu saumu zimetubana.
      zimetubana hadi wambuzi amehamua kufunga uzi.

    4. #302
      Shark's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 25th January 2010
      Posts : 4,573
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1305
      Likes Given
      245

      Default

      Quote By felinda
      zimetubana hadi wambuzi amehamua kufunga uzi.
      Uzi usifungwe mpaka comments zifike alfu.

    5. #303
      felinda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd June 2012
      Location : mwanza
      Posts : 272
      Rep Power : 402
      Likes Received
      55
      Likes Given
      45

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      alfu chache sana may be laki

    6. #304
      Ndibalema's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th April 2008
      Location : Mbagala
      Posts : 6,590
      Rep Power : 1999
      Likes Received
      1624
      Likes Given
      1606

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Quote By felinda
      alfu chache sana may be laki
      Laki si pesa, kanga moko ndo mpango
      "Makalio ya sufuria hayaogopi moto"

    7. #305
      Wambuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2011
      Posts : 442
      Rep Power : 535
      Likes Received
      90
      Likes Given
      139

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      mpango wa kufunga kumbi za starehe kipini cha mwezi mtukufu unaashiria nini waungwana?
      Quote By Ndibalema
      Laki si pesa, kanga moko ndo mpango

    8. FemaTV & Radio

    9. #306
      Philipo Kidwanga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th July 2012
      Location : kusadikika
      Posts : 2,063
      Rep Power : 979
      Likes Received
      573
      Likes Given
      147

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      aibu ni kujamba kwa nguvu kwenye mkusanyiko halafu umekula mayai viporo.
      LIMPETA

    10. #307
      Maprosoo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th September 2010
      Location : Sinza/Dar es salaam
      Posts : 2,380
      Rep Power : 1009
      Likes Received
      263
      Likes Given
      57

      Default

      Quote By philipo kidwanga
      aibu ni kujamba kwa nguvu kwenye mkusanyiko halafu umekula mayai viporo.
      Viporo ni breakfast huku uswazi kwetu .......

    11. #308
      Wambuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2011
      Posts : 442
      Rep Power : 535
      Likes Received
      90
      Likes Given
      139

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Quote By philipo kidwanga
      aibu ni kujamba kwa nguvu kwenye mkusanyiko halafu umekula mayai viporo.
      pumbavuuuuuuuuuuu............. ..... unaendelea kuharibu we jambaziiiiiiiii

    12. #309
      felinda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd June 2012
      Location : mwanza
      Posts : 272
      Rep Power : 402
      Likes Received
      55
      Likes Given
      45

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      jambazi ametuingilia kwenye mchezo wetu.

    13. #310
      salito's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2011
      Location : Dar es salaam
      Posts : 971
      Rep Power : 567
      Likes Received
      215
      Likes Given
      138

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      wetu sisi
      ni azam tu..simba haoo..wameolewa...

    14. #311
      chidydullah's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 7th July 2012
      Posts : 3
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      wetu sote huu mchezo lkn mm ndo mshindi thatha...

    15. #312
      Rubi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2009
      Posts : 1,241
      Rep Power : 738
      Likes Received
      154
      Likes Given
      133

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Wambuzi likes this.
      Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee.

    16. #313
      stevesteve's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 24th July 2012
      Posts : 1
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      1

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      sana sana wakichunguza ajali iliyotokea zanzibar wakulaumiwa ni viongozi

    17. #314
      felinda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd June 2012
      Location : mwanza
      Posts : 272
      Rep Power : 402
      Likes Received
      55
      Likes Given
      45

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      viongozi wetu ni dhaifu

    18. #315
      DEMBA's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th May 2012
      Posts : 142
      Rep Power : 382
      Likes Received
      22
      Likes Given
      9

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Quote By felinda
      viongozi wetu ni dhaifu
      "dhaifu" ni neno lililomgharimu mnyika.

    19. #316
      salito's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2011
      Location : Dar es salaam
      Posts : 971
      Rep Power : 567
      Likes Received
      215
      Likes Given
      138

      Default

      Mnyika john au?

    20. #317
      Wambuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2011
      Posts : 442
      Rep Power : 535
      Likes Received
      90
      Likes Given
      139

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Alcohol Mapadlock,
      Quote By salito
      Mnyika john au?

    21. #318
      KAGIMBO MJUNI's Avatar
      Member Array
      Join Date : 17th July 2012
      Posts : 20
      Rep Power : 349
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      Quote By Wambuzi
      Alcohol Mapadlock,
      au ndo maana Tanzania hatuondoki kwenye umaskini

    22. #319
      j white's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 24th July 2012
      Posts : 2
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Re: Wa mwisho ndo mshindi

      umaskini 2nautaka wenyewe tusimlaumu mtu

    23. #320
      Shark's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 25th January 2010
      Posts : 4,573
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1305
      Likes Given
      245

      Default

      Quote By j white
      umaskini 2nautaka wenyewe tusimlaumu mtu
      Mtu aliewasiliana na Dk. Ulimboka sio Abeid, ni Ramadhani Ingond

    Page 16 of 42 FirstFirst ... 6141516171826 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...