Walevi wawili wazungu msimu wa baridi kali kwao Ulaya, walikwenda makaburini usiku "kutafuta mlo". Wakafukua maiti iliyozikwa jioni ile na kutoa alichokula marehemu kwa ajili yao.
Mmoja akawa anakula wakati mwengine anajidai hataki huku "akimfanyia uchafu" mwenzake mpaka yule alokuwa anakula "akavitoa vyote". Baada ya kuvitoa tu yule mwengine akawa anaila yeye.
— We vipi wewe, umenifanyia uchafu mpaka nimevitoa halafu unavila wewe?
— Nilikuwa ninataka uvipashe moto tu, huoni baridi iliyopo?
"JF - SAUTI YA WASIO NA SAUTI ............ na wapayukaji"
Follow Us Here