Hawa jamaa wamebarikiwa sana, yani ni werevu, wajanja, wana busara, wana nguvu, ni wachapakazi, wanajiamini, ni viongozi, wanajituma, alafu wanahela na wanampenda Mungu. Yaani wahaya wamebarikiwa sana. Proud 2b one of them. Thanks God

Mmh huna haya,,,,mwajua kushaukwa tu
hhahahahahahah ungekua mchaga basi ungeipost hii thread yako bbc kabisa duh....
ni kweli kabisa wanajituma, juzi niliona picha wakiwa wanajituma kumpigia salute nape alivyokua akikagua gwaride lao la magreen guards siku aliyoenda kuwatembelea huko bukoba.
wachaga c azishen sredi yenu, mnajikuta kazi kuuza vioski na kushona viatu mjini hapa..
Mimi mwenyewe nawakubali sana hawa jamaa!! Kitu kimoja tu hunikera "KUWAKUMBATIA MAGAMBA!!" HILO TU!!
hata kale katabia umekasahau mmebarkiwa pia
Wahaya washenzi sana! Ni wabinafsi sana.
Mbona umesahau ,mambo yetu yale,nayo mpo juu.
i support u wako juu tena zaidi ya sana
we utakua uligongewa mkeo na wahaya maana ni wazuri sana katika gemu hizo.. so yawezekana mkeo alipata vitu adimu... unaogiopa tu kuadmitt inabidi uingie kivice versa... mkeo hawezi muacha huyo muhaya ataendelea kukucheat tu.. seriously.. jipange broda mkeo ndo mtaamu hasa,, i can smell her harufu.. so sweet
Follow Us Here