Katika hospitali ya wenye matatizo
ya akili daktari alikuwa anataka
kuwapima wagonjwa watatu
wakaletwa ofisini kwake
akamuuliza wa kwanza,'Tatu
mara tatu ngapi?' , Mgonjwa
akajibu '200'. Akamuuliza wa
pili,'Tatu mara tatu ngapi?'
Mgonjwa akajibu,'Jumamosi".
Hatimae daktari akamuuliza
watatu,'Tatu mara tatu ngapi?.
Mgonjwa akajibu 'Tisa' . daktari
akafurahi sana akajua japo huyu
ana maendeleo. Akamuuliza
mgonjwa,'Umepataje jibu?'
Mgonjwa akasema,'Rahisi sana,
200 kutoa Jumamosi inabaki 9'

Reply With Quote



Follow Us Here