Mpishi aacha kupika na kumfumania mkewe na mwanafunzi wakipeana.............
Mpishi wa shule fulani alijikuta akilikimbia jiko huku amebeba silaha za kijadi na kuelekea gesti ambako aliumwa sikio mkewe alikuwa kule akishughulikiwa kikamilifu na mwanafunzi ambaye yeye huwa anamtengenezea misosi yake...........
Alipofika kule akaamua kumpigia simu ya mkono mkewe ambaye hata hivyo hakupokea na huku akisaidiwa na wasamaria wema wakaufungua ule mlango na kuwakuta ni kweli................lilikuwa ni bonge la fumanizi.............
Jinsi anavyompenda mkewe, mpishi akamwuuliza kama kweli walikuwa wanadu mle chumbani na yule mwanafunzi...................k abla hata hajapewa majibu alizirai...................... ..bado ninafuatilia.................. .......baada ya hapo ilitokea nini tena.........
Bofya hapa kwa maelezo ya kina............ Crazy Monday
Follow Us Here