wamachame,wakibosho,warombo,wo oote mliomo humu ndani nyoosha mkono upate kuhesabiwa kwenye hii sensa ndogo...
wamachame,wakibosho,warombo,wo oote mliomo humu ndani nyoosha mkono upate kuhesabiwa kwenye hii sensa ndogo...
hatufanyiwag sensa kishamba hvi bila pombe, pesa na ndafu. . . Vilete kwanza ndo uombe kutuhesabu.
Mnataka kuleta ujamaa hadi humu jamvini.
Hebu tanguliza pesa kwanza aisee..
acha kuleta mambo ya ukabila kishamba humu wewe.........
Aisee hii ni ya nini arifu?
mimi ndiye mangisina wa kibosho
leta mtango kwanza ala!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Follow Us Here