Mpolisi karudi home usiku, ili asimuamashe mkewe hakuwasha taa ya chumbani kwake akaaanza kuvua unifom zake, ghafla mkewe akamwambia kwa sauti ya usingizi,
MKE: Mpenzi usiwashe taa kichwa kinanigonga vibaya, naomba uende hapo jirani kwa kaduka ka Mangi kaniletee panadol. Mpolisi akavaa chapchap na kukimbia kwa Mangi.
MPOLISI: Mangi nipe panadol.
MANGI: Hii hapa afande. He afande toka lini umejiunga na Magereza, naona leo umetwanga unifom ya Magereza


Reply With Quote

Follow Us Here