1.Mabaamedi na mameneja wao
2.Madereva tax
3.Vinyozi na wasusi wa kiume
4.Madj (except me)
5.Wanamuziki
mwisho wao kama si kufa kwa ukimwi au kuuliwa kwa kufumaniwa basi ni bahati yako. Najua zipo nyingi kwa saiz nimezikumbuka hizo
1.Mabaamedi na mameneja wao
2.Madereva tax
3.Vinyozi na wasusi wa kiume
4.Madj (except me)
5.Wanamuziki
mwisho wao kama si kufa kwa ukimwi au kuuliwa kwa kufumaniwa basi ni bahati yako. Najua zipo nyingi kwa saiz nimezikumbuka hizo
Wale jamaa wanaoosha dada zetu miguu,kusafisha kucha na kupaka kucha rangi.
Wapiga puchu kwa kushare sabuni!
wanywaji/walevi wooote... hata kama sio kazi
Ma-Mod...........sijasema JF
"Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"
mashehe
maimamu
maustadhi ...Mapadri,Masister,Maparoko,M ashemasi..n.k
mADAKTARI BINGWA WA WANAWAKE
HONGERENI SANA WOTE MLIOMPA KURA DR. SLAA (PhD) ILI AIKOMBOE TANZANIA. MAPAMBANO YANAENDELEA
wauza chips,wauza vyakula chuoni,wavuvi wa kigamboni....
Wakimbiza mwenge....
GESI KWANZA KOROSHO BAADAE!!
Mbona mmewasahau viongozi serikarini
Celebrity forum
mashoga, bongo move,watangazaji wa clouds,mamiss kama wema,wanajamii frm
Follow Us Here