1.Mabaamedi na mameneja wao
2.Madereva tax
3.Vinyozi na wasusi wa kiume
4.Madj (except me)
5.Wanamuziki
mwisho wao kama si kufa kwa ukimwi au kuuliwa kwa kufumaniwa basi ni bahati yako. Najua zipo nyingi kwa saiz nimezikumbuka hizo
1.Mabaamedi na mameneja wao
2.Madereva tax
3.Vinyozi na wasusi wa kiume
4.Madj (except me)
5.Wanamuziki
mwisho wao kama si kufa kwa ukimwi au kuuliwa kwa kufumaniwa basi ni bahati yako. Najua zipo nyingi kwa saiz nimezikumbuka hizo
Wamachinga wale wanaouza nyumba hadi nyumba pia madaktari wote na zaidi wa mifugo akija leo akikuta mkeo, mwanao, mdogo ako, h/girl yeyote mzuri atakuambia inatakiwa sindano ya kumchoma ng'ombe kama siku 5 hivi na hata baada ya ng'ombe kupona anakuwa anakuja kumtizama anaendelea je kila siku bila garama yeyote
hii inategemeana na Tabia ya mtu,kuna mabaamedi wanajiheshimu sana sio watu wa kugawagawa hovyo.sina uhakika kama maneno yako yana ukweli wowote.
1.Wasanii wote wa bongo movie
2.Waliopo facebook, twiter,g+
3.mademu wa tigopesa,Mpesa,AirtelMoney
Bila kusahau washabiki wa kanumba
Na ukiwa unaandika post za kipumbav km hz lazma uwe punga,au bwabwa au shoga
Kweli,pia ukiandika ***** kama huu wa muanzisha uzi mwisho wako ni kupakuliwa
Follow Us Here