Hapa unaona Nyuso Ngapi za Watu?
Hapa unaona Nyuso Ngapi za Watu?
Never Judge any one because you never know how their life is and what they are going through
Me nimeona 4
Hakuna
MTU MPUMBAVU HATA UKIMTWANGA KWENYE KINU PAMOJA NA NGANO UPUMBAVU WAKE HAUMTOKI
zipo sura tano
Nimeona 9
zipo kumi na mbili
Moja tu. Tena amefanana na wewe
JIBU:
Zipo Nyuso za watu 10, ukiangalia kwa makini upande wa kushoto kwa juu kuna nyuso 5, kulia kuna uso 1 kuna huo uso wa mzee katikati...na kwenye huo uso wa mzee kuna watu 3 mwanaume 1 aliyevaa kofia ya Kivietinam na mwanamke aliyebeba mtoto...inakuwa ni Nyuso 10 pamoja na uso wa mtoto!! Asanteni kwa waliojaribu
Never Judge any one because you never know how their life is and what they are going through
sio kweli, upande wa kushoto zipo nyuso 4, thibitisha jibu la 5
.
Mkuu, Bushbaby siku nyingine ukileta maswali yako hapa katika kutoa majibu unatakiwa uwaelekeze watu ili wajue kufumbua hilo fumbo lako.
Naona hata baada ya kuwaelekeza maswali/ubishi umeendelea - sasa mimi nimeamua kuonyesha kabisa ili kila mtu aelewe kuwa zipo sura 10 - kama kuna mwingine ameiona nyingine aseme
ATTN: nchasi e2themiza PingPong deejay-nasmile HAKUNA Annael
Dduhsi itnuhn kose kiri itda ---> 뜻이 있는 곳에 길이 있다
mi nimeona 10
Zipo sura kumi na mbili. Hapo mbele kwa chini kuna kitu kama mbwa wa brown/ mwekundu ambae mkuu Dotworld hajampoint. Pia huo mkongojo wa babu + mkono umetengeneza sura,kati yake na mama mwenye mtoto. Angalia vizuri utaelewa tu.
Follow Us Here