Unajua walianza mahusiano ya kimapenzi kabla ya miaka 18!
Unajua walianza mahusiano ya kimapenzi kabla ya miaka 18!
kanumba has to rest, plz leave him alone!!!!!
Only those who risks going too far knows how far they can go.
ndugu wakubwa kuna tetesi kuwa simu aliyopigwa usiku ule na kusababisha maafa ilikuwa ni ya waziri fulani...mwenye jina aliweka hapa tumjue inawezekana yeye ndo source ya kifo kwani hata mie mke wangu akinambia anatembea na waziri tena waziri wa mzee wetu wa kichwa cha nazi na jinsi walivyowafuksa na ufisadi lazima nipatwe na brain concusion...![]()
kuna tetesi kuwa lulu alikuwa anaongea na NAPE kwenye simu na alivyobanwa sana na marehemu kanumba akamwmbia kuwa alikuwa anazungumza na nape na nimpenzi wake wa kitambo je kweli?mwenye uhakika atufunulie hapa...wengine wanasema ni idd azan...
kwani unahitaji nini haswa!
hata sasa bado hajafika 18
Daily News halisomwi tandale kwa mtogole - MPOKI
Hebu acheni ujinga zungumzen mambo mliyokuwa na ushahd nayo au hamna mada za kuandika?
yameshasemwa mengi mpaka sasa wengine wanadai alikuwa anaongea na Zito, jaman heb tuachen haya mambo coz inaonekana kila mtu anasema lake, tuwaachie polisi with time tutajua mbivu na mbichi
Follow Us Here