iko hivi tuna mtafuta tajiri wa wote jf. cha kufanya rply porojo za mtu kwa kumshusha chini kwa gharama za mdomo..
naanza
nina mpango wa kujenga barabara toka bongo hadi zenji na nitakuwa napita mwenyewe..na hummer yangu..hayo ni mafanikio baada ya kuuza ukumbi mmoja wa mieleka kwa mmiliki wa wwe..

Reply With Quote


Follow Us Here