Jamaa alienda Saudi Arabia,kataka kuvuta sigara lkn hakuwa na kiberiti.pembeni yake kukawa na muarabu
anacho sasa hajui amuombeje.basi lilimtoka tu 'Give me Jahannam'
Jamaa alienda Saudi Arabia,kataka kuvuta sigara lkn hakuwa na kiberiti.pembeni yake kukawa na muarabu
anacho sasa hajui amuombeje.basi lilimtoka tu 'Give me Jahannam'
Teh teh
cjacheka cku mingi...
nimeanza sasa...
ila mwarabu atampa kiwashio kingine..
haha hahaha...
tobaaaa
Give me Jehanam!! mmhhh!
imetulia mkuu
Mbuzi kafia kwa mwuza supu.
jamani acha nicheke mie, du mbavu zangu!!!!
Ha ha ha! DAh! Jamaa mwisho!
"Bread doesn`t belong to the wise nor wealth to the rich . . . only time and chance governs all"
Searching...100%
Loading...0%
Network failed !
hiyo ya ukweli Nilikuwa nimegombana na ubavu wagu nimempa hiyo akacheka yakasha
Follow Us Here