JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 25
  1. TaiJike's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2011
   Posts : 1,300
   Rep Power : 767
   Likes Received
   452
   Likes Given
   411

   Default Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   Dereva mmoja kwa jina MIKE alikuwa anampeleka boss wake Airport. Njiani Boss alikumbuka kuwa amesahau document muhimu sana hivyo alimwamrisha Mike amrejeshe haraka nyumbani aifuate hiyo document. Walipofika nyumbani Boss alimkuta mkewe yuko bafuni anaoga na amejipaka sabuni usoni. Kwa mapenzi mumewe alifungua mlango wa bafuni na kumshika makalio na ndipo mkewe alipojibu, ''MIKE ushamfikisha huyo mpumbavu airport kwa haraka hivyo. Usiwe na haraka tutakuwa na raha weekend yote hii kwani tutakuwa wote LAAZIZ wangu. Mkewe boss akaona kimya akaona kulikoni?Aliosha uso wake na mara akamwona mumewe?? Jamani kilichoendelea mimi sijui......Unadhani safari iliendelea?
   * Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere  2. mgodi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th November 2010
   Posts : 1,442
   Rep Power : 853
   Likes Received
   238
   Likes Given
   267

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   Mkuu, hapo utakuwa upo juu.

  3. jonah's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th December 2011
   Location : KILIMANJARO
   Posts : 370
   Rep Power : 582
   Likes Received
   73
   Likes Given
   15

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   Asee n hatar

  4. TaiJike's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2011
   Posts : 1,300
   Rep Power : 767
   Likes Received
   452
   Likes Given
   411

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   Umeona eeee.
   * Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere

  5. Arabii's Avatar
   Member Array
   Join Date : 23rd December 2011
   Posts : 30
   Rep Power : 512
   Likes Received
   7
   Likes Given
   2

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   Ndoa haipo hapo.

  6. senator's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th August 2007
   Location : Ziwani
   Posts : 1,936
   Rep Power : 1121
   Likes Received
   49
   Likes Given
   48

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   Tete tehe tehehe yaaani Ndoa huenda ikawepo ila mike lazima apate habari yake kuwa mke wa mtu
   ni sumu
   Don't regret what you said, regret what you didn't say when you had the chance....!"

  7. ze encyclopedia's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 18th November 2011
   Posts : 243
   Rep Power : 559
   Likes Received
   73
   Likes Given
   72

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   aaah..! ume kopi ende pacte humuhudu, tofauti heading..!

  8. Erickb52's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st November 2010
   Location : Ngarenaro
   Posts : 18,518
   Rep Power : 78669061
   Likes Received
   11228
   Likes Given
   17370

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   Aibuuu

  9. Gabmanu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 9th February 2012
   Posts : 161
   Rep Power : 531
   Likes Received
   9
   Likes Given
   4

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   Kama ni mimi nisingekasirika ningeendelea kushikashika tu.

  10. Viol's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th December 2009
   Posts : 18,204
   Rep Power : 429500680
   Likes Received
   4680
   Likes Given
   4470

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   Teh teh teh atakuwa aliahirisha safari
   addicted to fake london girl.

  11. Viol's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th December 2009
   Posts : 18,204
   Rep Power : 429500680
   Likes Received
   4680
   Likes Given
   4470

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   Quote By ze encyclopedia View Post
   aaah..! ume kopi ende pacte humuhudu, tofauti heading..!
   sasa mkuu kama we ushaiona kuna haja gani ya kureply.
   addicted to fake london girl.

  12. TaiJike's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2011
   Posts : 1,300
   Rep Power : 767
   Likes Received
   452
   Likes Given
   411

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   Quote By Arabii View Post
   Ndoa haipo hapo.
   Ni mchakamchaka tu Bob.
   * Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere

  13. TaiJike's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2011
   Posts : 1,300
   Rep Power : 767
   Likes Received
   452
   Likes Given
   411

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   Quote By Excellent View Post
   sasa mkuu kama we ushaiona kuna haja gani ya kureply.
   Baby usimlaumu bado anatumikia kale ka ugonjwa.
   * Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere

  14. TaiJike's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2011
   Posts : 1,300
   Rep Power : 767
   Likes Received
   452
   Likes Given
   411

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   Quote By ze encyclopedia View Post
   aaah..! ume kopi ende pacte humuhudu, tofauti heading..!

   Leta yako orijino.
   * Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere

  15. Amoeba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th August 2009
   Posts : 3,333
   Rep Power : 1308
   Likes Received
   558
   Likes Given
   725

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   Kwanza kwa vile nimemkuta yuko vile obviously nitatamani, na kwa vile alishamtaja mike ina maana jamaa anakamau, hvo mimi sitapitia njia ya sku zote itabidi niingilie fasi ya tigo, baada ya Hapo MIKE ajiandae kukojoa dagaa aina ya "furu"......miba ya kufa mtu, ni kumpiga mashine tu!

  16. Going Concern's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th July 2011
   Posts : 839
   Rep Power : 694
   Likes Received
   298
   Likes Given
   182

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   mmmmh...

  17. TaiJike's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2011
   Posts : 1,300
   Rep Power : 767
   Likes Received
   452
   Likes Given
   411

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   Quote By Amoeba View Post
   Kwanza kwa vile nimemkuta yuko vile obviously nitatamani, na kwa vile alishamtaja mike ina maana jamaa anakamau, hvo mimi sitapitia njia ya sku zote itabidi niingilie fasi ya tigo, baada ya Hapo MIKE ajiandae kukojoa dagaa aina ya "furu"......miba ya kufa mtu, ni kumpiga mashine tu!
   Mike atakuwa alisharibu mazingira hakuna seal tena kunako tgo.
   * Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere

  18. TaiJike's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2011
   Posts : 1,300
   Rep Power : 767
   Likes Received
   452
   Likes Given
   411

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   Quote By mayombo View Post
   mmmmh...
   Mayombo, vipi utaogopa Yombo au Shombo?
   * Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere

  19. Nicas Mtei's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2010
   Location : Naelekea Kanani
   Posts : 11,438
   Rep Power : 1304178
   Likes Received
   6937
   Likes Given
   6087

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   patamu hapo

  20. nelly nely's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2012
   Location : BUZEBAZEBA/KONGWA
   Posts : 670
   Rep Power : 12357
   Likes Received
   185
   Likes Given
   53

   Default Re: Usiwe na haraka tutakuwa wote LAAZIZ

   uyo naee....kilichomrudisha nyumbani ni documents...cha kumfuatia mkewe bafuni?

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...