Bibi na mjukuu wakiwa sokoni.
Bibi:Diploma nilitee paketi ya sukari ziache matunda.
Mwuzaji:We bibi mjukuu wako anaitwa Diploma?
Bibi:Ndiyo
Mwuzaji:Kwanini?
Bibi:Kwasababu nilimpeleka binti yangu chuo na hichi ndo alichorudi nacho

Unachokitaka hukipati aliyekipata hakitumi hapo ndo utadata!
Tehe teh teh ! Excellent is back. Ulikuwa umejipiga ban mwenyewe nini kamanda?!
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
Welcome back
zote poa bwana, ila huyo diploma baba yake ni nani?
mbavu zangu
khe khe khe khe
Follow Us Here