Unakuta mtu anakutania:
unakuwa mshamba kama wa URU(mchaga)
acha kuwa kama mnama(mkibosho)
wewe ndakoruuu nini(mmeru)
mwana siku hizi unapiga suruali za kina mwaitege(mnyakyusa)
............
...........nukta
Unakuta mtu anakutania:
unakuwa mshamba kama wa URU(mchaga)
acha kuwa kama mnama(mkibosho)
wewe ndakoruuu nini(mmeru)
mwana siku hizi unapiga suruali za kina mwaitege(mnyakyusa)
............
...........nukta
mwana ckuhz unavaa masendoz makubwa kama msukuma au muha.
Unamaneno mengi kama mzaramo wa msanga.nukta
Bahili kama washindiathe!(mpare)
Unapenda kulalamika kama msambaa
....Be sure you put your feet in the right place, then stand firm...
acha kuleta ubishe wa kimakonde
Unazaa kama mpemba.nukta
Mwepesi kama mnyaturu
Mkono mkubwa kama msukuma
huwa pia kuna sifa zinazoendana na makabila
kama unakula ugali mkubwa/ mgumu kama msukuma
unatembea kama msafya
unahuruma kama mbulu
Malaya kama mnyakyusa, mchafu kama msafwa, unahasira kama mhehe...
mbishi kama mkinga!
kicheche kama mbulu,mweusi kama mjaluo,mkorofi kama mmeru
Katili kama mnyiha
Follow Us Here