1.Mtoto akililia wembe..ujue kakuwa. 2.Haba na haba... huleta mahaba. 3.Asiyefanya kazi...ale mavi. (Ongezea za kwako)
1.Mtoto akililia wembe..ujue kakuwa. 2.Haba na haba... huleta mahaba. 3.Asiyefanya kazi...ale mavi. (Ongezea za kwako)
Mtaka cha uvunguni sharti ainame....je? mtaka cha kitandani sharti afanyeje?.
nnnnnn!...
Haba na haba, haba nyingi.
Last edited by Mzee; 20th September 2011 at 13:05.
Mchezea mavi hakosi kunuka
shuzi likubanalo hulijambi likakwisha
Tehe tehe tehe hii ya shuzi kiboko!
Don't regret what you said, regret what you didn't say when you had the chance....!"
Teh teh teh kweli shuzi likubanalo hulij............!!!
zimwi likujualo....halikuli kabisa
usipoziba ufa,,,,,mwizi atachungulia
Mwizi apigi hodi.
Vichaa kwao milembe c jf.
mficha uchi utaliwa na nyenyele
Simba mwenda pole..iko gonjwa hiyo ..au ha.ni.thi
Never Judge any one because you never know how their life is and what they are going through
aliye juu mfuate hukohuko.
kuchamba kwingi...... kuondoka na ma-v.
mlenga jiwe kundini.......hajui limpataye.
Yeremia 33:3
Chovya chovya utachovya na kwenye chupa ya acid!
Nyani halioni kundule (ku.ndu lake)
Samaki mkunje mpaka anye.
Follow Us Here