kipofu mmoja alikua amembeba kilema..! the thing ni kwamba kilema alikua anamsaidia yule kipofu kuona..! na kilema alikua kilema wa miguu..! alikua hana miguu yote miwili..! so alikua anakaa maeneo ya kwenye shingo ya kipofu..! siku moja wakawa matembezini....! yule kipofu akamuuliza yule kilema "..vipi kuna mademu hapo mbele nini..?" yule kilema akasema "...ndio kwani umejuaje..?" yule kipofu akamwamia naskia umeniDIND*SHIA hapo shingoni..!

Reply With Quote
Follow Us Here