Enzi hizo ukikodi Taxi kwenda kuchukua mtoto wa kike lazima gari iwe ni hii kwi kwi kwi kwi
Enzi hizo ukikodi Taxi kwenda kuchukua mtoto wa kike lazima gari iwe ni hii kwi kwi kwi kwi
Last edited by Invisible; 20th February 2007 at 16:38. Reason: Done
Hiyo gari mbona kali!unachukua mtaa mzima.Kuna garage moja huku(jina nalihihifadhi)a.k.a.'crimp ma ride'(ni kutofautisha na ile 'pimp ma ride'ya Xzibit)wakiipata hiyo inatoka kama sio ya snoop basi ya Diddy!!
Old is Gold.
Safari hii mpaka kieleweke..
Follow Us Here