Kuna tetesi zisizothibitishwa kwamba Simba Sports Club wanataka kuwashtaki Tanesco kwa kuvunja moja ya kipengele kikuu (major term) cha mkataba. Kwa mujibu wa mkataba wao Tanesco walitakiwa kukata umeme dakika tano kabla ya mpira kuisha endapo Simba ingekuwa imefungwa ili ikibidi gemu irudiwe siku nyingine. Japo kwa kufanya hivyo ingeleta gharama nyingi zisizokuwa za lazima kwa TFF. Lakini Tanesco waliamua kukata umeme baada ya mpira kuisha na timu hiyo ktunukiwa ushindi wa pili.
Viongozi wa timu wako kwenye maandalizi ya ku-file kesi!
Wanasheria vp hapa jamaa wanaweza kushinda kweli!!

Reply With Quote
Follow Us Here