Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Enzi ulipokuwa boarding.

    Report Post
    Page 5 of 14 FirstFirst ... 34567 ... LastLast
    Results 81 to 100 of 276
    1. #1
      Jaguar's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th March 2011
      Location : IRINGA
      Posts : 3,000
      Rep Power : 1085
      Likes Received
      677
      Likes Given
      256

      Default Enzi ulipokuwa boarding.

      Nakumbuka siku moja nikiwa o-level form 1 kibaha sec,si unajua ule utaratibu wa misosi,watu kadhaa mnaunda kikosi,maybe watu 13 mnakuwa na dishi lenu moja la ugali/wali na moja la mboga.

      Ugumu ulikuwa unatokea ikifika zamu yako, unafuata msosi jikoni,unagawa kwa wenzio na kuosha madishi na kuyarudisha jikoni.siku moja jamaa alipojua ni zamu yake akaamua kutokuja kabisa.

      Tulikuwa form one 5,form two 4 na form four 2.Form four mmoja akashauri form one(nyoya,salamanda,nyoka) mmoja ajitolee lakini tuligoma wote. Wale form iv walijitolea ku-save msosi,ila walichofanya sitasahau.

      Waligawana msosi wao wawili wakatosheka, baada ya hapo walimwaga wali wote uliobaki chini na mchuzi wakaugeuza maji ya kunawa,kiufupi tulipigwa dash.

      Dah!vp wewe ulipokuwa form one,tupe kisanga kilichokukuta!
      sakapal and patience96 like this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #81
      Nyangiez's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th March 2011
      Posts : 314
      Rep Power : 475
      Likes Received
      13
      Likes Given
      15

      Default

      Quote By mseseve
      Nakumbuka enzi za afande miraji makongo basi kulikuwa na mti wa maembe karibu na canteen ya shule ile kuona maembe yameiva akajua kuna madenti waroho wa maembe basi akaandika kibao 'ANGUA EMBE' akakitundika juu yake. Looh hakuna hata dent aliyedhubutu kusogea karibu. Kulikua na matoz wa pre form 5 walikuja kurudia masomo kuona kile kibao wakajua ruksa wakapanda kuangua embe afande miraj akawakamata kwenda kuwapa adhabu wakajua ni kwenda kupewa msitu kufyeka cha kushangaza kawapeleka kwenye ofis yake ilikuwa banda la mabati mbele yake kulikuwa na kisima cha taka basi kawaambia nisubirin hapa aingia ndan karudi na redio kaweka Taarab(mipasho) akawaambia haya vidole juu na muanze kuimba atakae onyesha mautundu atasamehewa.ilkuwa very funy
      mbavu sina jamani! Daaaah R.I.P miraji

    4. #82
      Nyangiez's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th March 2011
      Posts : 314
      Rep Power : 475
      Likes Received
      13
      Likes Given
      15

      Default Re: Enzi ulipokuwa boarding.

      nakumbuka shule moja ya gals,form5 kpnd hicho, maji yalikuwa ya shida kinoma! Kisimani ilikuwa ni kugombana daily! Na kuibiana maji ilikua kawaida! Sasa ili kukomoana mtu asikuibie maji ikawa watu wanaloweka chupi zao chafu ndani ya ndoo ya maji ili yasiibiwe! Cha kushangaza asbh mtu akiamka anakuta chupi imetolewa,imewekwa kando,na maji yameogewa kama kawaida!
      Last edited by Nyangiez; 20th April 2011 at 09:06.

    5. #83
      gooner's Avatar
      Member Array
      Join Date : 23rd November 2010
      Posts : 16
      Rep Power : 434
      Likes Received
      1
      Likes Given
      1

      Default Re: Enzi ulipokuwa boarding.

      Kwa wale PUGU BOYZ wanakumbuka sana kwenda pondi na foleni za mihogo kwa mama pendo(RIP),bila kusahau watu tulivyokuwa tunakata weeks bila kuoga coz shule haina maji...mvua ikinyesha ndo kila mtu anavua nguo akaoge kwenye mvua.

    6. #84
      wapalepale's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 21st March 2011
      Posts : 202
      Rep Power : 454
      Likes Received
      21
      Likes Given
      33

      Default Re: Enzi ulipokuwa boarding.

      Quote By gooner
      kwa wale pugu boyz wanakumbuka sana kwenda pondi na foleni za mihogo kwa mama pendo(rip),bila kusahau watu tulivyokuwa tunakata weeks bila kuoga coz shule haina maji...mvua ikinyesha ndo kila mtu anavua nguo akaoge kwenye mvua.
      daaah umenikumbusha mbali wewe, rough paper zilikuwa muhimu sana pugu

    7. #85
      Jaguar's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th March 2011
      Location : IRINGA
      Posts : 3,000
      Rep Power : 1085
      Likes Received
      677
      Likes Given
      256

      Default Re: Enzi ulipokuwa boarding.

      Mi nilikuwa nashangaa sana,Tanga tech siku ya vyoo vya shimo kuzibuliwa,yanatolewa mawe,magunzi,sahani,vijiko,vik ombe n.k,sasa sijui watu wanakula msosi na kunywa chai chooni au hivi ndo vifaa alternative vya kutawadhia,na cha ajabu zaidi ukutani kuna maandishi,herufi zimeundwa vizuri sana kwa kinyesi!

    8. Miaka 50

    9. #86
      chloe.obrain's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th February 2010
      Location : CTU
      Posts : 390
      Rep Power : 548
      Likes Received
      17
      Likes Given
      44

      Default Re: Enzi ulipokuwa boarding.

      Quote By TANMO
      Mkuu umegusa penyewe, namkumbuka "Braza" Mpande na mambo yake ya kuja kuamsha watu kwenda mchaka mchaka. Kuna siku alikuja na kali ya mwaka: Eti akiwaona watu mjini alikuwa anawakariri uso, sasa watu wamegundua wakimwona tu wanageuka upesi na anashindwa kuwakariri uso, basi akasema atakuwa anakariri visogo. Baada ya majuma kadhaa akasema wanafunzi wakimwona basi wanageuka na kuvua mashati wanayafunga kichwani ili kuficha visogo, sasa akasema basi nitakuwa nakariri (ashakum siyo matusi) ******, nikiliona linaenda hivi au hivi basi nitajua ni la fulani,,, alikuja kutuacha hoi siku alipo-prove jinsi mbinu yake inavyofanya kazi kwa kumtolea mfano jamaa mmoja aliyemwona town Moshi,,

      Yule Mwalimu sintokaa nimsahau aisee..
      ha ha ha ha ha ha I won't forget Mr. Mpande either. anavyoongea " ebana, nasema hivi, kesho asubuhi, wote mchaka mchaka" wa Moshi Tech watajua nachomaanisha.
      "God is Good......All the time, and All the time.....God is Good"

    10. #87
      MTENDAHAKI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2011
      Posts : 512
      Rep Power : 518
      Likes Received
      62
      Likes Given
      68

      Default Re: Enzi ulipokuwa boarding.

      kazi ilikuwako iyunga wazee!WAULIZENI JAMAA (KINA HEMSO KABOGI,NIGA NA WENGINEO) WALE WALIOTOKA TAMBAZA BAADA YA KUFANYA FUJO MIAKA YA 94/5 NA KUHAMISHIWA IYUNGA!!WALIBEBESHWA MIZINGA yao toka stendi ya tazara mpaka shuleni iyunga Tech (aka Kambi ya Jeshi) kipindi hicho chini ya Headmaster Mwaipopo!!

    11. #88
      Engineer2's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 31st March 2009
      Location : Mibikimitali
      Posts : 121
      Rep Power : 541
      Likes Received
      8
      Likes Given
      9

      Default Re: Enzi ulipokuwa boarding.

      Quote By Bovidae
      Mkwawa Complex and Casino, I just love it...Nilikwenda kufanya 'hijja' pale but was sad coz sasa imekuwa university. The government needs to preserve some sites for historic interests.
      Kweli mkuu hasa yale maeneo ya bomba tatu na kibanda simama....

    12. #89
      ZLATAN's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 5th October 2010
      Posts : 113
      Rep Power : 460
      Likes Received
      7
      Likes Given
      10

      Default Re: Enzi ulipokuwa boarding.

      Quote By TANMO
      Mkuu umegusa penyewe, namkumbuka "Braza" Mpande na mambo yake ya kuja kuamsha watu kwenda mchaka mchaka. Kuna siku alikuja na kali ya mwaka: Eti akiwaona watu mjini alikuwa anawakariri uso, sasa watu wamegundua wakimwona tu wanageuka upesi na anashindwa kuwakariri uso, basi akasema atakuwa anakariri visogo. Baada ya majuma kadhaa akasema wanafunzi wakimwona basi wanageuka na kuvua mashati wanayafunga kichwani ili kuficha visogo, sasa akasema basi nitakuwa nakariri (ashakum siyo matusi) ******, nikiliona linaenda hivi au hivi basi nitajua ni la fulani,,, alikuja kutuacha hoi siku alipo-prove jinsi mbinu yake inavyofanya kazi kwa kumtolea mfano jamaa mmoja aliyemwona town Moshi,,

      Yule Mwalimu sintokaa nimsahau aisee..
      Mkuu umenikumbusha sana Moshi Tech...
      Kuna siku mpande alikuja dom letu no. 39 Karume kule na kutudaka kisa eti mshkaji mmoja alizima taa wakati tu kaingia bwenini. Sasa akatupeleka pale TYL ofisini na kuanza mikwara na vibao kibao kwa yule mshkaji ili amtaje aliezima taa. Jamaa kuona vibao akamtaja mshkaji wangu basi alikula vibaooo na wakati akiendelea kula vibao akamwambia Mpande... "..Basi ticha umeshinda..." Dah!! Utafikiri ndo alichochea mafuta kwenye moto, alikula makofi, vichwa, nakoz za kufa mtu mpaka tukataka kumzuia ticha ila mshkaji mwingine akadai tuache tu. Iliniuma sana hata kesho yake siku tuliyokuwa tunamaliza shule mshkaji aliepigwa akataka tukamuage ila nikamchomolea as hasira zilikuwa bado zipo..
      Kwa waliosoma ile shule hawatomsahau Mpande aisee...

    13. #90
      Masika's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th September 2009
      Location : Mamtoni
      Posts : 717
      Rep Power : 635
      Likes Received
      13
      Likes Given
      32

      Default Re: Enzi ulipokuwa boarding.

      nikiwa Makuyuni sec(jkt) arusha 1997 kama njuka jamaa wa bweni la serengeti walijaza -----(miiba midogo dogo) kitandani kwangu
      natoka prepo najilaza wee nliwashwa usiku mzima nlitamani kurudi home.Jion yake nli miss ngama(ugali) na asubuhi tulikuwa tunapiga uji nao nika miss sasa kuna mke wa mwl anauza maandazi ikabidi nikanunue 10 nipige,wakajua nna poket ya kutosha usiku wakajafungua mzinga
      wangu(tranker) wakapiga sachi kumbe nlikuwa nimeweka kwa ticha basi waka komba blu band na sukari wakafunga vizuri(walikuwa wanatumia funguo malaya kufungua mizinga ya watu na hicho kitendo walikuwa wanaita kut..mbesha na kulikuwa na watu maalumu wanaenda taun kutafuta key kwa kufuli ngumu dduuu tulikuwa tunalimishwa hatua 4 kwa 70 urefu du kupalilia robo heka baada yakutoka class mchana ilikuwa kawaida tu,ukifanya kosa unapewa 1/2heka nawamiss sana wamasai akina loning'o, melemi,menga'ang'ie wanga komesha,mzee ole medutiek ................
      KAMA UNA HELA NYINGI NIGAWIE, NAMI NIMILIKI NYUMBA NA KA USAFIRI
      KAMA WEWE!

    14. #91
      dorry's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd February 2011
      Posts : 127
      Rep Power : 446
      Likes Received
      19
      Likes Given
      85

      Default Re: Enzi ulipokuwa boarding.

      Enzi hizo Mkwawa Complex, ni marufuku kupeleka chakula bwenini ila watu wanapeleka ki mtindo. Za mwizi arobaini kaka mmoja (sb Majura) akakamatwa asubuhi na kikombe cha uji anaingia nacho dom, akapewa adhabu ya kufyeka maeneo ya dining hole na kusafisha mtaro wa maji machafu. Wakati anafanya zoezi hilo akang'atwa na manyigu akavimba uso kinoma. Ikawa balaa 1kwa1, majura likawa sio jina tena bali tendo. ukileta za kuleta utaambiwa "usituletee ujura wako hapa", lione jura hilo. Yaani raha na karaha mumo.

    15. mob
      #92
      mob's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th December 2009
      Posts : 594
      Rep Power : 599
      Likes Received
      103
      Likes Given
      35

      Default Re: Enzi ulipokuwa boarding.

      nakumbuka mwaka 1998 nikiwa form 3 pale vunjo sekondari tulimvamia mpishi tukamwambia kuwa tunauza sweta ya pull neck kwa bai ya mia tano.jamaa akaingia kingi si akajaribi na ilikuwa mida ya saa 6 na nusu huku tukiwa tunasubiri msosi jamaa alipojaribu sweter si akabana kwenye shingo isiweze kutoka ndo washkaji tukala mawali ya walimu kibao na ndo ikawa mwisho wa wanafunzi kwenda jikoni

    16. #93
      Good Guy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th October 2010
      Posts : 3,484
      Rep Power : 1319
      Likes Received
      667
      Likes Given
      318

      Default Re: Enzi ulipokuwa boarding.

      Dah i can't 4ge da girls. Nilipokua adv Bwiru boyz,waschana wa bwiru gals walikua wanakuja mara kwa mara kucheza mpira wa miguu kwenye uwanja wa boyz wakiwa na waalim wao 2kawa 2nawashangilia bana,sasa cku moja walikua na mechi na watoto wa seminary watoto wa Loreto. Waliingia na gari yao. Wakati huo hawa bwiru galz wao wanakanyaga guu 2. Kuwaona Loreto wanashuka garin 2 wa2 walishangilia balaa,wakaanza kuwazomea girlz,girls nao waka2zomea,aise zilichumwa fimbo. Walitembezewa fimbo,men it was so funny. Wakarudi kwao wanakimbizwa na fimbo huku wakiambiwa
      "Tokeni hapa mnatuchafulia hewa 2 hapa,mnataka kuchafua watoto wanaogea dasani..." na kula fimbo zaidi,na mahusiano ya 'bugi' sis na wao likafa kwanzia hapo,dah men it was the funniest thing i've ever seen.

    17. #94
      Jaguar's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th March 2011
      Location : IRINGA
      Posts : 3,000
      Rep Power : 1085
      Likes Received
      677
      Likes Given
      256

      Default

      Quote By ZLATAN
      Mkuu umenikumbusha sana Moshi Tech...
      Kuna siku mpande alikuja dom letu no. 39 Karume kule na kutudaka kisa eti mshkaji mmoja alizima taa wakati tu kaingia bwenini. Sasa akatupeleka pale TYL ofisini na kuanza mikwara na vibao kibao kwa yule mshkaji ili amtaje aliezima taa. Jamaa kuona vibao akamtaja mshkaji wangu basi alikula vibaooo na wakati akiendelea kula vibao akamwambia Mpande... "..Basi ticha umeshinda..." Dah!! Utafikiri ndo alichochea mafuta kwenye moto, alikula makofi, vichwa, nakoz za kufa mtu mpaka tukataka kumzuia ticha ila mshkaji mwingine akadai tuache tu. Iliniuma sana hata kesho yake siku tuliyokuwa tunamaliza shule mshkaji aliepigwa akataka tukamuage ila nikamchomolea as hasira zilikuwa bado zipo..
      Kwa waliosoma ile shule hawatomsahau Mpande aisee...
      Watu waliosoma tanga tech hawatamsahau mr.mdoe.Nakumbuka ile mida ya saa 12 jioni tulikuwa na utaratibu wa roll call.Basi inapowadia saa 12,wanaume tulikuwa na tabia ya kujongea taratibu eneo la parade,basi akiwaona kitaa tu,utamwona anavyotoka nduki kuwa overtake ili akahesabishe roll call kabla hamjafika,halafu alikuwa na'ikibinda nkoi'fulani kama demu,yaani alikuwa na visa!

    18. #95
      ritired cube's Avatar
      Member Array
      Join Date : 25th April 2011
      Posts : 26
      Rep Power : 414
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default

      Teh teh enzi za pugu ukiingi toilet lazima uvue nguo zote hadi boxer kaka vinginevyo utatafuta ubaya watu class

    19. #96
      Katavi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 31st August 2009
      Location : Lyamba Lya Mfipa
      Posts : 19,626
      Rep Power : 16774
      Likes Received
      2505
      Likes Given
      1926

      Default

      Quote By Engineer2
      Kweli mkuu hasa yale maeneo ya bomba tatu na kibanda simama....
      Love square!

    20. #97
      mwabaluhi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2010
      Posts : 547
      Rep Power : 545
      Likes Received
      82
      Likes Given
      178

      Default

      Quote By Katavi
      Mkwawa high school kwa sisi tuliosoma o level seminari tulipata shida sana nyakati za mwanzo kusoma na mabinti hasa nyakati za prepo. Kombolela hasa siku za jumatatu katika mabweni ya wavulana...
      Enzi hizo headmaster nani, mr mbao? Nakumbuka ili kutatua tatizo la purukushani za chakula mesini makanyagio ilikua kimbilio langu la kudumu asubuhi, mchana na usiku.

    21. #98
      mwabaluhi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2010
      Posts : 547
      Rep Power : 545
      Likes Received
      82
      Likes Given
      178

      Default

      Quote By mzee wa ndonga
      Mi nakumbuka mwaka 1994 tukiwa sengerema secondary a.k.a Singapore, ile tunaingia form 5 kuna mwalimu mmoja tulimkuta anaitwa mwalimu BUGA.kumbe bwana lilikuwa jina la utani...siku moja akanikamata sijaenda parade, basi akawa ananiuliza namjua yeye ni nani? me kwa kujiamini nikamwambia wewe si mwalimu BUGA.. aiseeeeeee nilichezea kichapo cha hatari..kumbe bwana BUGA lilikuwa jina la utani,,kwa vile alikuwa anavaa suruali zile BUGA..yaani ile juu imebana afu chini umemwagika..ahahaha sitasahau kabisa..
      Enzi hizo headmaster mr matu?

    22. #99
      VISIONEER's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Location : ENGLAND
      Posts : 142
      Rep Power : 440
      Likes Received
      17
      Likes Given
      65

      Default Re: Enzi ulipokuwa boarding.

      Huruma si angeenda tu kumwambia mwl mkuu mkasa wote kuliko kuingia toilet


      Quote By safety last
      nakumbukuka niko sec siha ,siku moja jioni kuna jamaa kutoka kigoma alienda kujisadia ,na alikuwa na ada kwenye walet ghafla ikadondoka chooni,alikuwa form 6,akaanza kutindua choo kwa pembeni, akaingia na kuitoa ada ,bahati nzuri kulikuwa na vyoo vya kulenga set mbili.alinyoa nywele zote mpaka kwenye kope,he had a strange personality.
      I submit to you that if a man hasn't discovered something that he will die for he isn't fit to live.

    23. #100
      Jaguar's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th March 2011
      Location : IRINGA
      Posts : 3,000
      Rep Power : 1085
      Likes Received
      677
      Likes Given
      256

      Default Re: Enzi ulipokuwa boarding.

      Dah!jamani ma headmaster walikuwa zamani,leo hii hamna kitu mi nawaona ma brazameni tu!

    Page 5 of 14 FirstFirst ... 34567 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Tetesi: matumizi ya mafuta ya taa ktk boarding schools!
      By MESSI in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 1
      Last Post: 19th August 2011, 12:17
    2. A Son In A Boarding School
      By ng'wanankamba in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
      Replies: 6
      Last Post: 10th August 2011, 12:24
    3. Son in a boarding school
      By ammah in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
      Replies: 10
      Last Post: 14th July 2011, 12:18
    4. Boarding school
      By uncle in forum Matangazo madogo
      Replies: 6
      Last Post: 23rd June 2009, 14:03
    5. Boarding Schools- Kunani??
      By Kana-Ka-Nsungu in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 1
      Last Post: 10th October 2007, 18:55

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...