Rugaimukamu na Rweyongeza
Rugaimukamu: Hivi Rweyongeza, kare katoto kako Gozbert kako wapi siku
hizi? maana nakumbuka karikuwa dull darasani mwenzake Albert ni daktari
bingwa
sasa!
Muchunguzi: Ee Albert kumbe ni mtaaram.
Rweyongeza: aa Gozbert yupo, yeye kazi yake ni kuwahudumia wagonjwa
warioshindwa na madaktari bingwa!
Rugaimukamu: mmmm
(BAADA YA Rugaimukamu kuondoka )
Muchunguzi: Eee Rweyongeza, nirishindwa kukuuriza mbere ya Rugaimukamu,
sasa kama Gozbert anahudumia wagonjwa warioshindwa na madaktari bingwa,
yeye ni nani?
Rweyongeza: Aaa unajua Ka Gozbert hakakusoma hivyo kanachimba
makaburi!
Comments:
Nilikuwa naambiwa kuwa wahaya wamesoma mie nabisha. Nilikuwa naona kuchanganya Kihaya na Kiingereza haiamanishi Usomi. Lakini sasa nimeamini kuwa Wahaya wamesoma si mchezo, yaani hata kuchimba kaburi wanaitafutia ujiko!!!!!!!!!!!

Reply With Quote
Follow Us Here