Wataalamu wa afya wasaidie waandishi hawa na tatizo la kuanguka (kiharusi)
Alianza Bw Raymond Owaman wa Star TV na RFA ambaye hadi sasa amelazwa na jana alianguka Ben Rwegasira wa TBC,hadi sasa yupo hospitali ya mkoa kagera hajitambui
Wote ni wa Kagera na walikuwa marafiki
Wenye kujua tatizo kama hilo asaidie maoni.


Reply With Quote

Follow Us Here