Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

    Report Post
    Page 4 of 4 FirstFirst ... 234
    Results 61 to 79 of 79
    1. #1
      paulss's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th August 2009
      Posts : 3,636
      Rep Power : 4411
      Likes Received
      1105
      Likes Given
      986

      Default Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      Jamani wadau nisaidieni mwenye kujua haya mambo, ni umri upi unaoshauriwa kitaalamu kumtahiri mtoto wa kiume, na je kuna njia ngapi za kufanya hiyo kitu.

      Maana kuna maneno yanasema eti ukimfanyia akiwa bado mdogo kuanzia miaka 0 hadi mmoja eti atakuja kuwa dhaifu katika ile shughuli ya kikubwa, wengine wanasema ukimfanyia kakua ndio hiyo kitu itamtokea akiwa mkubwa

      Pia njia ipi ni salama zaidi mimi najua ya kukata na kushonwa naambiwa ipo nyingine yakufunga na plastiki, je ipi ni nzuri?

      Nategaemea msaada wenu waungwana, maana kunasehemu nilisoma eti matatizo mengi ya wanaume kushindwa kuwatimizia wepenzi wao tohara isiyo sahihi ni moja ya sababu
      Quote By Askofu View Post
      Kuwahi kutahiri na hizo imani ni vitu wiwili tofauti...

      Biblia inasema mtoto atahiriwe ndani ya siku 14... lakini ni vizuri akitahiriwa at least akiwa na miezi mitatu.... Hii itasaidia sana kwa sababu watoto wa kiume mara nyingi huugua sana UTI especially akianza kutambaa, na pia kwa umri huo anapona haraka sana, 7 days anakuwa amepona.
      Quote By nyumba kubwa View Post
      Mtoto kupata UTI ni kutokuwa makini kumbadilisha anapojisaidia. wanangu siwatahiri chini ya miaka miwili na hawajawahi kuugua UTI. Na kama mtu hauko makini utashangaa mtoto katahiriwa na bado anasumbuliwa na UTI.

      Baada ya mimi kukosa jibu la kitaalamu kuhusu lini mtoto anapaswa kutahiriwa niliamua kuamini tu ushauri wa kitaani kuwa kutahiri mtoto mchanga kunamfanya awe na kibamia.

      Mwanangu nimemtahiri na miaka miwili na alipona in a week. Tena nilinfanyia pale Regency wana wataalamu wazuri kuanzia wa nusu kaputi, doctor wa watoto na bingwa wa operation; hivyo hakuna mistake anakuwa amezungukwa na wataalamu.

      Tena hakuwahi kuvaa kanga kama wengi niwaonavyo...yani doctor kanambia mvalishe kaptula kama kawaida...na hakulia hata kidogo zaidi ya kulia sindano ya nusu kaputi...katoka hapo kaendelea na mishe mishe zake za michezo. Baada ya wiki tukatoa nyuzi.
      Independent thinker
      Humu jf baadhi yetu wametengeneza haki miliki ya they way they think, you have to think like them and have drawn a line of where one has to belong, you are either "with us" or "against us", if you don't sail the same boat then you are an enemy!. -Pasco wa JF

    2. #61
      Kimbweka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th July 2009
      Posts : 7,923
      Rep Power : 7252
      Likes Received
      1302
      Likes Given
      109

      Default Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      Muda wowote unafaa
      "Life comes once only: No retake/replay/rewind/once-more. One should enjoy it, be happy & keep happy others too."

    3. #62
      Prof Gamba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2011
      Posts : 383
      Rep Power : 482
      Likes Received
      133
      Likes Given
      80

      Default Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      Thanks a lot kwa somo mkuu paulss

      Nimeelimika vya kutosha, na mwanangu ana siku 49 mpaka leo.

      Inabidi nimtahiri wiki hii hii.

      Japo uzi ni wa muda kidogo lakini umenisaidia kujua mambo mengine.
      When you feel like giving up, remember why you held on for so long in the first place.

    4. #63
      Mariano's Avatar
      Member Array
      Join Date : 17th April 2012
      Posts : 45
      Rep Power : 371
      Likes Received
      7
      Likes Given
      4

      Default Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      kwan ww ulikatwa ukiwa na umri wa miaka mingap? Na unaonaje?
      nyumba kubwa likes this.

    5. #64
      nyumba kubwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 4,047
      Rep Power : 2309
      Likes Received
      2874
      Likes Given
      3980

      Default Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      Mtoto kupata UTI ni kutokuwa makini kumbadilisha anapojisaidia. wanangu siwatahiri chini ya miaka miwili na hawajawahi kuugua UTI. Na kama mtu hauko makini utashangaa mtoto katahiriwa na bado anasumbuliwa na UTI.

      Baada ya mimi kukosa jibu la kitaalamu kuhusu lini mtoto anapaswa kutahiriwa niliamua kuamini tu ushauri wa kitaani kuwa kutahiri mtoto mchanga kunamfanya awe na kibamia.

      Mwanangu nimemtahiri na miaka miwili na alipona in a week. Tena nilinfanyia pale Regency wana wataalamu wazuri kuanzia wa nusu kaputi, doctor wa watoto na bingwa wa operation; hivyo hakuna mistake anakuwa amezungukwa na wataalamu.

      Tena hakuwahi kuvaa kanga kama wengi niwaonavyo...yani doctor kanambia mvalishe kaptula kama kawaida...na hakulia hata kidogo zaidi ya kulia sindano ya nusu kaputi...katoka hapo kaendelea na mishe mishe zake za michezo. Baada ya wiki tukatoa nyuzi.

    6. #65
      Nambe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th January 2011
      Location : Kwa Bi Nyau
      Posts : 835
      Rep Power : 594
      Likes Received
      264
      Likes Given
      260

      Default Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      mie hili swala bado linanchanganya kwa kweli, nina jiran yangu hapa milango inaangaliana, ana mwanae saa hz anakaribia miaka miwili, huyu mtoto alitahiriwa kwa njia hyo cjui ya plastic akiwa na miez mitatu, sasa bac yaan huyu mtoto jaman ni ana alama ya pe...., tena kakisimamandio kanachomoza kidogo, akiwa kawaida yaan ni hamna kitu ana mwili mzur, kila ki2 kinakua vzur icpokuwa pale pako hvo hvo sasa cjui ni huko kutahr au ndivyo alivyozaliwa,,,,
      ningeweka hapa pic ya kidushe chake ila sio poa

      so jaman kuwen makin aiseee
      nyumba kubwa likes this.
      Happiness is not a reward it is a consequence

    7. #66
      ZeMarcopolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th May 2008
      Posts : 7,553
      Rep Power : 5114
      Likes Received
      2603
      Likes Given
      2287

      Default Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      Quote By nyumba kubwa View Post
      Mtoto kupata UTI ni kutokuwa makini kumbadilisha anapojisaidia. wanangu siwatahiri chini ya miaka miwili na hawajawahi kuugua UTI. Na kama mtu hauko makini utashangaa mtoto katahiriwa na bado anasumbuliwa na UTI.

      Baada ya mimi kukosa jibu la kitaalamu kuhusu lini mtoto anapaswa kutahiriwa niliamua kuamini tu ushauri wa kitaani kuwa kutahiri mtoto mchanga kunamfanya awe na kibamia.

      Mwanangu nimemtahiri na miaka miwili na alipona in a week. Tena nilinfanyia pale Regency wana wataalamu wazuri kuanzia wa nusu kaputi, doctor wa watoto na bingwa wa operation; hivyo hakuna mistake anakuwa amezungukwa na wataalamu.

      Tena hakuwahi kuvaa kanga kama wengi niwaonavyo...yani doctor kanambia mvalishe kaptula kama kawaida...na hakulia hata kidogo zaidi ya kulia sindano ya nusu kaputi...katoka hapo kaendelea na mishe mishe zake za michezo. Baada ya wiki tukatoa nyuzi.
      Mkuu Regency wanacharge sh. ngapi kwa operation hiyo?
      "To greed, all nature is insufficient"

    8. #67
      nyumba kubwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 4,047
      Rep Power : 2309
      Likes Received
      2874
      Likes Given
      3980

      Default Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      Nilitumia insurance hivyo sikuwa makini kuangalia charges zao
      Quote By ZeMarcopolo View Post
      Mkuu Regency wanacharge sh. ngapi kwa operation hiyo?
      ZeMarcopolo likes this.

    9. #68
      paulss's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th August 2009
      Posts : 3,636
      Rep Power : 4411
      Likes Received
      1105
      Likes Given
      986

      Default Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      Dah...... Uzi umerudi tena
      Anyway napenda kuthibitisha kuwa baada ya kupata maoni anuai ya wataalamu hapa JF na kwa DRs njia sahihi na salama zaidi ya kumtahiri mtoto katika dunia yetu ya leo ni ya plastick
      Kama atafungwa vizuri njia hii inatoa maumivu na kuuguza kidonda kwa sailimia 99
      Haihitaji uangalizi mkubwa kama ya kukata na kushona kunakopelekea kidonda kuuguzwa na kusafishwa mara kwa mara kunako msababishia mtahiriwa mateso makubwa
      ya maumivu.

      Kuhusu umri hili swala ni mtambuka, nionavyo mimi umri mzuri ni akiwa mdogo inapendeza zaidi na salama zaidi kwa kupona haraka
      Dhana ya kibamia ni maneno ya mitaani tu na haishauriwi kutahiriwa ukiwa umebalehe maana utaathiri baadhi ya mishipa ambayo imekomaa na kusababisha kupunguza ufanisi wa shughuli
      Pia kutahiri ukiwa umebalehe ni tatizo kwa uponaji wa kidonda maana kila mara uume ukisimama utasababisha kutanuka na kusumbua jeraha hasa wakati wa asubuhi au pindi usikiapo muwasho wa kidonda husababisha uume kusimama mara kwa kwa mara.

      Tujitahidi kuwatahiri watoto mapema ndani ya mwaka mmoja na tutumie njia ya kufunga plastick ambayo ni salama zaidi
      , inga pia kama hutajali kumpunguzia mateso ya kuuguza kidonda na kuvaa kanga mwanao waweza tumia njia ya kukata

    10. ram is online now
      ram
      #69
      ram's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Posts : 2,047
      Rep Power : 1139
      Likes Received
      741
      Likes Given
      410

      Default Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      Wakwangu alitahiriwa baada ya siku 8 tu tangu azaliwe, na hakupata na wala sijaona madhara yoyote hadi leo
      ''1 Samweli 7:12 - Eben-ezeri - Hata sasa BWANA ametusaidia''

    11. #70
      NKANOELI's Avatar
      Member Array
      Join Date : 15th August 2012
      Location : MSAKUZI
      Posts : 90
      Rep Power : 362
      Likes Received
      19
      Likes Given
      145

      Default Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      By chrispin
      mhashamu baba/mama askofu, ni umri gani sahihi wa kumtahiri mtoto wa kike?

      WW WATU WANAONGEA MAMBO YA KUELIMISHA, NA WEWE UNAKUJA NA ZA KUBOMOA,TOHARA KWA WANAWAKE NI DHAMBI HATA KWA MUNGU

    12. ram is online now
      ram
      #71
      ram's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Posts : 2,047
      Rep Power : 1139
      Likes Received
      741
      Likes Given
      410

      Default Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      Paulss, wale mapacha wako ni kiume au wakike?

      Quote By paulss View Post
      Dah...... Uzi umerudi tena
      Anyway napenda kuthibitisha kuwa baada ya kupata maoni anuai ya wataalamu hapa JF na kwa DRs njia sahihi na salama zaidi ya kumtahiri mtoto katika dunia yetu ya leo ni ya plastick
      Kama atafungwa vizuri njia hii inatoa maumivu na kuuguza kidonda kwa sailimia 99
      Haihitaji uangalizi mkubwa kama ya kukata na kushona kunakopelekea kidonda kuuguzwa na kusafishwa mara kwa mara kunako msababishia mtahiriwa mateso makubwa
      ya maumivu.

      Kuhusu umri hili swala ni mtambuka, nionavyo mimi umri mzuri ni akiwa mdogo inapendeza zaidi na salama zaidi kwa kupona haraka
      Dhana ya kibamia ni maneno ya mitaani tu na haishauriwi kutahiriwa ukiwa umebalehe maana utaathiri baadhi ya mishipa ambayo imekomaa na kusababisha kupunguza ufanisi wa shughuli
      Pia kutahiri ukiwa umebalehe ni tatizo kwa uponaji wa kidonda maana kila mara uume ukisimama utasababisha kutanuka na kusumbua jeraha hasa wakati wa asubuhi au pindi usikiapo muwasho wa kidonda husababisha uume kusimama mara kwa kwa mara.

      Tujitahidi kuwatahiri watoto mapema ndani ya mwaka mmoja na tutumie njia ya kufunga plastick ambayo ni salama zaidi
      , inga pia kama hutajali kumpunguzia mateso ya kuuguza kidonda na kuvaa kanga mwanao waweza tumia njia ya kukata

    13. #72
      KUCHI's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th December 2010
      Posts : 33
      Rep Power : 436
      Likes Received
      4
      Likes Given
      2

      Default Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      Wana JF lets share experience, biologicaly uume ni kama ndizi (banana) yaani ina layers tatu na kimsingi kutahiri ni kuondoa layer ya juu sehem ya mbele, kwa mantiki hii basi kama ambavyo ndizi ikiwa changa si rahisi kutenganisha ganda na ndizi yenyewe(ile sehemu tunayokula) ndo maana mtu akimenya ndizi ambayo haijakomaa anajikuta anatoa na sehemu ya ndizi yenyewe kwenye ganda, tukiwianisha mfano huu utaona kwamba kumtahiri mtoto mchanga sana (0-10) days ni delicate kwa kua ni rahisi sana kukata tissues laini ambazo kwa sababu ya udogo wa kiungo hicho si rahisi kutenganisha nyama na ngozi, endapo mtoto akikua kiasi cha miaka 2 ukiangalia uume wake utaona kisehemu cha mbele automatikali kinaonyesha mbinuko na ile round tunayo tahiri inaonekana wazi kwa wakati huu maana yake ni kama ndizi iliyo anza kuiva ambayo kuimenya bila kuathiri nyama ni rahisi, kwa ushauri wangu huu ndio muda muafaka kwa kua inapunguza chances za kumjeruhi mtoto, zamani watu walikua wanachelewa kutahiri ndo maana pamoja na madhara ya magonjwa lakini uume ulikua unakua vizuri (full length) kwa kua misuli ilikua ina grow freely, utaratibu wa sasa wa kutahiri vichanga ndo umepelekea kuathiri ukuaji wa nanihii zetu matokeo yake ndo haya tunalazimika kutumia stimulant ila ku paform vizuri na kuongeza ukubwa maana misuli ikiumizwa haikui vizuri ndo kidude kinakua kidooogo. suala la utiai (UTI) ni usafi tu wala siyo ishu maana hata mtu mzima usipofanya usafi wa kutosha utapata UTI, kwa kuongezea mi naona njia ya kiplastic (ring) ni nzuri sana maana hawashoni hivyo kidide cha mtotot hakitobolewi ili kushikiza uzi kwa maana kwamba unaendelea kupunguza chances za kuiumiza dudu, halafu inapona fasta na inakua rahisi kihudumia kidonda, thats my contribution.

    14. #73
      Muangila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th February 2010
      Posts : 852
      Rep Power : 643
      Likes Received
      203
      Likes Given
      506

      Default Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      Quote By Ngomo View Post
      umri mzuri zaidi ni pale anapokuwa bado mdogo, kwasababu akishakua mtu mzima huwa wanapata tabu sana kupona kidonda. Angalau kabla hajafikisha miaka saba awe tayari kafanyiwa tohara
      mtoto wa ndg yangu alitahiriwa akiwa na cku 3 kutokana na mtoto kuwa na maumbile madogo sana yalitokea makosa ktk shughuli hiyo matokeo yake mtoto alianza kutokwa na mikojo mpaka juzi akiwa darasa la nne imebidi afanyiwe operation ndogo ndo imemsaidia kwa ujumla si vizuri kutahili mtoto akiwa mchanga sana umri mzuri ni angalau miaka miwili

    15. #74
      paulss's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th August 2009
      Posts : 3,636
      Rep Power : 4411
      Likes Received
      1105
      Likes Given
      986

      Default

      Quote By ram View Post
      Paulss, wale mapacha wako ni kiume au wakike?
      Teh teheeeeeeee
      Mkuu acha visanga bana........
      Just share your experience

    16. #75
      Mama Yeyoo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th March 2012
      Location : Ngarenanyuki
      Posts : 101
      Rep Power : 385
      Likes Received
      37
      Likes Given
      9

      Default Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      Mm wangu nikiwatahiri wakiwa na miaka miwili..ila wapo ninaowafahamu waliotahiri wa kwao walipokuwa na miezi miwili tu...
      t2015ccm likes this.
      XoXo

    17. #76
      thatha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 7,281
      Rep Power : 0
      Likes Received
      239
      Likes Given
      1

      Default Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      umri mzuri kumtahiri mtoto ni kuanzia miaka mitatu na kuendelea.hii ya sasa ya mtoto kuzaliwa na kumkimbizia visu ni kutojua madhara yake
      nyumba kubwa likes this.

    18. #77
      nyumba kubwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 4,047
      Rep Power : 2309
      Likes Received
      2874
      Likes Given
      3980

      Default Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      Mi naona ni mambo ya fashion ambayo hakuna hata reference kusema kama ina madhara au la wakiwa wakubwa; maana hatukuwa na huu utamaduni before. Kwa nini mtu u risk au ukubali kufanya experiment kwa mwanao?

      Quote By thatha View Post
      umri mzuri kumtahiri mtoto ni kuanzia miaka mitatu na kuendelea.hii ya sasa ya mtoto kuzaliwa na kumkimbizia visu ni kutojua madhara yake

    19. #78
      permanides's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 18th May 2013
      Posts : 1
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      mbona humu watu wanazungumza kama ramli za waganga wa kienyeji? hawaongei kama wataalamu
      Fadhili Paulo likes this.

    20. #79
      Ibra6's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd June 2013
      Posts : 18
      Rep Power : 306
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

      Mi nilimtoroka ngaliba wa kienyej nikatahiliwa hosptal 9yrs.cna tatzo nacmamia shoo ipaswavyo

    Page 4 of 4 FirstFirst ... 234

    Similar Topics

    1. Jamani ni umri gani sahihi wa kuoa?
      By Black Bat in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 64
      Last Post: 25th October 2011, 22:28
    2. Replies: 33
      Last Post: 28th June 2011, 08:34
    3. Umri sahihi wa mwanaume kupata mtoto ...................
      By Rutashubanyuma in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 22
      Last Post: 3rd May 2011, 17:46
    4. Sherehe ya kumtahiri mtoto
      By Mkwaruzo in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
      Replies: 5
      Last Post: 4th March 2011, 05:15
    5. pozi gani hizi mtoto wa kiume kwenye kibao kata!!!!!
      By babukijana in forum Jamii Photos
      Replies: 33
      Last Post: 29th July 2010, 17:05

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...