JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Jinsi ya Kupata mimba haraka.

  Report Post
  Results 1 to 4 of 4
  1. kapotolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th September 2010
   Location : Tanzania
   Posts : 3,544
   Rep Power : 85924926
   Likes Received
   2043
   Likes Given
   628

   Default Jinsi ya Kupata mimba haraka.

   1. Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, angalau siku tatu kwa wiki, ikiwezekana on alternate days.

   2. Tumia ovulation prediction kit, hiki ni kifaa ambacho kitakusaidia kujua wakati hasa mwanamke ameengua yai na ndio kipindi ambacho mwanamke ana uwezo wa kushika mimba akikutana na mumewe. Ni rahisi kutumia.

   3. Fanya tendo la ndoa kabla ya kuengua yai (kabla ya ovulation), huongeza uwezekano wa kushika mimba kuliko kusubiria ovulation au kufanya baada ya ovulation. Kutaneni siku mbili au tatu kabla ya ovulation. Ukitumia ovulation test kit, mkutane kuanzia siku itakapokuwa positive kwani huwa inapredict ovulation kutokea 48 hrs after it tests positive.

   4. Usitegemee njia ya kalenda kutabiri uenguaji yai, njia hii kwa kiasi fulani huweza kuwasaidia wale wenye mzunguko wa siku 28, lakini pia haina uhakika wa 100%, wengi wa wanawake hawaengui yai siku ya 14 ya mzunguko wa hedhi, kwa hiyo kutegemea kalenda kutakuchelewesha kupata ujauzito.

   5. unapotaka kushika mimba, acha au punguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya pombe, sigara au dawa za kulevya.

   6. unapotaka kupata mimba, tendo la ndoa liwe kitu 'enjoyable' na sio tendo 'mechanical' kwa ajili ya kutafuta mtoto. Plan a romantic evening or try something different to spice things up. How you are feeling sexually may increase your chances of getting pregnancy. For women a better orgasm may help pull the sperms into the uterus and for men a better orgasm may increase their sperm count.

   7.Kufanya mapenzi katika mtindo (style) ambayo itafanya mbegu za kiume zikae kwa muda mrefu ukeni na hivyo nyingi kupanda kuingia kwenye kizazi na kwenda kurutubisha yai. 'missionary position' ni nzuri zaidi, ambapo mwanaume anakuwa juu, epuka positions za mwanamke kuwa juu kwani hufanya mbegu zimwagike kwa gravity. Jaribu pia kuweka mto chini ya kiuno ili kukiinua na kufanya mbegu ziingie ndani kwa urahisi zaidi.

   Kumbuka kuna asilimia 10 - 25 ya couples ambazo zina matatizo ya infertility lakini vipimo havionyeshi tatizo, inaweza kuwa namna ya kufanya mapenzi ndio ikawa shida, jaribu njia hizo 7 juu.

   Kama hizi njia hazijakusaidia basi utakuwa na matatizo na unaweza kumuona daktari kwa msaada wa vipimo na matibabu.

   Natumaini uzi huu unaweza kuwa msaada kwa watafutao watoto.
   Bebrn, mayenga, Bebz and 2 others like this.
   When you are lost, speed is useless - Peter Msigwa


  2. Obama wa Bongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th May 2012
   Location : mbagala
   Posts : 3,683
   Rep Power : 163307399
   Likes Received
   280
   Likes Given
   294

   Default Re: Jinsi ya Kupata mimba haraka.

   nice thread !
   kapotolo likes this.

  3. nickyrabit's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th November 2013
   Posts : 21
   Rep Power : 395
   Likes Received
   1
   Likes Given
   7

   Default Re: Jinsi ya Kupata mimba haraka.

   watu wanasoma.hii.ili wa do EXACTLY THE OPPOSITE

  4. kapotolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th September 2010
   Location : Tanzania
   Posts : 3,544
   Rep Power : 85924926
   Likes Received
   2043
   Likes Given
   628

   Default Re: Jinsi ya Kupata mimba haraka.

   Quote By nickyrabit View Post
   watu wanasoma.hii.ili wa do EXACTLY THE OPPOSITE
   why wa-do the opposite, hii ni kwa wale wanaotaka kupata mimba haraka.
   When you are lost, speed is useless - Peter Msigwa


  Similar Topics

  1. Jinsi ya kupata mimba ya mtoto wa kiume
   By Christa in forum JF Doctor
   Replies: 106
   Last Post: 17th October 2014, 22:53
  2. Jinsi ya kupata driving licence mpya kwa haraka!
   By EMT in forum Jukwaa la Sheria (The Law Forum)
   Replies: 37
   Last Post: 3rd May 2013, 12:40
  3. Msaada wa jinsi ya kupata pasport haraka
   By Edgartz in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 12
   Last Post: 8th January 2013, 13:35
  4. Una haraka na bao la kwanza?! Unaogopa kupata Mimba?
   By MziziMkavu in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 13
   Last Post: 17th March 2012, 23:30

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...