Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kunuka kikwapa: Ni ugonjwa au uchafu?

    Report Post
    Page 3 of 17 FirstFirst 1234513 ... LastLast
    Results 41 to 60 of 326
    1. #1
      Asked for a BAN's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 11th December 2008
      Posts : 5,550
      Rep Power : 0
      Likes Received
      21
      Likes Given
      0

      Default Kunuka kikwapa: Ni ugonjwa au uchafu?

      Wakuu,

      Kunuka harufu mbaya (kikwapa) ni ugonjwa au uchafu? Kuna dawa?

      Kuna hii hali ambayo mtu ananuka kikwapa wakati wa kula tunda (wakati mwingine aaaah yuko safiii tu). Je inatokana na nini? Na nini kifanyike ili kuzuia hali hiyo?
      Last edited by Asked for a BAN; 7th December 2009 at 18:54.

    2. FemaTV & Radio

    3. #41
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,191
      Rep Power : 31379
      Likes Received
      9586
      Likes Given
      683

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      Hahahahahaaa....Bwabwa is off the chain
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    4. #42
      babukijana's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st July 2009
      Posts : 2,879
      Rep Power : 1077
      Likes Received
      306
      Likes Given
      151

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      Quote By genekai
      Kama harufu uipendayo ni ile kabla ya kutumia deodorant, inategemea kama ana mkwapa unatema ka viatu vya michezo na we unafurahia basi we mgonjwa. Lakini its good to be natural mwambie aoge mara kwa mara. Halafu we badala ya kumfurahisha mkeo kwa kumtimizia haki yake ya ndoa we unang'ang'ania kutia pua yako kubwa kama kiganja kwenye kwapa la mwenzio basi we mgonjwa!
      sio mkewe yeye ndo kaolewa nba huyo basha wake ndo kwapa linatema nayeye anaipenda harufu yake,ana mimba huyu jamaa

    5. #43
      Asked for a BAN's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 11th December 2008
      Posts : 5,550
      Rep Power : 0
      Likes Received
      21
      Likes Given
      0

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      Quote By Ndahani
      Unajua kucheka nako kunasaidia ngoja niendelee kujichekea maana mkuu Bwabwa una mambo, kama jina lako lilivyo!Lol
      yaani bwabwa haishi vituko!

    6. #44
      Albedo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th February 2008
      Posts : 4,978
      Rep Power : 1573
      Likes Received
      1076
      Likes Given
      555

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      Quote By bwabwa
      kitu gani huelewi??? Tukutane wapi ili nikupe maelekezo ya kina?
      stuka
      "SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM" Chris Lukosi kada wa CCM


    7. #45
      Tripo9's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2009
      Posts : 1,616
      Rep Power : 816
      Likes Received
      254
      Likes Given
      458

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      Hahahahahaha... Bwabwaaaa.
      Uzuri wa thread za bwabwa hazidodi.

      Yaani akianzisha tu, michango inakua mingi.
      Bwabwa kweli mtu wa watu.
      "Smile though your heart is aching"...Me says

    8. Miaka 50

    9. #46
      Bigirita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Under a mango tree
      Posts : 11,253
      Rep Power : 3041
      Likes Received
      3036
      Likes Given
      4118

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      Quote By BWABWA
      kitu gani huelewi??? tukutane wapi ili nikupe maelekezo ya kina?
      We! Unatishiwa watu nyau. Njoo arusha hapa matejoo nikupe kitu inauma
      * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

    10. #47
      Sydney's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th November 2009
      Posts : 136
      Rep Power : 511
      Likes Received
      5
      Likes Given
      7

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      Mpendwa hivi ni kweli nilichosoma ama naota? Hivi kweli ile harufu mbaya hivi wewe unaipenda na kuifurahia? Nenda kwa daktari sio bure!

    11. #48
      Regia Mtema's Avatar
      R I P Array
      Join Date : 21st November 2009
      Posts : 2,988
      Rep Power : 1111
      Likes Received
      763
      Likes Given
      397

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      Mmh,bwabwa naye kashaanza.
      Kilombero For Change(K4C)-Mfuko wa Maendeleo Kilombero

    12. #49
      maishapopote's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 28th May 2009
      Location : njoro
      Posts : 808
      Rep Power : 2313
      Likes Received
      157
      Likes Given
      1485

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      halafu bwabwa huyu shemeji ni dem au men ?

    13. #50
      JituParaTupu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th November 2008
      Posts : 73
      Rep Power : 549
      Likes Received
      1
      Likes Given
      1

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      Ni kweli kwapa hasa la msichana mwembamba ni zuri na pale linaponukia kaharufu flani. Me ni mdau sana wa hii.

    14. #51
      Nyunyu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 9th March 2009
      Location : Here.
      Posts : 3,349
      Rep Power : 2044
      Likes Received
      465
      Likes Given
      2749

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      Bwabwa huyo!!! ataka akutane na watu awaelekeze vizuri!!!

      Bwabwa bana...
      There is no such a thing as part freedom- Nelson Mandela

      e-mail: [email protected]

    15. #52
      Dreamliner's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th January 2010
      Location : Kijijini
      Posts : 1,968
      Rep Power : 868
      Likes Received
      167
      Likes Given
      166

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      BWABWA leo umeniacha hoi.. endelea kunusa.. RAHA JIPE MENYEWE.

    16. #53
      Masikini_Jeuri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2010
      Location : Igangidung'u
      Posts : 5,953
      Rep Power : 2078
      Likes Received
      698
      Likes Given
      5029

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      Bwabwa, Akili Kichwani na JiuParatupu nawafeel!

      Hamko peke yenu ila labda mie naongelea harufu ya kiutu uzima sio uchafu wa kutooga! Je ni kweli tunaumwa? ama ni dhambi?

      Mie na shem wenu tumefika mbali zaidi hadi kwenye nguo zetu! Nadhani mnanielewa!
      24 hours in a day! 24 beers in a case, Coincidence? I think not!

    17. #54
      Maria Roza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2009
      Posts : 6,435
      Rep Power : 1844
      Likes Received
      789
      Likes Given
      333

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      Quote By Masikini_Jeuri
      Bwabwa, Akili Kichwani na JiuParatupu nawafeel!

      Hamko peke yenu ila labda mie naongelea harufu ya kiutu uzima sio uchafu wa kutooga! Je ni kweli tunaumwa? ama ni dhambi?

      Mie na shem wenu tumefika mbali zaidi hadi kwenye nguo zetu! Nadhani mnanielewa!
      Hahha hha lol!
      If u can't stand for something , u will fall for anything !

    18. #55
      JituParaTupu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th November 2008
      Posts : 73
      Rep Power : 549
      Likes Received
      1
      Likes Given
      1

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      Hapa sio kwamba nawachekesha...la! Ila kuna wakati naacha kutembea na mkoko wangu na kupanda daladala...sasa basi nisione msichana mwembamba amevaa nguo ioneshayo kwapa halafu ameshika bomba.....haki ya kweli nitapitiliza kituo mradi nipate raha ya kuona kwapale!

    19. #56
      Asked for a BAN's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 11th December 2008
      Posts : 5,550
      Rep Power : 0
      Likes Received
      21
      Likes Given
      0

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      Quote By BWABWA
      kitu gani huelewi??? tukutane wapi ili nikupe maelekezo ya kina?
      haya sasa!

    20. #57
      Masikini_Jeuri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2010
      Location : Igangidung'u
      Posts : 5,953
      Rep Power : 2078
      Likes Received
      698
      Likes Given
      5029

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      Ki-harufu kina raha bwana; miee nabeba hata baadhi ya nguo zake nikisafiri lakini ni zile safi zilizokwisha valiwa kwa muda huwa zinabaki na harufu yake! we acha bwana!
      24 hours in a day! 24 beers in a case, Coincidence? I think not!

    21. Mom
      #58
      Mom's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th October 2009
      Location : home
      Posts : 704
      Rep Power : 628
      Likes Received
      11
      Likes Given
      56

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      Lo!!!!1

      Najuuuuuuuuuuuuuuuuuuuta kukufahamu.
      "I'm not afraid of storms, for I'm learning to sail my ship"

    22. #59
      Masikini_Jeuri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2010
      Location : Igangidung'u
      Posts : 5,953
      Rep Power : 2078
      Likes Received
      698
      Likes Given
      5029

      Default Re: Harufu ya Kikwapa

      24 hours in a day! 24 beers in a case, Coincidence? I think not!

    23. #60
      ELNIN0's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Posts : 2,526
      Rep Power : 987
      Likes Received
      248
      Likes Given
      50

      Default Kikwapa Ugonjwa au Uchafu?

      Hivi kikwapa huwa ugonjwa au ni uchafu tu - utakuta mtu kila siku aonge asioge ni kunuka harufu ya ajabu ajabu - akipaka perfume ndo kabisaa anaharibu - kama mpo naye ofisi moja basi ni kero unaweza hata kubadili section - sasa kasheshe awe anatafuta urafiki na wewe yaani kila saa usiniache twende wote lunch, au anakuja mezani kwako anakuwekea kwapa lake kukuonyesha kitu kwenye computer basi kero kero mtindo mmoja - kama umetoka kula muda huo basi unahisi tumbo linachemka vyakula vinataka kutoka nje.

      haya madaktari hebu gagadueni jambo hili tujue na kama ni ugonjwa semeni dawa yake ni nini?

    Page 3 of 17 FirstFirst 1234513 ... LastLast

    LinkBacks (?)

    1. 14th March 2012, 21:01

    Similar Topics

    1. Bwahaha cheki kikwapa hicho!
      By Nyani Ngabu in forum Celebrities Forum
      Replies: 13
      Last Post: 15th March 2012, 03:12
    2. Uchafu...uchafu wa big brother africa (bba)
      By Mbavu mbili in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 23
      Last Post: 25th May 2011, 16:11
    3. Huu uchafu duh
      By Shy in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 1
      Last Post: 23rd October 2008, 19:37

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...