Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kunuka kikwapa: Ni ugonjwa au uchafu?

    Report Post
    Page 16 of 17 FirstFirst ... 614151617 LastLast
    Results 301 to 320 of 326
    1. #1
      Asked for a BAN's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 11th December 2008
      Posts : 5,550
      Rep Power : 0
      Likes Received
      21
      Likes Given
      0

      Default Kunuka kikwapa: Ni ugonjwa au uchafu?

      Wakuu,

      Kunuka harufu mbaya (kikwapa) ni ugonjwa au uchafu? Kuna dawa?

      Kuna hii hali ambayo mtu ananuka kikwapa wakati wa kula tunda (wakati mwingine aaaah yuko safiii tu). Je inatokana na nini? Na nini kifanyike ili kuzuia hali hiyo?
      Last edited by Asked for a BAN; 7th December 2009 at 18:54.

    2. RukaaJuu Final

    3. #301
      baraka1's Avatar
      Member Array
      Join Date : 13th January 2008
      Posts : 17
      Rep Power : 583
      Likes Received
      3
      Likes Given
      2

      Default Re: mambo yanayosababisha kunuka kikwapa!!

      Quote By nilkarish
      achukue baking soda (sodium bicarbonate) sijui kwa kiswahili inaitwaje..achanganye na maji kidogo au maji ya limau ajipake kwenye kwapa na aisugulie uzuri bada ya km 15min akoge. Inasaidia kuondoa harufu pia inaondoka weusi wa kwapa
      nafikiri inaitwa hamira au amira

    4. #302
      Mpiganaji wa watu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 26th May 2012
      Location : barabarani
      Posts : 32
      Rep Power : 358
      Likes Received
      1
      Likes Given
      4

      Post Muhimu!!! Msaada!!! Msaada!!!! Msaada!!!!msaada!!!!msaada!!!!

      Wadau naombeni msaada wa kujua dawa ya kutibu harufu ya kikwapa permanently,nimechoka kutumia deodorants daily,naomba anaefahamu dawa yeyote whether mbadala au kawaida,pliiiz,with thaks!

    5. #303
      The_Emperor's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd March 2012
      Posts : 472
      Rep Power : 456
      Likes Received
      41
      Likes Given
      0

      Default Re: Muhimu!!! Msaada!!! Msaada!!!! Msaada!!!!msaada!!!!msaada!!!!

      Paka povu la sabuni ya kipande!

    6. #304
      Pitz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th February 2011
      Posts : 4,969
      Rep Power : 1411
      Likes Received
      519
      Likes Given
      48

      Default Re: Muhimu!!! Msaada!!! Msaada!!!! Msaada!!!!msaada!!!!msaada!!!!

      Paka malimao.
      BAGAH likes this.

    7. #305
      Kongosho's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2011
      Location : Location loading...
      Posts : 25,269
      Rep Power : 13086
      Likes Received
      14148
      Likes Given
      15016

      Default Re: Muhimu!!! Msaada!!! Msaada!!!! Msaada!!!!msaada!!!!msaada!!!!

      uhakikishe na bustani zimepaliliwa kabisa.
      BAGAH likes this.

    8. Miaka 50

    9. #306
      Gwangambo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th June 2012
      Location : Mabwepande
      Posts : 1,113
      Rep Power : 569
      Likes Received
      264
      Likes Given
      86

      Default Re: Muhimu!!! Msaada!!! Msaada!!!! Msaada!!!!msaada!!!!msaada!!!!

      Kama huogi sina msaada.
      BAGAH likes this.

    10. #307
      stephot's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st March 2012
      Location : DSM
      Posts : 777
      Rep Power : 586
      Likes Received
      214
      Likes Given
      589

      Default Re: Muhimu!!! Msaada!!! Msaada!!!! Msaada!!!!msaada!!!!msaada!!!!

      kama unachoka kutumia deodorants mie nakua sikuelewi unajua!ina maana hata ndevu nazo umechoka kunyoa,na kuoga nako,na kupiga mswaki nako,na kufua chupi kila unapo oga,na kupaka perfume,na kunawa uso kila unapo amka na hata kula pia nadhani itafikia siku utachoka,acha uvivu bado sikuelewi kabisa.
      BAGAH likes this.

    11. #308
      BAGAH's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th January 2012
      Posts : 4,364
      Rep Power : 8786
      Likes Received
      954
      Likes Given
      1418

      Default Re: Muhimu!!! Msaada!!! Msaada!!!! Msaada!!!!msaada!!!!msaada!!!!

      pole...kama kwapa tu linakupa shida kule kwingine!!!
      ....ukubwa AKILI...NDEVU uchafu...

    12. #309
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,498
      Rep Power : 19788
      Likes Received
      4313
      Likes Given
      1263

      Default Re: Muhimu!!! Msaada!!! Msaada!!!! Msaada!!!!msaada!!!!msaada!!!!

      Usichoke maana utakimbiwa

    13. #310
      BIG Banned's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th May 2012
      Location : Banned
      Posts : 263
      Rep Power : 408
      Likes Received
      63
      Likes Given
      77

      Default Re: Muhimu!!! Msaada!!! Msaada!!!! Msaada!!!!msaada!!!!msaada!!!!

      Paka Petroli!.
      Vua GAMBA Vaa GWANDA

    14. #311
      The secretary's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2012
      Posts : 2,728
      Rep Power : 19053
      Likes Received
      1460
      Likes Given
      129

      Default

      Quote By stephot
      kama unachoka kutumia deodorants mie nakua sikuelewi unajua!ina maana hata ndevu nazo umechoka kunyoa,na kuoga nako,na kupiga mswaki nako,na kufua chupi kila unapo oga,na kupaka perfume,na kunawa uso kila unapo amka na hata kula pia nadhani itafikia siku utachoka,acha uvivu bado sikuelewi kabisa.
      hiki nini sasa!kakwambia kachoka ha ya yote uliyoolozesha?

    15. #312
      The secretary's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2012
      Posts : 2,728
      Rep Power : 19053
      Likes Received
      1460
      Likes Given
      129

      Default

      Quote By Mpiganaji wa watu
      Wadau naombeni msaada wa kujua dawa ya kutibu harufu ya kikwapa permanently,nimechoka kutumia deodorants daily,naomba anaefahamu dawa yeyote whether mbadala au kawaida,pliiiz,with thaks!
      Jitahidi kila uogapo uoshe kwapa kwa kitambaa chepesi kilaini na sabuni ya kutosha

    16. #313
      Remmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th June 2009
      Location : home
      Posts : 4,342
      Rep Power : 7768
      Likes Received
      1546
      Likes Given
      1793

      Default Re: Muhimu!!! Msaada!!! Msaada!!!! Msaada!!!!msaada!!!!msaada!!!!

      Quote By BIG Banned
      Paka Petroli!.
      Hii imekaa poa.
      Fadhili Paulo likes this.

    17. #314
      platozoom's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2012
      Posts : 3,992
      Rep Power : 8272
      Likes Received
      2694
      Likes Given
      3667

      Default Re: Muhimu!!! Msaada!!! Msaada!!!! Msaada!!!!msaada!!!!msaada!!!!

      Quote By Remmy
      Hii imekaa poa.
      Akipigwa busu la moto pakalipuka
      "Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"

    18. #315
      Jestina's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Posts : 3,632
      Rep Power : 1449
      Likes Received
      845
      Likes Given
      351

      Default Re: Muhimu!!! Msaada!!! Msaada!!!! Msaada!!!!msaada!!!!msaada!!!!

      ubahili tu...

    19. NNC
      #316
      NNC's Avatar
      Member Array
      Join Date : 22nd June 2012
      Posts : 16
      Rep Power : 352
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: Muhimu!!! Msaada!!! Msaada!!!! Msaada!!!!msaada!!!!msaada!!!!

      Tumia maji ya ukoko wa ugali ulio lowekwa ndio tiba sahihi.

    20. #317
      gody's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th April 2010
      Posts : 734
      Rep Power : 726
      Likes Received
      161
      Likes Given
      18

      Default Re: Kunuka kikwapa: Ni ugonjwa au uchafu?

      Ukiona Hivyo ujue unasumu nying mwilini
      tatzo haliko liko ndani so fanya kazi ya kutoa sumu mwilini
      kwa kunywa chai ya kijan i mean ya mchai chai au dozi ya malimao 120 af utaona!!

    21. #318
      Miranda Michael's Avatar
      Member Array
      Join Date : 28th June 2012
      Posts : 30
      Rep Power : 354
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default

      [QUOTE=gody;4185794]Ukiona Hivyo ujue unasumu nying mwilini tatzo haliko liko ndani so fanya kazi ya kutoa sumu mwilini kwa kunywa chai ya kijan i mean ya mchai chai au dozi ya malimao 120 af utaona!![/QU] au akiweza atumie ile aloe vera gel kwa ajili ya kuondoa sumu mwilini,na kutibu magonjwa mengine.

    22. #319
      Bawa mwamba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th March 2010
      Posts : 256
      Rep Power : 518
      Likes Received
      11
      Likes Given
      20

      Default Re: Kunuka kikwapa: Ni ugonjwa au uchafu?

      NI UGONJWA,.UNAJULIKANA KAMA BROM-HYDROSIS,. TIBA ILIYO BORA NI SURGERY KAMA UPO BONGO NI Pm,.nitakufanyia mwenyewe

    23. CAY
      #320
      CAY's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2011
      Posts : 462
      Rep Power : 515
      Likes Received
      84
      Likes Given
      26

      Default Re: Ananuka kikwapa!

      Quote By Chimunguru
      Hahaha mwambie huyo jamaa inaelekea hajui lolote kwenye sekta hii, hawa ndo wanao megewa hawa
      Haya mambo hayana assuarance,unaweza ukanyonya na vilevile ukamegewa vizuri tu!

    Page 16 of 17 FirstFirst ... 614151617 LastLast

    LinkBacks (?)

    1. 14th March 2012, 21:01

    Similar Topics

    1. Bwahaha cheki kikwapa hicho!
      By Nyani Ngabu in forum Celebrities Forum
      Replies: 13
      Last Post: 15th March 2012, 03:12
    2. Uchafu...uchafu wa big brother africa (bba)
      By Mbavu mbili in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 23
      Last Post: 25th May 2011, 16:11
    3. Huu uchafu duh
      By Shy in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 1
      Last Post: 23rd October 2008, 19:37

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...