Wakuu,
Kunuka harufu mbaya (kikwapa) ni ugonjwa au uchafu? Kuna dawa?
Kuna hii hali ambayo mtu ananuka kikwapa wakati wa kula tunda (wakati mwingine aaaah yuko safiii tu). Je inatokana na nini? Na nini kifanyike ili kuzuia hali hiyo?
Wakuu,
Kunuka harufu mbaya (kikwapa) ni ugonjwa au uchafu? Kuna dawa?
Kuna hii hali ambayo mtu ananuka kikwapa wakati wa kula tunda (wakati mwingine aaaah yuko safiii tu). Je inatokana na nini? Na nini kifanyike ili kuzuia hali hiyo?
Last edited by Asked for a BAN; 7th December 2009 at 18:54.
Wakuu, hizo ndimu, malimao, vitunguu, kupaka kwenye makwapa havina madhara kweli?
Sio utoto kaka, ni ushauri pia. Sikujua kama yeye mwenyewe analijua tatizo lake.
Binafsi nilishawahi kuwa na mtu wa aina hiyo. Kitu cha kwanza nilichofanya ni kujicheki mwenyewe kwanza. Kisha nikaanza kumcheki na yeye.
1. Reason? Alikuwa hakogi sawasawa.
2. Solution? Nikajipa jukumu la kumkogesha ...
3. Results? Problem solved.
In my country we go to prison first, then become President - Nelson Mandela.
Basi kwa magwiji wa sayansi za tiba hizo products zimejaa kibao kwenye maduka.
Ila hata dawa za mswaki nasikia zinasababisha saratani ya kinywa. Hata vilongalonga vinasababisha saratani ya ubongo. Hutumii vilongalonga wewe?
Oh na kompyuta nazo zinasababisha saratani pia. Unatumia kompyuta wewe? Kama unatumia acha mara moja. Sawa eeh?
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Anyway, ngoja niweke vipande hapa kutoka National Cancer Institute ya Marekani kuhusiana na uhusiano wa anti perspirants na saratani za matiti.
Tuanze na hii kwanza:
Tuendelee:Key Points
- There is no conclusive research linking the use of underarm antiperspirants or deodorants and the subsequent development of breast cancer.
- Research studies of underarm antiperspirants or deodorants and breast cancer have been completed and provide conflicting results.
Kwa habari zaidi tembelea hapa Antiperspirants/Deodorants and Breast Cancer - National Cancer Institute
- Can antiperspirants or deodorants cause breast cancer? Articles in the press and on the Internet have warned that underarm antiperspirants (a preparation that reduces underarm sweat) or deodorants (a preparation that destroys or masks unpleasant odors) cause breast cancer (1). The reports have suggested that these products contain harmful substances, which can be absorbed through the skin or enter the body through nicks caused by shaving. Some scientists have also proposed that certain ingredients in underarm antiperspirants or deodorants may be related to breast cancer because they are applied frequently to an area next to the breast (2, 3).
However, researchers at the National Cancer Institute (NCI), a part of the National Institutes of Health, are not aware of any conclusive evidence linking the use of underarm antiperspirants or deodorants and the subsequent development of breast cancer. The U.S. Food and Drug Administration (FDA), which regulates food, cosmetics, medicines, and medical devices, also does not have any evidence or research data that ingredients in underarm antiperspirants or deodorants cause cancer.
Sasa mwenye kuamini anachotaka kuamini na aamini. Lakini habari ndo hiyo, kwamba hakuna CONCLUSIVE EVIDENCE ya uhusiano wa moja kwa moja baina ya vikata jasho na saratani za matiti. Ila sidhani kama baadhi ya watu humu wanaelewa maana ya CONCLUSIVE EVIDENCE. Hilo somo ni kwa siku ingine, labda.
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Pole mdau,
Lakini siyo lazima kutumia vitu vilivyotengenezwa na chemical huwezijua ukweli, mbona ukitumi maji ya ukwaju au maji ya ugali yaliyo loekewa kwenye sufuria inakata kabisa ndani ya mwezi,jaribu kunawia kila siku ujionee
Nakushauri tafuta miti shamba inaweza kumsaidia!
Akaoge maji ya mchele sirious ni dawa ..aoge siku tatu asubuhi na jioni
Kwa ushauri aliyopewa naona jamaa ana kazi!
" To be happy, we must not be too concerned with others"
Usafi ni kila mtu unafanya,ila unaweza kuta kuna harufu fulani,yani kutema kwa lugha ya mtaani,je kutema huko ambapo kupo kwa wanaume na wanawake kunachangia kupunguza ladha ya penzi ama ali mradi ladha tamu zipo hakuna tabu jameni wanajf
Ni sawa na kuuliza viboko vinauma?
pua za nani zinapenda harufu mbaya?
Follow Us Here