Jama msaada! Kuna jamaa yangu ana wasiwasi ile mbaya. Jamaa kaja kwangu juzi anaomba ushauri. Ana demu wake wanatarajia kuoana. Demu kamtembelea jamaa wakapitia kwenye moja moto moja baridi. Kufika home na ukame alokuwanao huku porini akaogelea kwa pupa. Kuja kutahamaki anaogelea bwawa la damu kumuuliza demu anadai hakuwa kwenye siku zake. Jamaa anauliza kuna madahara gani yanaweza kumpata? Hana hofu ya ukimwi maana wote wamepima kama wiki moja iliyopita kwa mara ya tatu. Damu za hedhi ndizo zimpazo hofu. Mwenye uelewa naomba amsaidie.
Mwanamke decent hawezi kukubali kufanya sex penetration wakati yuko kwenye period! Much Better oral ama anal sexy.
Mwanaume mstaarabu atasubiri hii kitu 3-5 days!
Mas
Not weye Masanilo? 3-5 days (a week); 30days - 5days = 25 days (na toa zile siku "dangerous" ambazo hata inzi haruhusiwi kutua"; toa pia siku ambazo mama hajisikii kabsa au kachoka na mihangaiko); toa siku ambazo "adamu" hawezi kabisa kazi hata kwa kusukumwa.
Then lete jawabu ni siku ngapi tumshauri Mangi azitumie kwa mtarajiwa wake katika ndoa.
"Mnataka kujua nini? Sikuzaliwa ili nipate nishani... "Please don't make it an issue, acheni suala hilo ni uchonganishi, acheni," - Malecela.
Jama msaada! Kuna jamaa yangu ana wasiwasi ile mbaya. Jamaa kaja kwangu juzi anaomba ushauri. Ana demu wake wanatarajia kuoana. Demu kamtembelea jamaa wakapitia kwenye moja moto moja baridi. Kufika home na ukame alokuwanao huku porini akaogelea kwa pupa. Kuja kutahamaki anaogelea bwawa la damu kumuuliza demu anadai hakuwa kwenye siku zake. Jamaa anauliza kuna madahara gani yanaweza kumpata? Hana hofu ya ukimwi maana wote wamepima kama wiki moja iliyopita kwa mara ya tatu. Damu za hedhi ndizo zimpazo hofu. Mwenye uelewa naomba amsaidie.
ulizama uvinza kwani???????
"Come to me, all you who are weary and burdened, and I will give you rest."-Jesus Christ
Matthew 11:28
Not weye Masanilo? 3-5 days (a week); 30days - 5days = 25 days (na toa zile siku "dangerous" ambazo hata inzi haruhusiwi kutua"; toa pia siku ambazo mama hajisikii kabsa au kachoka na mihangaiko); toa siku ambazo "adamu" hawezi kabisa kazi hata kwa kusukumwa.
Then lete jawabu ni siku ngapi tumshauri Mangi azitumie kwa mtarajiwa wake katika ndoa.
Ha haaaaaaaaaa msee sio mie huyo. Ni jamaa yangu ndo aombaye msaada ila we ushabariki kuwa ni mtarajiwa wangu. Lol mkuu ondoa hiyo kuwa ni mtarajiwa wangu!
Kyela wagombea wako wengi sana kaka! Ntaanzia udiwani lol, uko poa lakini?
Niko poa kabisa mkuu, habari zinazochuruzika ni kwamba kule viongozi wa kata ya Kyela mjini wameswekwa lupango na wenziwe wa wilaya kwa 'kuvunja' ofisi..so u can see hata udiwani tu wenyewe kasheshe! dah (sorry off topic....:D)
Ha haaaaaaaaaa msee sio mie huyo. Ni jamaa yangu ndo aombaye msaada ila we ushabariki kuwa ni mtarajiwa wangu. Lol mkuu ondoa hiyo kuwa ni mtarajiwa wangu!
Usihofu bana mambo ya kawaida haya bana, twashauriana bana si wajua ya "Mficha Uchi?"....Masa nae kama mie bana na yapo kwa kila mwanaume na kila mwanamke thats why binti hakuwa tayari kusema ukweli kuwa yupo "kwenye Mwezi Mchungu" wakati alipoguswa. Mambo magumu haya bana, yamekaa pabaya!...Pamodja!..Get more in here:
Jama msaada! Kuna jamaa yangu ana wasiwasi ile mbaya. Jamaa kaja kwangu juzi anaomba ushauri. Ana demu wake wanatarajia kuoana. Demu kamtembelea jamaa wakapitia kwenye moja moto moja baridi. Kufika home na ukame alokuwanao huku porini akaogelea kwa pupa. Kuja kutahamaki anaogelea bwawa la damu kumuuliza demu anadai hakuwa kwenye siku zake. Jamaa anauliza kuna madahara gani yanaweza kumpata? Hana hofu ya ukimwi maana wote wamepima kama wiki moja iliyopita kwa mara ya tatu. Damu za hedhi ndizo zimpazo hofu. Mwenye uelewa naomba amsaidie.
Uchafu tu atapata - anaweza kunywa maji mengi lita 6 hadi 7 kwa siku for two days kusafisha then its ok
akiacha anaweza kupata maumivu ya mgongo - ila si sana.
si vizuri tabia hiyo ni mbaya mbaya aachane nayo asiwe mroho mroho.
Thats disgusting and an absurd thing to do kumkosea heshima mwanamke kabisa.
Mwambie aache hiyo tabia haraka anawezaje kwanza eeeeeuwwww!!!!!!!!!!!!!!!!
Follow Us Here