JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Natafuta daktari bingwa

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 30 of 30
  1. Ivilikinge's Avatar
   Member Array
   Join Date : 15th June 2009
   Posts : 29
   Rep Power : 642
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Natafuta daktari bingwa

   Habari wana jamii forum mimi natafuta daktari bingwa hapa dar wa magonjwa ya zinaa maana naumwa sana na nimetibiwa siponi nimepima kila kitu mpaka ngoma sasa naona labda nianze na dr mpya na ujuzi mpya naombeni msaada gharama sio shida ntalipa
   email yangu:[email protected]


  2. Ivilikinge's Avatar
   Member Array
   Join Date : 15th June 2009
   Posts : 29
   Rep Power : 642
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: natafuta daktari bingwa

   Masanalo thanks sana bro nimekutumia mail cheki unajua sio kila saa nacheki huku kaka mambo kibao nimekupata kaka na naomba reply yale ambayo nimekuuliza kwenye hiyo mail poa bro

  3. Ivilikinge's Avatar
   Member Array
   Join Date : 15th June 2009
   Posts : 29
   Rep Power : 642
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

  4. Masanilo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2007
   Location : Swat valley, Keta Keta
   Posts : 22,185
   Rep Power : 85897712
   Likes Received
   4159
   Likes Given
   2484

   Default Re: natafuta daktari bingwa

   No worries mate

   Jaribu hii [email protected] nitakujibu kadri nitakavyoweza!

   Masa

   Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see - Mark Twain
   CCM is enemy of GOD

  5. TIMING's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2008
   Location : Roaming...
   Posts : 21,841
   Rep Power : 923038
   Likes Received
   7107
   Likes Given
   8213

   Default Re: natafuta daktari bingwa

   Quote By Masanilo View Post
   No worries mate

   Jaribu hii [email protected] nitakujibu kadri nitakavyoweza!

   Masa
   kweli humu ndani watu wamedata... sasa kingwendu tena?? ^(%T^&_*_---wallahi:D
   ....Time is the wisest counselor !!!

  6. Ngalikihinja's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st September 2009
   Posts : 11,937
   Rep Power : 82810886
   Likes Received
   3870
   Likes Given
   362


  7. Masanilo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2007
   Location : Swat valley, Keta Keta
   Posts : 22,185
   Rep Power : 85897712
   Likes Received
   4159
   Likes Given
   2484

   Default Re: natafuta daktari bingwa

   Quote By Ngalikihinja View Post
   Mnakosea............yanayouliz wa humu yanawasaidia na wengine....hayo mambo ya kuuliza swali jamvini halafu majibu yaende kwenye mail...si uungwana.............otherwise na maswali muulizane huko huko mnakopeana majibu............
   Confidentiality mazee!

   Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see - Mark Twain
   CCM is enemy of GOD

  8. Next Level's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th November 2008
   Location : Pwani
   Posts : 3,146
   Rep Power : 1301
   Likes Received
   99
   Likes Given
   42

   Talking Re: natafuta daktari bingwa

   Quote By Masanilo View Post
   Jamaa noma huyu nimempa shule hata thanks hakuna! Next time nitampa ushauri wa kumchanganya! viral nomaaaaaaaaa
   .....!!!

   Quote By Ivilikinge View Post
   Masanalo thanks sana bro nimekutumia mail cheki unajua sio kila saa nacheki huku kaka mambo kibao nimekupata kaka na naomba reply yale ambayo nimekuuliza kwenye hiyo mail poa bro
   Duuu we mshikaji mbona bahiri hivo, Mkinga nini? hako kabatani ka -senksi hukaoni?
   “When the missionaries came to Africa they had the Bible and we had the land. They said ''Let us pray'' we closed our eyes. When we opened them we had the Bible and they had the land.
   - Rev.Bishop Desmond Tutu.

  9. MwanaKimwani's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 19th November 2009
   Posts : 9
   Rep Power : 616
   Likes Received
   2
   Likes Given
   1

   Default Re: natafuta daktari bingwa

   Kaka/Dada Pole sana ukweli nimejisikia vibaya na huzuni baada ya kusoma ishu yako,lkn nimepata faraja baada ya kugundua kuna uwezekano wa kupata nafuu/kupona ingawaje inataka Moyo!Hapo ndio nilipo mimi sina msaada wowote wa kitaalam ila NAKUSIHI kama wengine walivyo kushauri-chonde chonde usiwaambukize wengine/kama wapo(unawafahamu) washauri mapema kabla hali haijawa mbaya-tumia kinga(kondom)kila unapokutana kimapenzi-fuata taratibu zote za matibabu kama unavyo shauriwa na Madaktari-Utafiti wa Maabara immunology mf.Muhimbili&Bugando nafikiri ni vema zaidi.Usiogope Mungu ndiye MUWEZA WA YOTE KAMA NAFSI YAKO INAKUSHAWISHI UMRUDIE MOLA WAKO KWA MAOMBI HUJACHELEWA TEKELEZA SASA!!

   Tumsifu Yesu Kristu........

  10. FirstLady1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th July 2009
   Location : Mama Mwenye Nyumba
   Posts : 16,103
   Rep Power : 85937919
   Likes Received
   4348
   Likes Given
   7806

   Default Re: natafuta daktari bingwa

   Kijana bado hujapata mtaalam tafadhari ukipona tunaomba majibu pia
   pia nakupa pole sana kwa hali hiyo
   No one is in charge of your happiness except you...
   God time is the best..
   Tupo wangapi?

  11. #30
   Mzuzu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th July 2007
   Posts : 467
   Rep Power : 10690
   Likes Received
   160
   Likes Given
   20

   Default Re: Natafuta daktari bingwa

   Ndugu yangu nenda kcmc km unaweza pale idara ya dematovenereology mtafute Dr Naburi atakusaidia sana. Wamefanyia utafiti sana hizi case na wanafarmacy inayocustomize dawa kulingana na lab investigations na ndio center ya magonjwa ya zinaa na ngozi ya Africa mashariki na kati inayosimamiwa na WHO, pole sana ndugu naamini ukiwaona utasaidiwa sana. Acha madawa ya dukani bongo usanii mtupu hutapata matibabu sahihi na linazidi kuwa sugu hilo dubwasha


  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Similar Topics

  1. Daktari Bingwa wa wanawake!
   By Maxence Melo in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
   Replies: 15
   Last Post: 18th October 2013, 05:19
  2. Nauliza daktari bingwa wa wanaume
   By Barraza in forum JF Doctor
   Replies: 30
   Last Post: 29th October 2011, 15:34
  3. Daktari bingwa
   By Ambassador in forum Jukwaa la Lugha
   Replies: 3
   Last Post: 17th November 2010, 21:38
  4. Daktari bingwa augua ghafla akimfanyia operesheni mgonjwa
   By Somi in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 0
   Last Post: 13th May 2010, 13:28

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...