JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 44
  1. Lekanjobe Kubinika's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th December 2006
   Location : Tanzania
   Posts : 3,064
   Rep Power : 8932
   Likes Received
   511
   Likes Given
   856

   Default Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Je, kama ni kweli huongeza vipi nguvu za kiume? Nguvu za kike je? Kwa nini karanga mbichi na sio zilizokaangwa? Wengine husema mchanganyiko wa ngisi, garlic na asali mbichi huzidisha nguvu za kiume, ni kweli nayo hii? Kwa nini isiwe asali nyingine? Isije ikawa ni promotion ya biashara hizo.

  2. Albedo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2008
   Posts : 5,582
   Rep Power : 54733567
   Likes Received
   1391
   Likes Given
   623

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Quote By Maria Roza View Post
   Zimepungua zinahitaji kuongezwa!
   No need bana we hakikisha Mazee anakuwa nazo za Kutosha, Mpe Misosi Kabambe, Ma mili Kamili, Mambo ya mboga nane na Hakika Shughuli yake utaipenda tu
   "SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM" Chris Lukosi kada wa CCM

  3. Bigirita's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2007
   Location : 3.0758° S, 37.3533° E
   Posts : 13,157
   Rep Power : 171804295
   Likes Received
   4129
   Likes Given
   5895

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Quote By Preta View Post
   kweli shost maana wakijua viumbe hawa hawakawiii kutoa thread...ohh kumbe wanawake nao wanataka nguvu...haiwahusu
   Haloooo! Haiwahuu!
   Wao si tunajua wakisema nguvu wanamaanisha mshindo kwa saa moja.

   Wangelijua. Tukishikwa mahala tu, yeye sisi ni dakika 5 then in 3 minutes tumo tena.
   * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

  4. Albedo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2008
   Posts : 5,582
   Rep Power : 54733567
   Likes Received
   1391
   Likes Given
   623

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Quote By Bigirita View Post
   Haloooo! Haiwahuu!
   Wao si tunajua wakisema nguvu wanamaanisha mshindo kwa saa moja.

   Wangelijua. Tukishikwa mahala tu, yeye sisi ni dakika 5 then in 3 minutes tumo tena.
   Teh teh teh Kuuumbee
   "SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM" Chris Lukosi kada wa CCM

  5. Preta's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th November 2009
   Location : yaeda chini
   Posts : 21,979
   Rep Power : 429501438
   Likes Received
   14230
   Likes Given
   11820

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Quote By Bigirita View Post
   Haloooo! Haiwahuu!
   Wao si tunajua wakisema nguvu wanamaanisha mshindo kwa saa moja.

   Wangelijua. Tukishikwa mahala tu, yeye sisi ni dakika 5 then in 3 minutes tumo tena.
   hao tuwaangaliage tuu...mara ooh karanga, sijui valuu, sijui pweza...kama anajiamini si aje mkavu mkavu tuone...unaona kijamaa kinajitutumua kumbe kingejua rohoni unasema na huyu nae makwekwe bure bao moja kinatafuta maji ya kunywa yalipo....dume rijali haliitaji GPU...wasijidanganye
   Life is too short to waste time hating anyone.........

  6. Albedo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2008
   Posts : 5,582
   Rep Power : 54733567
   Likes Received
   1391
   Likes Given
   623

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Hakuna cha Valuu wala nini Kidume kama Ukiwa na Mazoea ya hata Kuruka Kamba 400 kila siku, Unapiga Mzigo hakuna Kutepeta! Tatizo la Watu ni Kula Hovyo hawataki kufanya Mazoeozi! Fikiria Mtu mwenye Ratiba ifuatayo

   Anaamka Asubuhi anaenda kazini na Gari yake, akifika Kazini anapinda Mgongo Mpaka Saa kumi na Moja, akitoka hapo anapitia baa anapata moja moto moja baridi, anarudi Nyumbani anaoga anaangalia TV then analala kesho keshokutwa 365 days * 5 years, huyu mtu ataweza hata kupiga Bao Moja Kweli?
   "SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM" Chris Lukosi kada wa CCM  7. Preta's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th November 2009
   Location : yaeda chini
   Posts : 21,979
   Rep Power : 429501438
   Likes Received
   14230
   Likes Given
   11820

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Quote By Ndege ya Uchumi View Post
   Hakuna cha Valuu wala nini Kidume kama Ukiwa na Mazoea ya hata Kuruka Kamba 400 kila siku, Unapiga Mzigo hakuna Kutepeta! Tatizo la Watu ni Kula Hovyo hawataki kufanya Mazoeozi! Fikiria Mtu mwenye Ratiba ifuatayo

   Anaamka Asubuhi anaenda kazini na Gari yake, akifika Kazini anapinda Mgongo Mpaka Saa kumi na Moja, akitoka hapo anapitia baa anapata moja moto moja baridi, anarudi Nyumbani anaoga anaangalia TV then analala kesho keshokutwa 365 days * 5 years, huyu mtu ataweza hata kupiga Bao Moja Kweli?
   umenena mkuu......nimekukubali
   Life is too short to waste time hating anyone.........

  8. Bigirita's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2007
   Location : 3.0758° S, 37.3533° E
   Posts : 13,157
   Rep Power : 171804295
   Likes Received
   4129
   Likes Given
   5895

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Quote By Ndege ya Uchumi View Post
   Hakuna cha Valuu wala nini Kidume kama Ukiwa na Mazoea ya hata Kuruka Kamba 400 kila siku, Unapiga Mzigo hakuna Kutepeta! Tatizo la Watu ni Kula Hovyo hawataki kufanya Mazoeozi! Fikiria Mtu mwenye Ratiba ifuatayo

   Anaamka Asubuhi anaenda kazini na Gari yake, akifika Kazini anapinda Mgongo Mpaka Saa kumi na Moja, akitoka hapo anapitia baa anapata moja moto moja baridi, anarudi Nyumbani anaoga anaangalia TV then analala kesho keshokutwa 365 days * 5 years, huyu mtu ataweza hata kupiga Bao Moja Kweli?
   Agreed. Check preta anasemaje hapo juu
   * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

  9. Albedo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2008
   Posts : 5,582
   Rep Power : 54733567
   Likes Received
   1391
   Likes Given
   623

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Quote By Bigirita View Post
   Agreed. Check preta anasemaje hapo juu
   Nimemsoma na Kimsingi Nimemkubali sana! Tatizo Watu tunapenda sana kuwa na Uwezo bila ya Kuuhangaikia, Ndio maana siku hizi Madaktari wa Nguvu za Kiume Kibao! Kama Unabisha wewe Anzisha Thread Ipe Tittle " Dawa ya Nguvu za kiume Hii Hapa" Halafu angalia Statistics za Current active Viewers
   "SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM" Chris Lukosi kada wa CCM

  10. Bigirita's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2007
   Location : 3.0758° S, 37.3533° E
   Posts : 13,157
   Rep Power : 171804295
   Likes Received
   4129
   Likes Given
   5895

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Unataka nguvu zaidi ili ziwe nini? Za atomic? Si za kiume unazo? Unataka zaidi ile ziwe nn?
   * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

  11. jamadari's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th February 2010
   Posts : 295
   Rep Power : 223911051
   Likes Received
   83
   Likes Given
   226

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Kabla ya kuongeza nguvu, kumbuka...   Takribani miaka mitatu imepita toka kilipotokea kisa hiki:
   Mkazi mmoja wa mji wa Matola mkoani Mbeya, alilazwa kwenye hospitali ya mkoa huo baada ya kuubonda na jiwe uume wake kwa kile alichokielezea baadaye kuwa ni kujikinga na maambukizi ya gonjwa la ukimwi.

   Kisa cha mkazi huyo, ambaye ni kijana aliyekuwa chini ya miaka 35, kiliripotiwa na magazeti kadhaa nchini baada ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo kuwaelezea waandishi wa habari katika mkutano wake wa kawaida wa kuelezea matukio yaliyotokea mkoani mwake.

   Baada ya kuripotiwa kwa kisa hiki, mjadala ukaanza, kila mtu aliyesikia au kusoma habari hiyo kwenye magazeti akaanza kusema lake, wapo waliosema kuwa kijana huyo aliyekuwa akitibiwa na madaktari, alikuwa mjinga na wapo waliosema kuwa alichofanya kilikuwa sahihi.

   Waliosema kuwa alikuwa mjinga walikuwa na hoja zao, wengi walisema iwapo kama alikuwa anaogopa kuambukizwa Ukimwi basi si bora angetumia kondomu au angeoa mwanamke mmoja muaminifu au angeacha tu kushiriki tendo la ngono.

   Kinyume na alichofanya kijana huyo wa Mbeya, katika hali ya kawaida, wanaume wengi wenye umri kama wake siku hizi wamekuwa wakihangaika na jambo moja kubwa, kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume ili kukiongezea heshima kiungo kile.

   ``Yaani mie nijifyeke mwenyewe, haiwezekani!`` anasema Suleiman Bundara mkazi wa Magomeni Jijini Dar es Salaam na kujigamba; ``mimi nafikiria kuongeza makali kwa viagra, sio kujifyeka.``

   Ni kweli, sio Bw. Bundara peke yake, wapo watu wengi duniani wa aina yake, ambao hata bila ya kuwa na matatizo ya nguvu za kiume, wanapenda kutumia dawa za kuongeza nguvu hizo.

   Jaribu kuangalia karibu katika kila gazeti utakalo soma, ni nadra sana kukosa tangazo dogo la biashara lililotolewa na mganga wa kienyeji anayejigamba kuwa anazo dawa za kuongeza nguvu za kiume, na matangazo hayo hayaishii magazetini tu, bali hata redioni pia yapo.

   Dawa zinazoongelewa hupewa majina mengi ya `kusisimua`, lengo kubwa likiwa ni kuwavuta wateja `kuingia` ili washawishike kuzijaribu, ndio biashara ilivyo.

   Wingi huu wa matangazo umeanza kuonekana katika miaka ya hivi karibuni, na kadiri siku zinavyozidi ndivyo idadi ya waganga wanaojigamba kuwa na dawa hizo inavyozidi kushamiri, kuna waganga wenye dawa za Kiswahili, Kiarabu na za Kichina ndio usiseme!

   Wingi wa matangazo hayo unaashiria jambo moja, kuwa lipo tatizo kubwa la wanaume kupungukiwa nguvu hizo, na ingawa hakuna utafiti wa kitaalamu uliofanywa rasmi, lakini inaonyesha kuwa tatizo hilo kwa sasa ni kubwa sana na si Tanzania tu, bali ni dunia nzima.

   Kutokana na hali hiyo ndipo waganga wa kienyeji pamoja na makampuni mengi makubwa duniani hujaribu kuelekeza nguvu zao katika kufanya utafiti wa kutengeneza dawa za kusaidia watu wenye tatizo hilo, na bahati nzuri kwa makampuni na waganga hao ni kwamba inaonekana kama biashara inawaendea vizuri.

   Kwa mujibu wa utafiti wa taasisi moja ya biashara ya dawa za aina hiyo nchini Uingereza, imebainika kuwa asilimia 46 ya wanaume nchini humo hutumia dawa hizo, hata hivyo wengi wao huzitumia bila ya kupata ushauri wa daktari na maduka mengi ya dawa yametozwa faini kwa kuwauzia dawa hizo bila ya kuwa na vyeti vya daktari.

   Kupungua kwa nguvu za kiume, ambalo ni suala linalotokana na sababu zaidi ya moja, kumekuwa kukiwafanya wanaume wengi kuishi katika maisha na hali ya usononekaji na wengi wamekumbwa na umauti kutokana na hali hiyo ya kuishi na sononi kwa muda mrefu.

   Sababu za kupungua kwa nguvu za kiume zipo nyingi, lakini wataalamu wa masuala ya saikolojia wanaamini kuwa mara nyingi suala hilo, hasa kwa watu wenye umri wa chini ya miaka 45, linatokea kwa msongo wa akili kuliko ufanyaji kazi wa misuli ya mwili.

   ``Watu wengi wanaofikiri kuwa wamepungukiwa na nguvu hizo huwa hawako hivyo,`` inasema sehemu moja ya utafiti uliofanywa na wataalamu wa Chuo Kikuu cha Havard, nchini Marekani na kufafanua kuwa:

   ``Tatizo la watu hao huwa ni kushiriki tendo hilo kwa wakati usio muafaka kwao, wanashiri wakati bado hawajajitayarisha kiakili au wanapokuwa wamejitayarisha, basi `njiani` hukutana na wenzi ambao hawaafiki mwelekeo wa `safari` yao``.

   Wataalamu wa masuala ya vyakula nao wanaeleza kuwa tatizo hilo huwapata wanaume wengi kwa sababu ya utumiaji wa vyakula vyenye kuongeza kiwango kikubwa cha mafuta mwilini ambao hawashiriki katika mazoezi ya viungo ambayo huifanya misuli ya damu mwilini kutokufanya kazi vizuri na hivyo kusababisha matatizo mengi ya mwili kushindwa kufanya kazi zake vizuri.

   Katika nchi zilizoendelea kama Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya, matumizi ya dawa hizi hutolewa kwa watu baada ya kuandikiwa cheti na daktari, na watu wenye matatizo ya msukumo wa ndamu (BP), mara nyingi wamekuwa wakishauriwa kutotumia dawa hizo kwa sababu ni hatari kwa maisha yao.

   Hii ni kwa sababu dawa nyingi, kama Viagra, Ciallis, Levitra, Yohimbine na nyingine mbali ya kuwa na nafasi ya kusababisha magonjwa ya moyo, kwa watu wasiokuwa nayo, pia yana madhara mengine kama vile kusababisha upofu na kuleta hali ya mwili kuwa na kitetemeshi.

   Madhara mengine ya dawa hizo ni pamoja na kumsababishia mtumiaji hali ya kuumwa na kichwa mara kwa mara, macho kuwa mekundu, kuziba kwa hewa puani na maumivu ya tumbo pamoja na kuharisha .

   Haya ni aina ya madhara yanayotokana na dawa za kizungu, ambazo kabla ya kuingia madukani kufanyiwa utafiti wa kina kuangalia madhara yake kwa watumiaji, na ingawa hayo yote yanafanyika lakini bado athari zake kwa watumiaji zinaonekana.

   Hapa ndipo panapozusha hofu juu ya dawa hizi nyingine `za kienyeji zinazotengenezwa na waganga na kuuzwa bila ya kufanyiwa utafiti wa kina, ni wazi kama kanuni za kiafya zinavyosema, kuwa kila dawa ina madhara yake, lakini je ni nani anapima madhara mabaya yatokanayo na dawa hizi za kienyeji zinazouzwa kama njugu?

   Ukiacha madhara yatokanayo na dawa hizo, pia wanaume wengi hukumbwa na tatizo hili la kupungukiwa nguvu kwa sababu ya uvutaji wa sigara kwa wingi, utafiti mbalimbali wa kitabibu duniani unaonyesha kuwa matumizi ya bidhaa zitokanazo na tumbaku huwasababishia wanaume upungufu wa nguvu hizo.

   Ni kweli kwamba tatizo la wanaume wengi kupungukiwa nguvu za kiume limekuwa kubwa duniani, lakini utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu hizo haupaswi kufanyika kiholela kwa kuzingatia kuwa matatizo yake kiafya ni makubwa kuliko faraja ya muda mfupi anayopata mtumiaji.

  12. jamadari's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th February 2010
   Posts : 295
   Rep Power : 223911051
   Likes Received
   83
   Likes Given
   226

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Matikiti Maji Yanaongeza Nguvu za Kiume

   Watafiti katika chuo kikuu cha Texas A&M wamegundua kwamba matikiti maji yanaweza yakatumika kama "Viagra ya Asili" kwa wanaume wenye matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume.

   Watafiti hao walisema kuwa tikiti maji lina amino acid nyingi za citrulline ambazo huifanya mishipa ya damu itanuke na iwe katika hali kama ile ambayo mtu anayetumia viagra au madawa ya kuongeza nguvu za kiume huwa nayo.

   Citrulline ikiwa mwilini hugeuka kuwa "arginine" mojawapo ya aina za amino acid. Hali hii husababisha kuongezeka kwa kiwango cha nitric oxide kwenye damu. Nitric oxide husaidia kuifanya mishipa ya damu itanuke.

   Hata hivyo watafiti hao hawakuweka wazi idadi ya matikiti maji ambayo mwanaume anatakiwa kula ili aweze kuwa na nguvu za kiume kama za viagra.

   Bhimu Patil, mkurugenzi wa maabara iliyofanya utafiti huo alisisitiza kuwa ulaji wa tikiti maji wa mara kwa mara unasaidia kuzuia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

   Mojawapo ya faida nyingine ya tikiti maji iliyotajwa ni kusaidia kushusha shinikizo la damu.
   http://www.tzlivenews.com/blogs/blog...style=f-larger

   http://www.jamiiforums.com/jf-doctor...tml#post765460

  13. Ujengelele's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th January 2008
   Posts : 1,259
   Rep Power : 962
   Likes Received
   19
   Likes Given
   3

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Quote By Preta View Post
   hao tuwaangaliage tuu...mara ooh karanga, sijui valuu, sijui pweza...kama anajiamini si aje mkavu mkavu tuone...unaona kijamaa kinajitutumua kumbe kingejua rohoni unasema na huyu nae makwekwe bure bao moja kinatafuta maji ya kunywa yalipo....dume rijali haliitaji GPU...wasijidanganye
   Hebu tufahamishe kama mke wa mtu hivi vijamaa vinavyojitutumua kumbe rohoni kwako unasema, "huyu naye makwekwe bure bao moja kinatafuta maji ya kunywa yalipo" huwa unakutana navyo wapi?
   Last edited by Ujengelele; 11th March 2010 at 07:12.

  14. Tigo Pesa's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 18th March 2012
   Posts : 8
   Rep Power : 495
   Likes Received
   3
   Likes Given
   3

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Karanga mbichi huongeza hamu ya kujamiiana?

  15. mbaraka.m's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 12th October 2011
   Posts : 210
   Rep Power : 558
   Likes Received
   32
   Likes Given
   45

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Karanga mbichi huongeza uwezo wa mwili kutengeneza testosterone-a type of androgen(lipid in nature) ambazo huongeza hamu ya tendo na production ya manii.

  16. hopaje's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th January 2013
   Posts : 856
   Rep Power : 622
   Likes Received
   202
   Likes Given
   245

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Niulze na hili hivi ni kweli kupiga pull kuna madhara....??

  17. FRAN.K's Avatar
   Member Array
   Join Date : 21st December 2012
   Posts : 20
   Rep Power : 458
   Likes Received
   1
   Likes Given
   3

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   tukumbuke na shule kidogo......its true protein haiongezi nguvu ile ni "ujenzi" wa mwili kwa ujumla repairing of broken tissues and make up of new tissues especially for the new borns.....Nadhan watu wanachanganya sana kudhan karanga inaongeza nguvu za kiume naona kwa wengi ambao hawana elimu ya kibaologia zaidi....lakini kwa msaada tu chakula chenye antoxidants nyingi ama zinc ndiyo kinauwezo wa kukuongezea hizo mnaita nguvu za kiumeni.....kwa anayehitaji maelezo zaidi anaweza kuniuliza vyakula gani...comment naona
   inakuwa ndefu sana

  18. ndetichia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2011
   Location : Mwime - Buswangili
   Posts : 27,408
   Rep Power : 98146806
   Likes Received
   4352
   Likes Given
   383

   Default

   Quote By hopaje View Post
   Niulze na hili hivi ni kweli kupiga pull kuna madhara....??
   tafuta nyuzi za MziziMkavu

  19. Tom shy's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 4th January 2013
   Posts : 4
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Dah, short mi naona karanga mbichi zinaongeza uzalishwaji wa manii mwilin

  20. Lekanjobe Kubinika's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th December 2006
   Location : Tanzania
   Posts : 3,064
   Rep Power : 8932
   Likes Received
   511
   Likes Given
   856

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Quote By Baba_Enock View Post
   Chakula chochote chenye "PROTEIN" nyingi uongeza "ENERGY - in Cal value" (nguvu is too general) mwilini. Karanga zina protein nyingi na mafuta.

   Potency haina uhusiano na Karanga in that sense!
   Sasa hapa tusijerushiana changa la macho. It is not the priority of the body to extract ENERGY from PROTEINS. Vyakula vya wanga ndio vyenye jukumu la kwanza la kuupa mwili nguvu - ugali kwa wingi tena dona basi na sio kivelege au kikobhole. Protein ni chaguo la tatu baada ya kukosekana carbohydrates na fats. Protein kazi yake kimsingi ni ulinzi wa mwili. Sasa jukwaa hili lina wataalam wa aina ya kumwaga. Nashangaa wataalam kuachia porojo zinazopotosha kuendelea kushamiri bila kutoa angalizo mapema. Au, hamjui kwamba urongo hunasa ubongoni kwa haraka zaidi kuliko ukweli?
   "Uwe na Bidii kama vile utaishi milele, uwe mwaminifu kama vile utakufa kesho" (Indira Gandhi)

  21. Lekanjobe Kubinika's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th December 2006
   Location : Tanzania
   Posts : 3,064
   Rep Power : 8932
   Likes Received
   511
   Likes Given
   856

   Default Re: Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

   Quote By FRAN.K View Post
   tukumbuke na shule kidogo......its true protein haiongezi nguvu ile ni "ujenzi" wa mwili kwa ujumla repairing of broken tissues and make up of new tissues especially for the new borns.....Nadhan watu wanachanganya sana kudhan karanga inaongeza nguvu za kiume naona kwa wengi ambao hawana elimu ya kibaologia zaidi....lakini kwa msaada tu chakula chenye antoxidants nyingi ama zinc ndiyo kinauwezo wa kukuongezea hizo mnaita nguvu za kiumeni.....kwa anayehitaji maelezo zaidi anaweza kuniuliza vyakula gani...comment naona
   inakuwa ndefu sana
   Funguka mzee, leta shule tafadhali
   "Uwe na Bidii kama vile utaishi milele, uwe mwaminifu kama vile utakufa kesho" (Indira Gandhi)

  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Similar Topics

  1. Tende Huongeza Nguvu Za Kiume
   By X-PASTER in forum JF Doctor
   Replies: 51
   Last Post: 31st December 2011, 13:51
  2. For Men Only: RUDISHA NGUVU ZA KIUME
   By GHOST RYDER in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 2
   Last Post: 16th June 2011, 09:58
  3. Serengeti Bia na Nguvu za kiume!
   By Supervisor in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 10
   Last Post: 9th November 2010, 18:21
  4. Nini huongeza nguvu?
   By Bebrn in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 0
   Last Post: 9th April 2009, 13:20

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...