JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kuzuia mimba kwa njia ya asili

  Report Post
  Page 5 of 6 FirstFirst ... 3456 LastLast
  Results 81 to 100 of 110
  1. Nabihu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 20th March 2012
   Location : DODOMA
   Posts : 249
   Rep Power : 525
   Likes Received
   42
   Likes Given
   1

   Default Kuzuia mimba kwa njia ya asili

   Habar waungwana Naomba Maelekezo ya Njia ya ASILI ya kuzuia Mimba ambayo ni salama kabisa.
   MziziMkavu likes this.


  2. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 35,766
   Rep Power : 429504221
   Likes Received
   21633
   Likes Given
   67031

   Default re: Kuzuia mimba kwa njia ya asili

   Quote By Lorisy View Post
   duuh,sijawahi kusikia hizi njia..nahisi ni maswala ya imani zaidi maana popo chini ya mto na mimba wapi na wapi..
   Mkuu Lorisy Elimu hiyo nimeipata Miaka 2000 kabla ya kuja Bwana YESU Kristo huwezi kupata kwenye kitabu chochote kile hata Babu wa Lolilondo hana Elimu hiyo Mkuu lorisy, hiyo ni Elimu ya Sayansi na Teknolojia Ya Tiba Mbadala huwezi kuipata ovyovyo hata Ma-Daktari hawawezi kuipata elimu hiyo.
   Lorisy likes this.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  3. BAK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2007
   Location : Mfaranyaki
   Posts : 43,973
   Rep Power : 429505965
   Likes Received
   26157
   Likes Given
   28962

   Default re: Kuzuia mimba kwa njia ya asili

   Soma hapa Charminglady:

   Dinahicious-Sex, Relationships & Love: Nilisikia Kwenye KP kuwa shabu....-Msaada!

   Quote By charminglady View Post
   Mkuu... hiyo shabu haina madhara yeyote nikitumbukiza kunako naniliu????
   MziziMkavu and charminglady like this.
   Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

  4. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 35,766
   Rep Power : 429504221
   Likes Received
   21633
   Likes Given
   67031

   Default re: Kuzuia mimba kwa njia ya asili

   Quote By Idimi View Post
   Umeona eeh? Hilo la popo hata mie limenishtua sana
   Mkuu Idimi Dawa zipo nyingi tu nyinyi mumezoea Dawa za kizungu Asprin, Panadol na kadhalika sisi wengine tumezoea Dawa zetu za Asili ya Sayansi na Teknolojia ya Tiba Mbadala Huwezi kupata Elimu hiyo mpaka uende kozi ya miaka 10 Mkuu.
   Idimi and charminglady like this.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  5. Mwana kinyonga's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 19th September 2011
   Location : somewhere
   Posts : 223
   Rep Power : 546
   Likes Received
   59
   Likes Given
   379

   Default re: Kuzuia mimba kwa njia ya asili

   Quote By MziziMkavu View Post
   Mkuu Mwana kinyonga Unasemaje wewe ni Mke au Mume?
   Mkuu mi ni Mume
   MziziMkavu likes this.

  6. measkron's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Posts : 3,421
   Rep Power : 429497638
   Likes Received
   1910
   Likes Given
   4436

   Default re: Kuzuia mimba kwa njia ya asili

   Quote By MziziMkavu View Post
   Mkuu Ukwaju Shabu hiyo akitia mwanamke kwenye uchi wake kabla ya kufanya tendo la ndoa mwanamme anapomfanya akitoa shahawa zake hiyo shabu kazi yake inauwa zile mbegu za kiume zisiweze kufikia yai la huyo mwanammke kushika mimba hiyo ndio kazi yake shabu mkuu upo pamoja na mimi?
   Mkuu MziziMkavu ina maana hiy shabu whatever you call it inafanya kazi kama spermicides?? nadhani twahitaji kujifunza hii zaidi... King'asti, meningitis, ZeMarcopolo, Riwa kujeni pande hizi


  7. moto2012's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd July 2012
   Posts : 1,794
   Rep Power : 338702
   Likes Received
   958
   Likes Given
   483

   Default

   Quote By Fixed Point View Post
   umeona eeehhhh! yaani ni majanga?
   sasa hiyo ya kutumia kichwa cha popo kwenye mto......
   MziziMkavu is every where, nahisi huyu jamaa si mtu bali ni kikundi cha watu wenye akili mchanganyiko

  8. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 25,922
   Rep Power : 429502209
   Likes Received
   20699
   Likes Given
   10409

   Default re: Kuzuia mimba kwa njia ya asili

   ofcoz itakuwa spermicide manake ni kemikali. lakini sidhani kama ni sahihi manake hiyo ph ya ukeni inajitosheleza na kuingiza vitu vingine hukawii kuharibu utamu.

   mie huwa siafiki vitu visivyofanyiwa tafiti. kama anataka spermicide zinauzwa phamacy nadhani kwa jina hilo hilo
   Quote By measkron View Post
   Mkuu MziziMkavu ina maana hiy shabu whatever you call it inafanya kazi kama spermicides?? nadhani twahitaji kujifunza hii zaidi... King'asti, meningitis, ZeMarcopolo, Riwa kujeni pande hizi
   BAK and measkron like this.
   I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou


  9. Barugize's Avatar
   Member Array
   Join Date : 12th July 2013
   Posts : 20
   Rep Power : 411
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default re: Kuzuia mimba kwa njia ya asili

   Natafuta dawa ya kutowa mimba. Mkewangu amenasa mimba akiwa anamtoto wa miezi mitatu. Niaibu lakini imekuwa badi lak nawaombeni, mnishauri.

  10. BAK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th February 2007
   Location : Mfaranyaki
   Posts : 43,973
   Rep Power : 429505965
   Likes Received
   26157
   Likes Given
   28962

   Default re: Kuzuia mimba kwa njia ya asili

   Best angalia post number 82 on this page kisha uende huko. Haya mambo ya kuingiza vitu mwilini bila kujua athari zake hayahusu kitu. Unaweza kubaki unajuta kwa kipindi kirefu katika maisha yako.

   Quote By King'asti View Post
   ofcoz itakuwa spermicide manake ni kemikali. lakini sidhani kama ni sahihi manake hiyo ph ya ukeni inajitosheleza na kuingiza vitu vingine hukawii kuharibu utamu.

   mie huwa siafiki vitu visivyofanyiwa tafiti. kama anataka spermicide zinauzwa phamacy nadhani kwa jina hilo hilo
   Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

  11. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 25,922
   Rep Power : 429502209
   Likes Received
   20699
   Likes Given
   10409

   Default re: Kuzuia mimba kwa njia ya asili

   dr tulishakubaliana mie na weye usiniwekee mipicha yako ya kutisha bwana. mie bado mdogo, ntaota usiku.
   plz niko serious
   Quote By MziziMkavu View Post
   Bibie King'asti

   Popo huyoooooooooooooo   BAK and MziziMkavu like this.
   I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou


  12. Husninyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th October 2010
   Posts : 23,269
   Rep Power : 344358647
   Likes Received
   8315
   Likes Given
   5164

   Default

   Quote By Fixed Point View Post
   umeona eeehhhh! yaani ni majanga?
   sasa hiyo ya kutumia kichwa cha popo kwenye mto......
   hahahaha! Kichwa cha popo jamani! Duh! Mzizimkavu ametisha. Khaa!
   Fixed Point likes this.

  13. TONGONI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th February 2011
   Location : ΑΘΗΝΑ
   Posts : 1,011
   Rep Power : 738
   Likes Received
   335
   Likes Given
   178

   Default re: Kuzuia mimba kwa njia ya asili

   Kwa kawaida kuna siku 8 tu kila mwezi ambazo mwanamke anaweza kupata mimba ambapo siku hizi zipo katikati ya siku zake za kwenda mwezini, na huanza siku 10 baada ya siku ya kwanza ya kupata damu ya hedhi. Hivyo basi ikiwa mwanamke yoyote hataki kupata mimba ni lazima aache kukutana na mwanaume kwenye siku hizi 8! Naamini hili linawezekana kwani siku nyingine zilizobakia wapendanao wanaweza kujiachia kama kawaida kwani hakuna uwezekano wa mwanamke kushika mimba!

   Kwa mfano: Unaingia kwenye siku zako tarehe 5 Desemba, weka alama kwenye tarehe hiyo kisha hesabu siku 10 na baada ya hapo pigia msitari siku 8 zinazofuata!

   MziziMkavu kwanza heshima yako mimi naheshimu sana michango yako humu jf hasa katika maswala ya tiba,nimejaribu kulisoma hili lakini nimeshindwa kuelewa,hapo katika nyekundu umekusudia ile siku ya kwanza kupata damu ya hedhi una maana kuanzia tarehe hiyo ndio salama kwa maana nyingine kama mwanamke amepata damu ya hedhi kwa siku 4 basi kuna siku salama siku 6 au umekusudia hesabu inaanza pale anapo maliza hedhi ndio kuna siku kumi salama?

   Ingawa sijui jibu lako ni nini na hasa lengo hapa ni kuelimishana sio vibaya nikikupa uzoefu wangu..mimi binafsi natumia kalenda na hii imenifanya mpaka rafiki yangu wa kike ananishangaa kwani hata siku zikikaribia basi mimi huwa nachungulia kama pads zipo na kama hakuna kuwa na nunua kabisa,lakini nadhani situmii kikamilifu ila mchango wako umenifanya nipate hamu ya kujua zaidi..kwa kawaidi mimi huzingatia siku baada ya damu ya hedhi na haijatoke issue yaa ujauzito.

   kwanza nikiri mimi sio mtaalam wa hili lakini kama ulivyo tangulia kusema mzunguko au kalenda ya mwanamke ina siku 28 ndimo mnamopatika siku za Damu ya hedhi,siku salama na siku za kushika mimba.
   Labda tuanzia na siku ambazo mimba inaweza kushika hii pale yai la mwanamke linapokuwa katika sehemu ambayo kama likikutana na mbegu za kiume basi linafungana ndio hali ya ujauzito inatokea "Lile swali la mbona sipati siku zangu linapo jitokeza"na kama haikutoke kukutana na mbegu za kiume basi hutoka kwa njia ya damu kwa maana hiyo mimba hutunga kabla kupata damu ya hedhi na baada ya kumaliza damu ya hedhi inachukua muda kidogo mpaka yai la mwanamke kuwa katika sehemu ambayo kama likikutana na mbegu za kiume ndio inakuwa mimba...na pia kuna ile hali ya mbegu za kiume kukaa kwa zaidi ya masaa 48 ndani ya uke zikiwa hai na ujauzito kutokea sikumbili baada ya kujamiiana.
   MziziMkavu likes this.

  14. Fixed Point's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 30th September 2009
   Posts : 11,323
   Rep Power : 429499298
   Likes Received
   12634
   Likes Given
   12793

   Default re: Kuzuia mimba kwa njia ya asili

   Quote By MziziMkavu View Post
   Bibie Fixed Point Unaweza pia kutumia dawa ya Shabu kuweka kwenye keki yako kabla jamaa hajaila hiyo keki yako unasemaje?
   rafiki, sitaki kabisa kusikia kuweka chochote kwenye hii keki yangu....
   MziziMkavu likes this.
   Don't wait for the Perfect Moment,
   Take the Moment and make it Perfect


  15. TONGONI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th February 2011
   Location : ΑΘΗΝΑ
   Posts : 1,011
   Rep Power : 738
   Likes Received
   335
   Likes Given
   178

   Default re: Kuzuia mimba kwa njia ya asili

   Quote By Nabihu View Post
   Habar waungwana Naomba Maelekezo ya Njia ya ASILI ya kuzuia Mimba ambayo ni salama kabisa.
   The 'after day pill' is an abortion pill. Which means if you fertilized her egg, and life has started - that basically you just aborted the child by preventing it from being able to implant into the wall of her uterus. Way to go dad! S orry, anti-stupidity abortion.

   Quoted by Sunny: "It is only after 14 days of period that ovaries are produced" ((please don't believe a guy who doesn't even know about ovaries, and who thinks the ovary is the freaking egg))
   God, if I had a buck for every baby born from 'it's scientifically impossible'

   Back to the Day After Pill, it works for most women, but it can cause birth defects in the child if it manages to implant anyway, and eventually get born. It can also cause severe cramping, bleeding, and throw her period off for months.

   Since I went through fertility treatments, I'll let you in on a little secret most teenagers here don't seem to know. A woman gets pregnant 14 days BEFORE her NEXT period. Not 14 days after her period. This makes a difference in women who don't cycle (start their period) every 28 days exactly. (and mos't don't).

   So, have your girlfriend (buy it for her since you're sleeping with her) a little purse sized calendar. Have her mark down the days she bleeds, and in about 2 - 3 months you will see her pattern (or lack of a pattern) for her period. Then what you do is figure out that she SHOULD START her period Aug. 28th, so you then back track 14 days and now know on that date (14 days BEFORE Aug 14th) you don't want to have un safe sex for 4 - 5 days. Because sperm can live up to 5 days in a woman's body.

   If it sounds like to much work, you ain't ready for kids. If you ain't ready for kids, you ain't ready for sex.

  16. Tanzanite klm's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 7th May 2013
   Posts : 233
   Rep Power : 463
   Likes Received
   43
   Likes Given
   0

   Default re: Kuzuia mimba kwa njia ya asili

   Popo!,mh,huu ni uchawi sasa.
   MziziMkavu likes this.

  17. G_crisis's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th June 2011
   Posts : 663
   Rep Power : 720
   Likes Received
   145
   Likes Given
   22

   Default

   Quote By MziziMkavu View Post
   Mkuu ZeMarcopolo Njia za kuzuia kutopata mimba Kwa kutumia njia ya Sayansi na Teknolojia ya Tiba Mbadala zipo nyingi na zingine siwezi kuweka hapa.

   Nimeweka njia mbili hapa ya kwanza Mwanamke atumie shabu kuweka sehemu zake za siri kwenye uke kabla ya tendo la ndoa.

   Husaidia Spam au shahawa ya mwanamme inapotaka kuingia kwenye mfuko wa uzazi wa kike huwa hiyo shabu inaharibu hizo spam

   shahawa za huyo mwanamme zinakufa nguvu na mwanammke anakuwa hawezi kupata mimba. Na njia ya Pili ya kicxhwa cha Popo

   anakiweka huyo Mwanamke amabaye anataka asipate mimba kwenye ndani ya Mto wake wa kulalia basi atakapo fanya tendo la

   ndoa hawezi kushika mimba mpaka akitowa hicho kichwa cha Pop anaweza kushika mimba jaribuni dawa zangu kisha munipe

   Feedback. Chanzo MziziMkavu ( "The Chemical")
   sasa MziziMkavu hicho kichwa kikianza kuoza si chumba kitajaa harufu ya mzoga, au ulimaanisha fuvu la kichwa cha popo??
   MziziMkavu likes this.

  18. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 35,766
   Rep Power : 429504221
   Likes Received
   21633
   Likes Given
   67031

   Default re: Kuzuia mimba kwa njia ya asili

   Quote By G_crisis View Post
   sasa MziziMkavu hicho kichwa kikianza kuoza si chumba kitajaa harufu ya mzoga, au ulimaanisha fuvu la kichwa cha popo??
   Kanunuwe kwa waganga wa kienyeji kichwa cha popo kilicho kaushwa kikavu kaulizie kwa waganga wa kienyeji utakipata.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  19. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 35,766
   Rep Power : 429504221
   Likes Received
   21633
   Likes Given
   67031

   Default re: Kuzuia mimba kwa njia ya asili

   Quote By measkron View Post
   Mkuu MziziMkavu ina maana hiy shabu whatever you call it inafanya kazi kama spermicides?? nadhani twahitaji kujifunza hii zaidi... King'asti, meningitis, ZeMarcopolo, Riwa kujeni pande hizi
   shabu inafanya kazi ya kuuwa Sperm za Mwanamme unaitwanga nakuweka kwenye Keki yako kabla ya kufanya tendo la Sex basi hutoweza kushika mimba kamwe.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  20. Jeji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th June 2011
   Location : hapa hapa
   Posts : 1,972
   Rep Power : 26180
   Likes Received
   344
   Likes Given
   466

   Default re: Kuzuia mimba kwa njia ya asili

   je kufunga kizazi kwa mwanamke pia kuna madhara yoyote kama zile njia zingine za uzazi wa mpango?
   cc: MziziMkavu Riwa meningitis King'asti
   Riwa likes this.
   "BOSI HANUNIWI"

  21. mollelian masai's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 9th August 2013
   Posts : 124
   Rep Power : 427
   Likes Received
   20
   Likes Given
   2

   Default

   Quote By Barugize View Post
   Natafuta dawa ya kutowa
   mimba. Mkewangu amenasa mimba akiwa anamtoto wa miezi mitatu. Niaibu
   lakini imekuwa badi lak nawaombeni, mnishauri.
   nakushauri usithubutu ni dhambi ;mm nilipata hivyo hivyo watoto sasa wakubwa wako kama mapacha;unaona aibu je ukijahitaji ukakosa; muangalie Mungu na sio wanadamu


  Page 5 of 6 FirstFirst ... 3456 LastLast

  Similar Topics

  1. Kuzuia mimba kwa dawa za asili
   By MankaM in forum JF Doctor
   Replies: 59
   Last Post: 25th June 2014, 05:24
  2. vidonge vya kuzuia mimba kwa mwanaume
   By bigmukolo in forum JF Doctor
   Replies: 5
   Last Post: 28th August 2013, 15:33
  3. Sera ya kuzuia Mimba kwa Wanafunzi Mashuleni imefanikiwa?
   By mmaroroi in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 1
   Last Post: 11th August 2009, 21:05

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...