JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 23
  1. Truth Matters's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2013
   Posts : 544
   Rep Power : 31395
   Likes Received
   240
   Likes Given
   2

   Default Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

   Wakuu,
   Hivi vidonda tumbo vinatibika na dawa za hospitali?
   Anayejua dawa sahihi msaada tafadhali.

   N.B sitaki dawa mbadala!
   Sanctus Mtsimbe likes this.

  2. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 29,498
   Rep Power : 19293272
   Likes Received
   16380
   Likes Given
   51372

   Default Re: Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

   Hakuna dawa ya kutibu Vidonda vya Tumbo Ma-Hospitalini. Dawa za Hospitali zinatuliza tu Vidond vya Tumbo lakini hazitibu hizo

   dawa za Hospitalini. Ukitakata Dawa ya kutiibu vidond vya tumbo za Mitishamba tiba mbadala zipo Fanya moja kati ya hizi dawa

   tumia kwa muda wa siku 10 ukiwa bado hujapona tumia dawa nyingine kwa huo muda tena.

   (1) Dawa ya vidonda vya tumbo Kunywa mkojo wako mwenyewe kwa muda wa siku 10 tu zinatosha kila siku asubuhi ukinge mkojo wako

   mwenyewe kipimo cha glasi 1 kabla ya kula kitu unywe kisha ukae baada ya saa 1 unaweza kula chakula ufanye hivyo kwa muda wa siku 10 kisha uende kwa Daktari kupima huta kuta tena Vidonda vya Tumbo.

   (2) Dawa ya Vidonda vya Tumbo

   TIBA 1:
   Tafuta glasi 1 (250ml) ya asali.Weka matone 10 ya Mafuta ya habbat saudai.Changanya na kijiko kimoja (10ml) cha unga wa ganda la komamanga.
   Mgonjwa atakunywa dawa hii kutwa mara 1 (1×1) kwa muda wa siku 60 mfululizo.   Ni bora kutumia dawa hii asubuhi mapema kabla mgonjwa hajakula chochote
   .

   TIBA 2
   :
   Chukua kopo moja (1Ltr) la maji safi changanya kijiko kimoja kidogo (5ml) cha bizari ya pilau (uzile) na kijiko kidogo (5ml) cha unga wa haba soda.
   Chemsha halafu iwache ipoe.Kunywa kikombe kimoja cha chai (200ml) kila siku (1×1) kabla ya kulala.

   Tahadhari;usitumie vitu kama kahawa,pilipili na vitu vyengine vyote vikali
   Mtumishi Mkuu likes this.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  3. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 29,498
   Rep Power : 19293272
   Likes Received
   16380
   Likes Given
   51372

   Default Re: Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

   Quote By Truth Matters View Post
   Wakuu,
   Hivi vidonda tumbo vinatibika na dawa za hospitali?
   Anayejua dawa sahihi msaada tafadhali.

   N.B sitaki dawa mbadala!
   Mkuu Truth Matters Kama hutaki Dawa zaTiba mbadala Nenda Hospitali ya Muhimbili watakupa Dawa ya Vidonda vya Tumbo ipo kule utapata dawa yako.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  4. kimweri Jr's Avatar
   Member Array
   Join Date : 9th June 2012
   Location : DODOMA TANZANIA
   Posts : 90
   Rep Power : 416
   Likes Received
   28
   Likes Given
   6

   Default Re: Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

   Triple therapy. Ikishindikana unafanyiwa billiroth I.

  5. Miaghay's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th June 2011
   Posts : 1,030
   Rep Power : 657
   Likes Received
   169
   Likes Given
   6

   Default Re: Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

   Cayenne pepper is wonderfull for healing ulcers as well as dulling the pain.
   ..=eat raw cabbage or cabbage juice.it heal ulcers in ten days.

   =coconut oil kill bacteria that cause ulcers.
   MziziMkavu likes this.

  6. JF SMS Swahili

  7. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 29,498
   Rep Power : 19293272
   Likes Received
   16380
   Likes Given
   51372

   Default Re: Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

   Quote By Miaghay View Post
   Cayenne pepper is wonderfull for healing ulcers as well as dulling the pain.
   ..=eat raw cabbage or cabbage juice.it heal ulcers in ten days.

   =coconut oil kill bacteria that cause ulcers.
   Mkuu Miaghay huyu Mkuu.@Truth Matter hataki dawa za Tiba mbadala anataka umpe dawa za kizungu nimemshauri aende Hospitali ya Rufaa ya Muhimbil kuna Dawa za Vidonda vya Tumbo atapata.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  8. Sanctus Mtsimbe's Avatar
   JF Diamond Member Array
   Join Date : 14th July 2008
   Location : Dar Es Salaam
   Posts : 1,566
   Rep Power : 920
   Likes Received
   575
   Likes Given
   682

   Default Re: Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

   Quote By Truth Matters View Post
   Wakuu,
   Hivi vidonda tumbo vinatibika na dawa za hospitali?
   Anayejua dawa sahihi msaada tafadhali.

   N.B sitaki dawa mbadala!
   Truth Matters

   Tumia kijiko kimoja cha chai cha mbegu za Carom. Unaweza kununua hizi Supermarkets kubwa kama Uchumi. Changanya na kijiko 1 cha chai cha chumvi. Changanya. Hii itakupa nafuu tu.

   Unaweza pia kutumia glass 1 ya maji ya moto ukichanganya na kijiko 1 cha chai cha unga wa Licorice (get from Supermarket) au maduka ya wahindi Kisutu. Changanya na iache itulia kwa dakika 15. Chuja na kunywa mara 3 kwa siku.

   Muhimu:

   • Kunywa vikombe 2 vya maji ya madafu kila siku.
   • Pia punguza au acha kabisa matumizi ya:
   o Red meat
   o Pilipili
   o Vyakula vichungu au vikali
   o Viungo au Pickles
   o cafenated Tea na Kahawa
   o Vitu vitamu kama sweets
   o Soda
   • Kila chakula masaa 2 kabla hujalala
   • Tafuna kijiko kidogo cha Mbegu za fennel (Supermarket au kariakoo au Kisutu utapata) kila baada ya mlo
   • Epuka kunywa maji pamoja na chakula au wakati wa kula kwani hiyo inadilute digestive juices/enzymes na kuchelewesha digestions.

   Vidonda vya Tumbo vinasababishwa na:
   • Kula sana na tumbo kujaa
   • Kutumia chakula ambacho hakijapikwa
   • Matumizi ya chai, pombe na kahawa
   •Utumiaji wa viungo sana na sauces
   • Stress au Msongo wa Mawazo au Maisha.

   Kwa details tembelea: Mafanikio Na Afya Njema: Je Una Vidonda Vya Tumbo Au Ulcers? - Natural Home Remedies for Gastritis
   Asprin likes this.
   EAPBN is an Eastern Africa Professionals & Business Network Connecting 15 Countries. Join Today!

  9. Miaghay's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th June 2011
   Posts : 1,030
   Rep Power : 657
   Likes Received
   169
   Likes Given
   6

   Default

   Quote By MziziMkavu View Post
   Mkuu Miaghay huyu Mkuu.@Truth Matter hataki dawa za Tiba mbadala anataka umpe dawa za kizungu nimemshauri aende Hospitali ya Rufaa ya Muhimbil kuna Dawa za Vidonda vya Tumbo atapata.
   Tunajaribu kumpa na alternative zingine huenda alikua hazijui.
   MziziMkavu likes this.

  10. Truth Matters's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2013
   Posts : 544
   Rep Power : 31395
   Likes Received
   240
   Likes Given
   2

   Default Re: Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

   Wakuu asanteni kwa michango yenu mizuri. Lakini wengi kama sio wote mme-ignore tahadhari yangu. Sina shida na tiba mbadala, ila mimi binafsi nimefikia conclusion kwamba tibba mbadala zinatakiwa zitumike kama mazoea ya kawaida (kinga) zaidi kuliko kutibu. Nina uzoefu sana na hizi dawa. Ukitumia kama kinga ndio huwa effective zaidi. Kama ulcers zinasababishwa na bacteria fulani, bila shaka hospitali watakuwa na antibiotic kwa ajili yake.

   Hilo tu!

  11. Mgaya.com's Avatar
   Member Array
   Join Date : 13th June 2013
   Posts : 76
   Rep Power : 361
   Likes Received
   22
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Truth Matters View Post
   Wakuu asanteni kwa michango yenu mizuri. Lakini wengi kama sio wote mme-ignore tahadhari yangu. Sina shida na tiba mbadala, ila mimi binafsi nimefikia conclusion kwamba tibba mbadala zinatakiwa zitumike kama mazoea ya kawaida (kinga) zaidi kuliko kutibu. Nina uzoefu sana na hizi dawa. Ukitumia kama kinga ndio huwa effective zaidi. Kama ulcers zinasababishwa na bacteria fulani, bila shaka hospitali watakuwa na antibiotic kwa ajili yake.

   Hilo tu!
   Bro ni mbaya sana kuomba ushauri halafu huku unajifanya unajua! Kwa nn umeuliza kama ulikuwa unajua? Nenda kapimwe utakuwa na ugonjwa mwingine unaokusumbua!nawasilisha!

  12. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 29,498
   Rep Power : 19293272
   Likes Received
   16380
   Likes Given
   51372

   Default Re: Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

   Quote By Mgaya.com View Post
   Bro ni mbaya sana kuomba ushauri halafu huku unajifanya unajua! Kwa nn umeuliza kama ulikuwa unajua? Nenda kapimwe utakuwa na ugonjwa mwingine unaokusumbua!nawasilisha!
   Mkuu Mgaya.com Huyu.@Truth Matters Mpuuzi fulani angelikuwa anajuwa asingelikuja hapa kuulizia hiyo dawa ya Vidonda vya tumbo tumuache kama alivyo kwanza amekula BAN kwa jeuri yake anawasumbuwa watu akili zao.
   Asprin likes this.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  13. Chemiker's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th June 2013
   Location : Tansania
   Posts : 485
   Rep Power : 442
   Likes Received
   93
   Likes Given
   30

   Default Re: Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

   Quote By MziziMkavu View Post
   Hakuna dawa ya kutibu Vidonda vya Tumbo Ma-Hospitalini. Dawa za Hospitali zinatuliza tu Vidond vya Tumbo lakini hazitibu hizo

   dawa za Hospitalini. Ukitakata Dawa ya kutiibu vidond vya tumbo za Mitishamba tiba mbadala zipo Fanya moja kati ya hizi dawa

   tumia kwa muda wa siku 10 ukiwa bado hujapona tumia dawa nyingine kwa huo muda tena.

   (1) Dawa ya vidonda vya tumbo Kunywa mkojo wako mwenyewe kwa muda wa siku 10 tu zinatosha kila siku asubuhi ukinge mkojo wako

   mwenyewe kipimo cha glasi 1 kabla ya kula kitu unywe kisha ukae baada ya saa 1 unaweza kula chakula ufanye hivyo kwa muda wa siku 10 kisha uende kwa Daktari kupima huta kuta tena Vidonda vya Tumbo.

   (2) Dawa ya Vidonda vya Tumbo

   TIBA 1:
   Tafuta glasi 1 (250ml) ya asali.Weka matone 10 ya Mafuta ya habbat saudai.Changanya na kijiko kimoja (10ml) cha unga wa ganda la komamanga.
   Mgonjwa atakunywa dawa hii kutwa mara 1 (1×1) kwa muda wa siku 60 mfululizo.   Ni bora kutumia dawa hii asubuhi mapema kabla mgonjwa hajakula chochote
   .

   TIBA 2
   :
   Chukua kopo moja (1Ltr) la maji safi changanya kijiko kimoja kidogo (5ml) cha bizari ya pilau (uzile) na kijiko kidogo (5ml) cha unga wa haba soda.
   Chemsha halafu iwache ipoe.Kunywa kikombe kimoja cha chai (200ml) kila siku (1×1) kabla ya kulala.

   Tahadhari;usitumie vitu kama kahawa,pilipili na vitu vyengine vyote vikali
   Mkuu ''taproot'', Hiyo number (1) mmh....!! Tiba mbadala ni nzuri kwa matibabu ya vidonda vya tumbo hata hao wazungu ndio wanazitumia . Pia, matumizi ya dagaa wale wadogodogo ni hatari, sababu vile vimiba vyake vinaenda kutoboa toboa utumbo.
   MziziMkavu likes this.

  14. Chemiker's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th June 2013
   Location : Tansania
   Posts : 485
   Rep Power : 442
   Likes Received
   93
   Likes Given
   30

   Default Re: Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

   Quote By Truth Matters View Post
   Wakuu,
   Hivi vidonda tumbo vinatibika na dawa za hospitali?
   Anayejua dawa sahihi msaada tafadhali.

   N.B sitaki dawa mbadala!
   Achana na hizo dawa za kizungu wenyewe hawazipendi , wanazitengeneza kwa ajili ya kufanyia tafiti na ''sample specimen'' ni watu kama wewe.Ukienda ulaya , utatibiwa kwa hayo madawa yao ya viwandani lkn dawa mbadala ni aghali sana unaweza ushindwe nunua.Jiulize ni kwa nini? Matibabu ya ulcers ni karibia laki 1 kama ipo ktk early stage.
   MziziMkavu likes this.

  15. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 29,498
   Rep Power : 19293272
   Likes Received
   16380
   Likes Given
   51372

   Default Re: Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

   Quote By Chemiker View Post
   Mkuu ''taproot'', Hiyo number (1) mmh....!! Tiba mbadala ni nzuri kwa matibabu ya vidonda vya tumbo hata hao wazungu ndio wanazitumia . Pia, matumizi ya dagaa wale wadogodogo ni hatari, sababu vile vimiba vyake vinaenda kutoboa toboa utumbo.
   Mkuu Chemiker Hiyo Namba Moja ndio Dawa inayoweza kutibu vidonda vya Tumbo kwa haraka zaidi kuliko dawa hizo zingine kama unaye mgonjwa jaribu kutumia hiyo dawa.Kisha uje unipe Feedback.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  16. Masoud Mwakoba's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 21st December 2012
   Posts : 127
   Rep Power : 395
   Likes Received
   14
   Likes Given
   0

   Default Re: Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

   Namba 1 hapana kabisaa,mimi niliumwa vidonda vya tumbo kwa miaka 8 na niliponea kigoma na miti iliyotumika naifahamu lakin ipo kule kule tu haipo sehemu zingne za TZ,kwa sasa nakula chochote na toka nipone ni miaka 6 sasa na nilishawahi waletea watu 4 huku Dar na wao wamepona hadi sasa,hizo dawa ulizoorozeshewa hapo juu haziponyeshi hata unywe miaka 10,kama unaweza kwenda kigoma nichek in box kwenye fb kupitia jina langu hilo nikuelekeze!Pole sana

  17. don12's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th October 2012
   Posts : 428
   Rep Power : 0
   Likes Received
   104
   Likes Given
   89

   Default

   Quote By MziziMkavu View Post
   Hakuna dawa ya kutibu Vidonda vya Tumbo Ma-Hospitalini. Dawa za Hospitali zinatuliza tu Vidond vya Tumbo lakini hazitibu hizo

   dawa za Hospitalini. Ukitakata Dawa ya kutiibu vidond vya tumbo za Mitishamba tiba mbadala zipo Fanya moja kati ya hizi dawa

   tumia kwa muda wa siku 10 ukiwa bado hujapona tumia dawa nyingine kwa huo muda tena.

   (1) Dawa ya vidonda vya tumbo Kunywa mkojo wako mwenyewe kwa muda wa siku 10 tu zinatosha kila siku asubuhi ukinge mkojo wako

   mwenyewe kipimo cha glasi 1 kabla ya kula kitu unywe kisha ukae baada ya saa 1 unaweza kula chakula ufanye hivyo kwa muda wa siku 10 kisha uende kwa Daktari kupima huta kuta tena Vidonda vya Tumbo.

   (2) Dawa ya Vidonda vya Tumbo

   TIBA 1:
   Tafuta glasi 1 (250ml) ya asali.Weka matone 10 ya Mafuta ya habbat saudai.Changanya na kijiko kimoja (10ml) cha unga wa ganda la komamanga.
   Mgonjwa atakunywa dawa hii kutwa mara 1 (1×1) kwa muda wa siku 60 mfululizo.   Ni bora kutumia dawa hii asubuhi mapema kabla mgonjwa hajakula chochote
   .

   TIBA 2
   :
   Chukua kopo moja (1Ltr) la maji safi changanya kijiko kimoja kidogo (5ml) cha bizari ya pilau (uzile) na kijiko kidogo (5ml) cha unga wa haba soda.
   Chemsha halafu iwache ipoe.Kunywa kikombe kimoja cha chai (200ml) kila siku (1×1) kabla ya kulala.

   Tahadhari;usitumie vitu kama kahawa,pilipili na vitu vyengine vyote vikali
   wewe unayeandika utumbo huu, umeufanyia research.? Yeye hataki mandodi,name marahabu yako ,Anahitaji ushauri wa kitaalam, kaa kimya ,pisha wataalam

  18. Chemiker's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th June 2013
   Location : Tansania
   Posts : 485
   Rep Power : 442
   Likes Received
   93
   Likes Given
   30

   Default Re: Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

   Quote By MziziMkavu View Post
   Mkuu Chemiker Hiyo Namba Moja ndio Dawa inayoweza kutibu vidonda vya Tumbo kwa haraka zaidi kuliko dawa hizo zingine kama unaye mgonjwa jaribu kutumia hiyo dawa.Kisha uje unipe Feedback.
   Mkuu MziziMkavu naweza kukubaliana na wewe ila inategemea na mtu, maana wengine kunywa maji kwao ni Mwiko hivyo mikojo yao ni Njano sana na inatoa harufu kali sana kwa hiyo ukimwambia mgonjwa habari hii atashangaa. Muhimu, kama mgonjwa anataka kutumia hii dozi lazima ajizoeshe kunywa maji walau si chini ya Lita 3 kwa siku na hii itamsaidia kupunguza sumu mwilini.

  19. Chemiker's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th June 2013
   Location : Tansania
   Posts : 485
   Rep Power : 442
   Likes Received
   93
   Likes Given
   30

   Default Re: Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

   Quote By don12 View Post
   wewe unayeandika utumbo huu, umeufanyia research.? Yeye hataki mandodi,name marahabu yako ,Anahitaji ushauri wa kitaalam, kaa kimya ,pisha wataalam
   Kwani hao uliowataja kwa kebehi si wataalamu? Kwani unafikiri hizo dawa wanazotoa hawajazifanyia tafiti? Ulishawahi kutumia? Acha ulimbukeni!!(sorry kama nimekukwaza). Inaonekana wewe ni muumini wa dawa za kizungu!! na kwa taarifa yako dawa za kizungu zilizopo hapa Tz nyingi ni research za hao wazungu unaowasujudu!!

  20. Ibra6's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 2nd June 2013
   Posts : 102
   Rep Power : 367
   Likes Received
   21
   Likes Given
   0

   Default Re: Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

   Ni amoxlin+flajil unameza zote pamoja.nimepoteza ela nyng bt nimekujapona bure kwa mpapai mda wa siku15 tu!!.

  21. Truth Matters's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2013
   Posts : 544
   Rep Power : 31395
   Likes Received
   240
   Likes Given
   2

   Default Re: Vidonda Tumbo ( Ulcers) Vinatibika?

   Quote By MziziMkavu View Post
   Mkuu Mgaya.com Huyu.@Truth Matters Mpuuzi fulani angelikuwa anajuwa asingelikuja hapa kuulizia hiyo dawa ya Vidonda vya tumbo tumuache kama alivyo kwanza amekula BAN kwa jeuri yake anawasumbuwa watu akili zao.
   Mkuu MziziMkavu heshima kwako, nimesikitishwa na namna ulivyonitukana. Lazima ukubali mawazo tofauti nisawa na dini, kila mmoja anaamini ya kwake. Mimi kuzikataa tiba mbadala kwenye hili nina sababu zangu za msingi. Hata wewe ukiumwa sasa tutakupeleka hospitali hiyo 'mikojo' yako utaikimbia! Ukweli ni kuwa tiba mbadala 90% ni magumashi, labda utumie kama chakula tu cha kila siku!

  22. JF SMS Swahili

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...