JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Nasumbuliwa na chunusi usoni, naomba kupatiwa ushauri nifanye nini

  Report Post
  Results 1 to 16 of 16
  1. sisala's Avatar
   Member Array
   Join Date : 14th April 2012
   Posts : 58
   Rep Power : 416
   Likes Received
   11
   Likes Given
   22

   Default Nasumbuliwa na chunusi usoni, naomba kupatiwa ushauri nifanye nini

   habari JF Doctor, nimesumbuliwa na chunusi usoni kwa muda mrefu, nimetumia vipodozi mbalimbali lakini sijapata matokeo mazuri, sababu zinapungua kwa muda na huwa zinarudi tena, cjui cha kufanya kwa sasa. tafadhali naomba msaada wako.
   Sanctus Mtsimbe likes this.

  2. bereng's Avatar
   Member Array
   Join Date : 5th February 2013
   Posts : 85
   Rep Power : 380
   Likes Received
   15
   Likes Given
   0

   Default Re: Nasumbuliwa na chunusi usoni, naomba kupatiwa ushauri nifanye nini

   Pole sana,
   kuna products ambazo unaweza kutumia na zikakusaidia. Naomba tuwasiliane kwa 0768 955185 kama utapenda kwa ushauri na jinsi ya kupata tiba.
   mapunda b likes this.

  3. aljun raj's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 17th October 2012
   Posts : 125
   Rep Power : 403
   Likes Received
   16
   Likes Given
   18

   Default Re: Nasumbuliwa na chunusi usoni, naomba kupatiwa ushauri nifanye nini

   Pole sana

  4. dav22's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 1,610
   Rep Power : 735
   Likes Received
   201
   Likes Given
   125

   Default Re: Nasumbuliwa na chunusi usoni, naomba kupatiwa ushauri nifanye nini

   Quote By bereng View Post
   Pole sana,
   kuna products ambazo unaweza kutumia na zikakusaidia. Naomba tuwasiliane kwa 0768 955185 kama utapenda kwa ushauri na jinsi ya kupata tiba.
   Mkuu kwanini mambo yawe ya kisiri siri hadi upigiwe simu?si uweke hadharani hapa kila mtu aelimike aisee??
   MziziMkavu and Salma Mrisho like this.

  5. Mndengereko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th March 2011
   Location : IKWIRIRI
   Posts : 5,624
   Rep Power : 25474936
   Likes Received
   2090
   Likes Given
   1441

   Default Re: Nasumbuliwa na chunusi usoni, naomba kupatiwa ushauri nifanye nini

   Haya madude mimi yalinisumbua mpk nikatamani nivae ngozi ya bandia,ila ukimaliza kipindi cha kubaleghe yanaisha yenyewe,nili2mia dawa zote kasoro zamitishamba,
   the more yo know the more you realize you know nothing....

  6. JF SMS Swahili

  7. Mndengereko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th March 2011
   Location : IKWIRIRI
   Posts : 5,624
   Rep Power : 25474936
   Likes Received
   2090
   Likes Given
   1441

   Default Re: Nasumbuliwa na chunusi usoni, naomba kupatiwa ushauri nifanye nini

   Muda wa kubaleghe ukipita zenyewe zitaondoka.
   the more yo know the more you realize you know nothing....

  8. cosmasmpwage's Avatar
   Member Array
   Join Date : 4th February 2013
   Posts : 28
   Rep Power : 368
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Nasumbuliwa na chunusi usoni, naomba kupatiwa ushauri nifanye nini

   pole sana, but nakushauri kuwa usidili sana na hzo chunusi cz zina kipindi chake zen zenyewe zitatoweka, we tumia mafuta ya mgando yanatosha!

  9. Sanctus Mtsimbe's Avatar
   JF Diamond Member Array
   Join Date : 14th July 2008
   Location : Dar Es Salaam
   Posts : 1,566
   Rep Power : 919
   Likes Received
   575
   Likes Given
   682

   Default Re: Nasumbuliwa na chunusi usoni, naomba kupatiwa ushauri nifanye nini

   Quote By sisala View Post
   habari JF Doctor, nimesumbuliwa na chunusi usoni kwa muda mrefu, nimetumia vipodozi mbalimbali lakini sijapata matokeo mazuri, sababu zinapungua kwa muda na huwa zinarudi tena, cjui cha kufanya kwa sasa. tafadhali naomba msaada wako.
   Twanga vitunguu swaumu uwe unapaka chunusi zitakauka. Kisha tumia viazi mviringo kuondoa makovu yake na unga wa manjano na limao pia. Pitia hapa: Mafanikio Na Afya Njema: Jinsi Ya Kuondoa Chunusi Usoni: Home Remedies for Acne na hapa: Mafanikio Na Afya Njema: Je, Una Makovu Ya Chunusi? - Home Remedies for Acne Scars
   EAPBN is an Eastern Africa Professionals & Business Network Connecting 15 Countries. Join Today!

  10. Chilai20's Avatar
   Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Posts : 81
   Rep Power : 475
   Likes Received
   10
   Likes Given
   6

   Default

   Quote By Mndengereko View Post
   Muda wa kubaleghe ukipita zenyewe zitaondoka.

   si kweli, mm nnazo tangu nipo form three mpaka sasa nmemaliza chuo, nna 25yrz hapa....kubaleghe mwisho lini???
   Sanctus Mtsimbe likes this.

  11. King Kong III's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 15th October 2010
   Location : Enaboishu-Umenyeni
   Posts : 17,183
   Rep Power : 3877129
   Likes Received
   5338
   Likes Given
   3535

   Default Re: Nasumbuliwa na chunusi usoni, naomba kupatiwa ushauri nifanye nini

   Tumia kiungo chako vizuri,kunywa maji ya kutosha,mboga za majani kwa wingi na mazoezi ya kutembea.

  12. Money Stunna's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th August 2011
   Location : BeechGrove City
   Posts : 9,456
   Rep Power : 6084740
   Likes Received
   3464
   Likes Given
   1291

   Default

   Quote By Sanctus Mtsimbe View Post
   Twanga vitunguu swaumu uwe unapaka chunusi zitakauka. Kisha tumia viazi mviringo kuondoa makovu yake na unga wa manjano na limao pia. Pitia hapa: Mafanikio Na Afya Njema: Jinsi Ya Kuondoa Chunusi Usoni: Home Remedies for Acne na hapa: Mafanikio Na Afya Njema: Je, Una Makovu Ya Chunusi? - Home Remedies for Acne Scars
   mkuu mbona ulivyomuelekeza ni kama anataka kupika chakula

  13. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 29,412
   Rep Power : 19293254
   Likes Received
   16171
   Likes Given
   51094

   Default Re: Nasumbuliwa na chunusi usoni, naomba kupatiwa ushauri nifanye nini

   Quote By sisala View Post
   habari JF Doctor, nimesumbuliwa na chunusi usoni kwa muda mrefu, nimetumia vipodozi mbalimbali lakini sijapata matokeo mazuri, sababu zinapungua kwa muda na huwa zinarudi tena, cjui cha kufanya kwa sasa. tafadhali naomba msaada wako.
   Bibie sisala Pole sana na hizo chunusi zako fanya hivi kisha uje unipe Feedback.

   Dawa ya Chunusi:

   Chukua kitunguu maji kisha ukisage, halafu ukikande katika unga wa ngano nzima, changanya na yai pamoja na mafuta ya ufuta,

   na upake usoni asubuhi na jioni pamoja na kula kitunguu kwa sana.

   Sanctus Mtsimbe likes this.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

  14. KakaJambazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2009
   Posts : 7,517
   Rep Power : 834786
   Likes Received
   2425
   Likes Given
   1972

   Default Re: Nasumbuliwa na chunusi usoni, naomba kupatiwa ushauri nifanye nini

   Quote By dav22 View Post
   Mkuu kwanini mambo yawe ya kisiri siri hadi upigiwe simu?si uweke hadharani hapa kila mtu aelimike aisee??
   Keshajua ni mwanamke.
   You Want A Man With A Range Rover While Your Dad Has A Corolla... Be Humble Like Your Mother!!!

  15. Finder boy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th January 2012
   Posts : 308
   Rep Power : 478
   Likes Received
   17
   Likes Given
   2

   Default

   Quote By KakaJambazi View Post
   Keshajua ni mwanamke.
   yashakuwa ayo tena!

  16. sisala's Avatar
   Member Array
   Join Date : 14th April 2012
   Posts : 58
   Rep Power : 416
   Likes Received
   11
   Likes Given
   22

   Default Re: Nasumbuliwa na chunusi usoni, naomba kupatiwa ushauri nifanye nini

   Quote By Sanctus Mtsimbe View Post
   Twanga vitunguu swaumu uwe unapaka chunusi zitakauka. Kisha tumia viazi mviringo kuondoa makovu yake na unga wa manjano na limao pia. Pitia hapa: Mafanikio Na Afya Njema: Jinsi Ya Kuondoa Chunusi Usoni: Home Remedies for Acne na hapa: Mafanikio Na Afya Njema: Je, Una Makovu Ya Chunusi? - Home Remedies for Acne Scars
   vipi kuhusu hvyo viazi mviringo nifanyeje ndugu yangu
   Sanctus Mtsimbe likes this.

  17. sisala's Avatar
   Member Array
   Join Date : 14th April 2012
   Posts : 58
   Rep Power : 416
   Likes Received
   11
   Likes Given
   22

   Default Re: Nasumbuliwa na chunusi usoni, naomba kupatiwa ushauri nifanye nini

   Quote By MziziMkavu View Post
   Bibie sisala Pole sana na hizo chunusi zako fanya hivi kisha uje unipe Feedback.

   Dawa ya Chunusi:

   Chukua kitunguu maji kisha ukisage, halafu ukikande katika unga wa ngano nzima, changanya na yai pamoja na mafuta ya ufuta,

   na upake usoni asubuhi na jioni pamoja na kula kitunguu kwa sana.

   nashukuru ndugu yangu kwa ushauri wako, kwenye unga wa ngano nzima hapo cjakuelewa vizuri, tafadhali naomba maelezo zaidi rafiki

  18. JF SMS Swahili

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...