|
Quote: |
|
 |
|
|
mi nimewahi kutumia ni nzuri. hasa ukipata green card tumia hospitali zinazoeleweka kama agakhani hakuna matatizo. kwa broun card ndio kuna matatizo
angalizo: kupata greencard unatakiwa kuwa na mshahara kuanzia Tshs. 864,030/- kwa mwezi au zaidi, chini ya kiwango hiki utapata brown card |
|
|
|
|
Mkuu umesema ukweli unapokua na Green card kuna unafuu kidogo,, ila wengiwetu tuna Brown card kutibiwa ni baadhi ya hospitali,,hupatiwi huduma katika hospitali yoyote.
Nilitaraji kama ni bima ya Afya ya TAIFA kipaumbele kingewekwa kwa watu wa kipato cha chini alau katika suala hili muhimi la Afya.
Kwa kiwango hicho cha mshahara huduma hiyo ni kwa watu wa tabaka fulani la wenye nacho wengine tutakua ni wachangiaji tu