JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Je, kuna ukweli kuhusu she -male(dumejike)

  Report Post
  Results 1 to 8 of 8
  1. INGENJA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th September 2012
   Posts : 1,639
   Rep Power : 795
   Likes Received
   516
   Likes Given
   3194

   Default Je, kuna ukweli kuhusu she -male(dumejike)

   Habari wajuzi wamambo hasa wataalam katika tasnia hii ya Biolojia(biology).kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa kuna binadamu wanaozaliwa wakiwa na jinsia mbili ila sikuwahi kuliamin hilo hata siku moja.

   Wiki mbili hivi zimepita nilikuwa nabishana na dada mmoja kuwa wapo watu wa aina hiyo nilimbishia sana ,kutaka kunithibitishia akanionyesha baadhi ya pics kutoka kwenye mtandao zenye kuwaonyesha watu wa aina hiyo(mtu mwenye umbo lakike lakini sehemu ya uzazi ni yakiume) nilienda kukataa nikimwambia kuwa huwenda ni utundu wa watu kumix picture lakin akanionyesha mpaka video

   Still nikaendelea kutoamini katika hilo moja kwa moja ila nikwa naulakini fula,sikutaka kuamini kilakitu nikajarabu kusearch kwenye maeneo mbalmbali kujua ukweli lakini hakuna lilonipa ukweli moja kwamoja.

   Sasa natamani kujua kutoka kwenu enyi wataalam wa sayansi katika hili

   Quote By Kifyatu View Post
   Sasa bwana kuna milolongo mingi hapa:

   Hermaphrodite

   Hawa ni watu waliozaliwa na jinsia mbili (maana yake wana sex organs za kike na kiume). Hii ameilezea MziziMkavu hapo juu. Hawa watu tunao wengi katika jamii lakini hufanya siri. Mfano wa hadharani ni mwanariadha Caster Semenya wa South Africa ambae anasema yeye ni mwanamke lakini umbile lake la nje ni kama mwanamme.

   NOTE: Sote sisi tukiwa tumboni kwa mama tunaanza kama wanawake. Kama Y-cromosome haipo basi tunazaliwa kama wanawake. The chemical changes zinazo anzishwa na Y ndio zinazoziba ufa ambao ungekuwa uke wakati gololi zikiwa zinabakia ndani sawa na ovaries. Wavulana wakishazaliwa inachukua muda hizi gololi kuashiriwa kuwa zinapaswa kushuka na ndio zinateremka kama balls of steel za marijali. Sasa saa nyingine hizi chemical triggers hazifanyi kazi vizuri na mtu anazaliwa na jinsia mbili.
   Haya Geneticist fanyeni kazi yenu.

   She-Male, Trans-gender, Third-gender, nk.
   Hawa watu mara nyingi wanazaliwa na jinsia moja ila tu (by nature or nurture) wanajihisi wangependelea kuwa na jinsia nyingine. Hivyo basi wanaweza kufanya hivi kwa:
   • kuvaa mavazi ya jinsia nyingine
   • wanaume kutumia homornes za kike ili wawe na matiti na haiba ya kike
   • wanawake kutumia hormones za kiume ili wawe na ndevu na swagger za dume
   • nk.
   Quote By MziziMkavu View Post
   Mkuu.@INGENJ Binadamu kuzaliwa na jinsia 2 ya kike na kiume ni kitu cha kawaida huwa anaangaliwa ukubwani kwake je kipi kati ya hizo jinsia 2 kinachofanya kazi ikiwa uume ndio unaofanya kazi atahesabika yeye huyo ni Mwanamme la ikiwa uuke ndio unaofanya kazi pia huwa anahesabika yeye ni mwanamke siku hizi wanampima hospitali Hormone na kujuwa kama yeye ni mwanamke au mwanamme mambo ni ya kawaida hayo mkuu usishangae kabisa.

  2. stephot's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st March 2012
   Location : Where ur!
   Posts : 1,828
   Rep Power : 14168
   Likes Received
   569
   Likes Given
   1219

   Default re: Je, kuna ukweli kuhusu she -male(dumejike)

   Haihitaji udaktari hapo,iko hivi kule ulaya baadhi ya mashoga wananogewa sana na hali yao mpaka wanafikia hali ya kutaka waonekane wanawake,wanachokifanya ni kutumia aina za madawa yenye kuchochea homoni za kike,hiyo inawasababishia kuota maziwa,kuota hips,------ makubwa,kuwa na ngozi nyororo na kuna baadhi mpaka nywele zinarefuka kama za wanawake ingawa wengine huamua kuvaa mawigi,ili kutimiza azma yao hujipodoa kama wafanyavyo wanawake ikiwa ni pamoja na kuvaa nguo za kike hivyo kuwafanya waonekane wanawake zaidi kuliko uwanaume isipokuwa wanabakia na madushelele kama kawaida.Hii ndivyo ninavyofahamu mimi mwenye kupinga aeleze!

  3. ADK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th January 2012
   Posts : 865
   Rep Power : 802050
   Likes Received
   88
   Likes Given
   61

   Default re: Je, kuna ukweli kuhusu she -male(dumejike)

   nimeziona HAYO hayo mavitu kwenye porn video hayo mambo yapo hata hapa kwetu bongo wapo

  4. Chocs's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2012
   Posts : 8,086
   Rep Power : 216543063
   Likes Received
   4210
   Likes Given
   4330

   Default re: Je, kuna ukweli kuhusu she -male(dumejike)

   Sina uhakika bse sijawahi kuona na siku nikiona nitashangaa sana ila nasikia wapo na inatokana na kuzidi au kupungua kwa hormones MziziMkavu naomba ukuje ujibu hili swali/utoe ufafanuzi kama kuna unalofahamu au kama kuna tafiti pia.
   Always accept yourself as to who you are or where you belong.

  5. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,477
   Rep Power : 429504380
   Likes Received
   22044
   Likes Given
   68192

   Default re: Je, kuna ukweli kuhusu she -male(dumejike)

   Mkuu.@INGENJ Binadamu kuzaliwa na jinsia 2 ya kike na kiume ni kitu cha kawaida huwa anaangaliwa ukubwani kwake je kipi kati ya hizo jinsia 2 kinachofanya kazi ikiwa uume ndio unaofanya kazi atahesabika yeye huyo ni Mwanamme la ikiwa uuke ndio unaofanya kazi pia huwa anahesabika yeye ni mwanamke siku hizi wanampima hospitali Hormone na kujuwa kama yeye ni mwanamke au mwanamme mambo ni ya kawaida hayo mkuu usishangae kabisa.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  6. saxogade's Avatar
   Member Array
   Join Date : 12th January 2013
   Posts : 18
   Rep Power : 453
   Likes Received
   4
   Likes Given
   0

   Default re: Je, kuna ukweli kuhusu she -male(dumejike)

   inawezekana ila wale wa ulaya wengi wamejilipua na mahomoni

  7. Kifyatu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th October 2010
   Posts : 1,011
   Rep Power : 171820751
   Likes Received
   618
   Likes Given
   881

   Default re: Je, kuna ukweli kuhusu she -male(dumejike)

   Quote By INGENJA View Post
   Habari wajuzi wamambo hasa wataalam katika tasnia hii ya Biolojia(biology).kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa kuna binadamu wanaozaliwa wakiwa na jinsia mbili ila sikuwahi kuliamin hilo hata siku moja.Wiki mbili hivi zimepita nilikuwa nabishana na dada mmoja kuwa wapo watu wa aina hiyo nilimbishia sana ,kutaka kunithibitishia akanionyesha baadhi ya pics kutoka kwenye mtandao zenye kuwaonyesha watu wa aina hiyo(mtu mwenye umbo lakike lakini sehemu ya uzazi ni yakiume) nilienda kukataa nikimwambia kuwa huwenda ni utundu wa watu kumix picture lakin akanionyesha mpaka video
   still nikaendelea kutoamini katika hilo moja kwa moja ila nikwa naulakini fula,sikutaka kuamini kilakitu nikajarabu kusearch kwenye maeneo mbalmbali kujua ukweli lakini hakuna lilonipa ukweli moja kwamoja.
   Sasa natamani kujua kutoka kwenu enyi wataalam wa sayansi katika hili
   Sasa bwana kuna milolongo mingi hapa:

   Hermaphrodite

   Hawa ni watu waliozaliwa na jinsia mbili (maana yake wana sex organs za kike na kiume). Hii ameilezea MziziMkavu hapo juu. Hawa watu tunao wengi katika jamii lakini hufanya siri. Mfano wa hadharani ni mwanariadha Caster Semenya wa South Africa ambae anasema yeye ni mwanamke lakini umbile lake la nje ni kama mwanamme.

   NOTE: Sote sisi tukiwa tumboni kwa mama tunaanza kama wanawake. Kama Y-cromosome haipo basi tunazaliwa kama wanawake. The chemical changes zinazo anzishwa na Y ndio zinazoziba ufa ambao ungekuwa uke wakati gololi zikiwa zinabakia ndani sawa na ovaries. Wavulana wakishazaliwa inachukua muda hizi gololi kuashiriwa kuwa zinapaswa kushuka na ndio zinateremka kama balls of steel za marijali. Sasa saa nyingine hizi chemical triggers hazifanyi kazi vizuri na mtu anazaliwa na jinsia mbili.
   Haya Geneticist fanyeni kazi yenu.

   She-Male, Trans-gender, Third-gender, nk.
   Hawa watu mara nyingi wanazaliwa na jinsia moja ila tu (by nature or nurture) wanajihisi wangependelea kuwa na jinsia nyingine. Hivyo basi wanaweza kufanya hivi kwa:
   • kuvaa mavazi ya jinsia nyingine
   • wanaume kutumia homornes za kike ili wawe na matiti na haiba ya kike
   • wanawake kutumia hormones za kiume ili wawe na ndevu na swagger za dume
   • nk.
   Last edited by Kifyatu; 25th April 2013 at 23:11.

  8. Nyanidume's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th October 2012
   Location : Temeke, Dar es Salaam.
   Posts : 1,782
   Rep Power : 818
   Likes Received
   406
   Likes Given
   53

   Default re: Je, kuna ukweli kuhusu she -male(dumejike)

   Duh! kweli duniani kuna mambo.

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...